Tetesi na uchambuzi wa masuala ya kisiasa Tanzania:
Kwa jinsi Salma na wana familia wengine wa Kikwete walivyoingia kwa nguvu kwenye siasa inasemekana kuna mchogo wa kumfanya huyu mama mashuhuri kwa ajili ya kumsimamisha 2015 ili kupata kura za akina mama.
Sababu kuu ni:

- Kumlinda Mumewe kama atafanikiwa kupata urais tena mwaka huu kwa sababu ya Madudu aliyofanya kwenye ufujaji na uvunjaji wa sheria za nchi.
- Ahadi zinazotolewa sasa ni nguvu kuzifikia hivyo ni dhahiri 2015 wananchi watakuwa wamepoteza imani na CCM hivyo Salma atatumika kuwavuta wanawake ambao ndio wapiga kura wengi.
- Mkakati wa kuiweka nchi chini wa familia/Kikundi fulani.