Wafanyabiashara Zanzibar waunga mkono michezo bara kwa Hundi ya milioni 500

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
2,171
1,444
Imetokea leo katika uapisho wa viongozi ikulu ya Dar.
Kundi la wafanyabiashara kutoka Zanzibar wamemuunga mkono Rais Samia katika juhudi za kukuza michezo.

Huu ni upendo mkubwa na kudumisha muungano wetu.

Hundi hiyo inakabdhiwa TFF.
 
waunga mkono michezo au mpira wa miguu
 
timu ya vijana ya zanzibar iliposhinda ubingwa wa afrika mashariki serikali ya muungano ilitoa milioni 50, zanzibar hawachangii chochote kuendesha serikali ya muungano nani ataamini maigizo yao.
 
Back
Top Bottom