Sala ya leo...

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Baba katika jina la Yesu,
Baba uliyeyageuza maji kuwa damu kule Misri,
Baba uliyeyagawanya maji wanao wakapita
Baba uliyebadili fimbo kuwa nyoka na nyoka kuwa fimbo.

Baba uliyesema utatupa yale tuyatamanio
Baba uliyesema tuombe lolote nawe utafanya
Baba ujuayo tuwazayo kabla hatujaomba

Jioni ya leo

Tunaomba umgeuze raisi wetu awe wingu juu ya bwala la Mtera maana kwa mdomo wake alitamani awe hivyo!

Amin.
 
dah sasa nani atakuwa raisi wetu.....wewe upo chadema nini?
 
Dah! Nyie watu wakati mwingine huwa mnafikiria nini? Anyway tunasubiri maombi yako yatimizwe.
 
Back
Top Bottom