Salaam enyi wenye busara nyingi

Jul 21, 2012
86
21
Habari wanajamvi,

Ninajisikia bahati kuwa hapa pamoja nanyi tukisaidiana kuipigisha dunia hatua moja mbele zaidi.

Hongereni kwa kazi kubwa na tafadhali nipokeeni.
 
Back
Top Bottom