Salamu kwa PENGO, MALASUSA na mufti mkuu!!

Vakwavwe

JF-Expert Member
May 16, 2009
503
100
Matokeo ya Arumeru mashariki yamenipa raha sana,nawapa salamu zangu za dhati viongozi wa dini niliowataja hapo juu na wengine wanaofanana nao ya kwamba wananchi tukiamua kufanya kitu hawawezi kutuzuia. Wamekuwa msitari wa mbele kumsafisha Lowasa na maufisadi yake na kudhani wananchi wote wanapumbazika kumbe kumekucha,wananchi wanajitambua vilivyo. Na infact wanatakiwa kujua heshima waliyonayo ni sisi wananchi tunawapa ila kwa mwendo huu wa kuambatana na mafisadi tutawapuuza na hawataweza kutuzuia. Kila siku mtu mmoja anasimika maaskofu,mara harambee mara kuchangia shule,mara kwenye maulidi usiku asbh yake kusimika askofu!!!!how?why???viongozi wa dini mnatumika siyo bure...harambee kigoma mara shinyanga mara moro mara dar..kwa nini mtu huyo huyo? Tena mwenye kashfa?? Kwa matokeo ya arumeru mjifunze,tumewashinda wote mafisadi na matawi yao na wote wanaowasafisha...ccm inasemekana ziko kadhaa na hatukuchagua tumepiga kichwani wote ili waamke itachukua muda.hizi ni salamu zangu kwenu viongozi wa dini na wote mnaodhani mna mbeleko ya kubeba mafisadi.
 
Heh heh mkuu hiyo ni indiketa au ndio kubip hizo hela anazotoa makanisani zinaliwa buure afadhali aziweke zije wasaidia wajukuu zake,kama ARM tumeweza kwa nini kwingine tusiweze?masikini ya Mungu kampotezea tu muda mtoto wa watu badala ya kuomboleza sijui arobaini tayari kijana wa watu akalazimishwe aingie ulingoni eti kisa mkwe yupo nyuma yake,thubutuuuu hata aje nani wananchi wakiamua inawezekana
 
kama kawaida ilikuwa vita kati ya kkkt na katoliki!

kiaje maana nijuavyo mimi nasarri na sioi wote walutheran na askofu wao mmoja!na nijuavyo mimi askofu wa lutheran meru ni m2 msomi,mwadilifu na mcha mungu na hakuonyesha bias yoyote au alisikika wapi akiwa biased?
 
Mkuu Pembepembe kuleta hoja za udini na ukabila ni kufilisika kichwani,hakutatufikisha popote,kila mtu aachwe na imani yake,tujikite ktk vitu vya msingi kwa taifa letu!
 
Matokeo ya Arumeru mashariki yamenipa raha sana,nawapa salamu zangu za dhati viongozi wa dini niliowataja hapo juu na wengine wanaofanana nao ya kwamba wananchi tukiamua kufanya kitu hawawezi kutuzuia. Wamekuwa msitari wa mbele kumsafisha Lowasa na maufisadi yake na kudhani wananchi wote wanapumbazika kumbe kumekucha,wananchi wanajitambua vilivyo. Na infact wanatakiwa kujua heshima waliyonayo ni sisi wananchi tunawapa ila kwa mwendo huu wa kuambatana na mafisadi tutawapuuza na hawataweza kutuzuia. Kila siku mtu mmoja anasimika maaskofu,mara harambee mara kuchangia shule,mara kwenye maulidi usiku asbh yake kusimika askofu!!!!how?why???viongozi wa dini mnatumika siyo bure...harambee kigoma mara shinyanga mara moro mara dar..kwa nini mtu huyo huyo? Tena mwenye kashfa?? Kwa matokeo ya arumeru mjifunze,tumewashinda wote mafisadi na matawi yao na wote wanaowasafisha...ccm inasemekana ziko kadhaa na hatukuchagua tumepiga kichwani wote ili waamke itachukua muda.hizi ni salamu zangu kwenu viongozi wa dini na wote mnaodhani mna mbeleko ya kubeba mafisadi.
ndugu yangu usikae hata siku moja kuwakosea viongozi wa kiroho watake radhi kama utojali
 
Alishalamba hela kwa Lowasa hadi shule wameita jina la EL kule Kigamboni. Fuatilia utagundua karibu viongozi wote wameshaingia mkeke kwa huyu jamaa.

PESA unachukua ila apati kitu usiwe mjinga ata akija kwako we zilambe tu
 
Muft mtoe hajawahi kumsafisha LOWASA

images
images

images
images

Ha, ha, haaa...!
Nani amcheke mwingine?

kwa wale wajuao dini,dini ipo ili kubalisha waovu,viongozi wa dini hawana haki ya kumfukuza mtu akaribiapo kanisa au msikiti huko ndikpo watapombadilisha! kuhusu Arumeru Hongera Nassari na kwa wadau wa jf tujadili matatizo na solution yanayotukumbuka kujaribu kuleta udini ktk siasa ni upotezaji wa muda!
 
Back
Top Bottom