Salma kikwete abambikwa hundi ya mfano!!!

Mamaa Salma na kati ya Magogoni walau hiyo check feki inamrudisha hewani maana 'single' zake nyingi baada ya uchaguzi zilitupwa kapun!
 
Acheni majungu wanajamvi, badala mjadili tatizo la wahasibu fake! wasiojua wajibu wao hata kuandika cheki wanasindwa, mnamsema mama wa mh. kawakosea nini??
Siku zingine tumfagilie, anajitahidi miongoni mwa akina mama.

kajitahidi kwa li[pi kwa mfano?
 
haijakosewa tuulizeni sisi tunaojua mahesabu ya kibenki
hahaha hha mkuu, kumbe kwa nyie mnaojua mahesabu ya kibenk hii iko sawa, lol, ila kwa sisi tunaojua mahesabu ya kimjini mjini hii imechakachuliwa:bange:
 
Sina hakika kama hili tatizo ni la kifamilia au uvivu binafsi wa kushindwa kuchukuwa muda kidogo wa kusoma kile ambacho wanaenda kuidhinisha. Mh. JK aliwahi kusaini documents pale ikulu bila kujua ni nini, na hiyo haikuwa mara yake ya kwanza.
Wataalam wanatakiwa kutujuza hapa kama hili tatizo ni la kifamilia au binafsi wa kuwa wavivu wa kusoma.
 
Kama hili ni tatizo la kifamila, basi huenda Ridhwani naye akawa sahihi kuwa yeye si bilionea. Inawezekana kwenye akaunti yake ikaonyesha mabilioni yeye akafikiri ni maelfu (vijisenti) tu. Malori 150 yakaingizwa nchini kwa jina lake, yeye akafikiri ni 15.

Kama hili ni tatizo la kifamilia, je wanahitaji msaada wa matibabu?
 
Hivi hapa wa kulaumiwa ni nani alieandika hiyo hundi au aliepokea?

Wewe umeletewa hundi, unatakiwa kusaini watu wachukuwe fedha benki. Wewe bila kusoma unaanguka mkono na watu wanalamba. Sasa hapo utasema aliyeleta hundi usaini ndiyo mwenye makosa au wewe uliyesaini?
Hapa hata huitaji kwenda darasani, it's just a common sense.
 
Hivi hapa wa kulaumiwa ni nani alieandika hiyo hundi au aliepokea?

Hili swali ulitakiwa ukawaulize pale hospitali ya Muhimbili.
Mgonjwa ambaye alitakiwa kupasuliwa mguu akapasuliwa kichwa and vice-versa. Kama hao madaktari na manesi wangechukuwa muda wa kusoma vizuri files and labels pamoja na kuongea na ndugu wa wagonjwa, uzembe huo husingeweza kutokea. Matokeo yake watu wanapoteza maisha kwa uzembe.
 
Back
Top Bottom