Salma kikwete abambikwa hundi ya mfano!!!

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
sinema.jpg
Hii alishawahi fanyiwa pia Mkuu wa kaya.
 
Hahhaahaaaaa, ni ni kwelii ni feki nimechiki kwenye hio figure, maskini mama wa watu si angerudi tu akaendelea kufundisha a e i o u kule nanihiii
 
Jamani yeye alipokea tuu...Ukilaza unaonekana kuwa HASOMI ANACHOPEWA...Hahahahahaha
 
Mimi nadhani watanzania waliompa mmewe kura ndiyo vilaza namba moja, mke kama mme kama watoto, du! inasikitisha. Najipongeza sijawahi kupigia kura kilaza yeyote ccm
 
Huyu mama Kilaza kweli hakuweza hata kusoma akagundua hilo kosa?

mbona hata bwana yake naye alipelekwa chaka kama hili na akatokea kwenye tv anachekeleaaaaaaa, kitu nilichokuja kudungua ni kuwa hii familia yote ni ya mavilaza wa kufa mtu...i'm glad that i didnt select kilaza....!
 
hiii Familia kijumla ni ya VILAZA Kwa kweli
Hata watoto wao na aanza kudoubt elimu zao mmhh sijui
aiwezekani baba na mama wakala mkojo wa aina moja;;kuku sawa ya kienyeji lakini mmhh cheki loh ile picha ya kikwete tuleteen jamani sasa tunasubiri mwanae apewe CRDB Feki alafu zote CRDB zina nini???
 
tatizo lao kubwa ni kwamba wanapenda sna show off......wanapenda kuuza sura ili hali ni vilaza hata hawawezi kusoma,kuandika na kuhesabu? hawawaoni wenzao ambao ni vilaza hata hawapendi kuji-show off
 
Jk ana hali mbaya mpaka 2015 kisha ikimbia ikulu. Ningelikuwa mie ningempisha Slaa maana ndiye mshindi halali.
 
Mama ana hasara ya milioni tatu laki nne na arobaini na mbili elfu baba ana hasara ya milioni mia na harobaini.patamu hapo.vilaza family hoyeeeeeee!!!!!!!
 
JF kuweni na adabu huyo ni kama mama yenu atiiiiii........sio yeye aliyeandika sasa ukilaza wake unatoka wapi?
 
hiii Familia kijumla ni ya VILAZA Kwa kweli
Hata watoto wao na aanza kudoubt elimu zao mmhh sijui
aiwezekani baba na mama wakala mkojo wa aina moja;;kuku sawa ya kienyeji lakini mmhh cheki loh ile picha ya kikwete tuleteen jamani sasa tunasubiri mwanae apewe CRDB Feki alafu zote CRDB zina nini???

Ukitembeatembea humu JF utakutana na thread yenye story hii hii, kule utakuta picha tatu, moja ni hii na mbili ni za mkuu wa kaya, kumbe alishaingizwa mjini tena!
 
JF kuweni na adabu huyo ni kama mama yenu atiiiiii........sio yeye aliyeandika sasa ukilaza wake unatoka wapi?

mamaako mwenyewe! anapokeaje kitu chenye makosa? hata wasaidizi wake hawaoni hayo makosa hadi wakubali adhalilishwe/adhalilike?
 
Acheni majungu wanajamvi, badala mjadili tatizo la wahasibu fake! wasiojua wajibu wao hata kuandika cheki wanasindwa, mnamsema mama wa mh. kawakosea nini??
Siku zingine tumfagilie, anajitahidi miongoni mwa akina mama.
 
Back
Top Bottom