D Drake Senior Member Dec 12, 2010 127 44 Jan 8, 2011 #1 nawasalimu wana jamii, nimejiunga nanyi, drake.
beatrixmgittu Senior Member Dec 21, 2010 113 6 Jan 8, 2011 #2 Karibu jeifu usichangie kwa efu, changia kwa marefu. Karibu jamvini ujimwage kwa makini. Maudhi ni maradhi uyavumilie usilie.
Karibu jeifu usichangie kwa efu, changia kwa marefu. Karibu jamvini ujimwage kwa makini. Maudhi ni maradhi uyavumilie usilie.