uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 14,758
- 26,668
Soma mpaka mwisho
Nimesoma, ana uelewqa kuzidi wewe na yeye kaamua kufanya hayo.
Soma mpaka mwisho
Wewe ndiye unaesisitiza watu kutoa mawazo yao kwa lugha za stahaa?Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Mimi sina shida na wewe lakini tukitaka twende vizuri na kujenga hoja ni vizuri. Nchi hii hatuwezi kukubaliana hata siku moja 100% lazima tutakuwa na maoni tofauti. Sawa na mpira tunatizama game moja pamoja lakini tukitoka tukianza kuongea ni kama tulikuwa tunatizama game tofauti lakini mshindi anakuwa na hoja zaidi. Kwenye siasa ya vyama vingi lazima tutakuwa na maono tofauti ndio maana ya democracy. CCM wana mandate ya kuamua kwa niaba yetu sababu walishinda uchaguzi na ili kushinda uchaguzi walikuwa na sera zao watu wakawachagua. Ni haki yao ku deliver walichoahidi. Wakishindwa uchaguzi ujao wapigeni chini simple.Mkuu Heijah, tenganisha kati ya "Mtu" na "Cheo". Viongozi wa Serikali ni wanachama wa CCM ambacho ni chama kinachoamini "Cheo ni dhamana".
Kwa sababu hiyo, kiongozi ("mtu") wa Serikali, akitumia vibaya cheo chake, kwa maana ya mamlaka na madaraka, siyo tu anakiuka "Imani" ya CCM pia Katiba ya JMT aliyoapa kuilinda, kuitetea, kuheishimu na kumwongoza katika maamuzi na matendo yake.
Kiongozi ni "mtu", kama watu wengine, mwenye sifa, ubora na udhaifu. Hayuko juu ya sheria
Kama Wewe ulivyovumilia pale Kawe 😂😂tuvumilie nini ?
Amani ya nchi bila uhuru ni kazi bure. Hatuwezi kuuzwa kirahisi kwa bei ya bazoka.Wewe kosoa hata masaa 24 ila kuwa na heshima kwa viongozi acha kebehi na dharau kwa viongozi wa nchi. Hakuna shida kukosoa lakini ukileta dharau na kebehi unatuma message gani kwa watu kwamba wadharau mamlaka? amani ya nchi muhimu kuliko maslahi ya chama au mtu binafsi ila kuambiana tuambiane hakuna shida, chungeni lugha za maudhi na dharau.
Nadhani hata Nape kabla ya kukatwa mkia alikuwa na kauli km hizi.Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Sasa uuzwe wewe una thamani gani? Mbona mwenyekiti wenu Mbowe hakoselewi, ukimgusa tu na chama unafukuzwa. Eti kuuzwa nani atakununua wewe labda BurundiAmani ya nchi bila uhuru ni kazi bure. Hatuwezi kuuzwa kirahisi kwa bei ya bazoka.
# Asiyetaka kukosolewa atoke kwenye ofisi aende akalee wajukuu#
Uzumbukuku wa mtu mmoja hauwezi kugharimu hadi vizazi ambavyo bado vipo kwenye viuno vyetu.
Tatizo ni katiba,hata Mh. Samia amewahi kuponda hadharani vitendo vya mtangulizi wake JPM,Nyinyi Chadema sio ndio lugha myaoelewa. Mtu akiwa mstaarabu nyinyi ndio mnaona idhaifu, Rais Samia mpole mnamuona dhaifi mnahitaji watu kama JPM ndio mnakuwa na heshima.
Mbwa mwenyewNyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Magufuli hakuwahi kuuza rasilimali za nchi sanasana alipigania zirudishweNyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Halafu wakili alisema Majaliwa ni muongo,Je ni kweli au sio kweli? "Rais yupo anachapa kazi......"Viongozi siyo Mungu!! Wasijiingize kwenye makosa makubwa kwa sababu eti ni viongozi.
Walishinda uchaguzi upi?Mimi sina shida na wewe lakini tukitaka twende vizuri na kujenga hoja ni vizuri. Nchi hii hatuwezi kukubaliana hata siku moja 100% lazima tutakuwa na maoni tofauti. Sawa na mpira tunatizama game moja pamoja lakini tukitoka tukianza kuongea ni kama tulikuwa tunatizama game tofauti lakini mshindi anakuwa na hoja zaidi. Kwenye siasa ya vyama vingi lazima tutakuwa na maono tofauti ndio maana ya democracy. CCM wana mandate ya kuamua kwa niaba yetu sababu walishinda uchaguzi na ili kushinda uchaguzi walikuwa na sera zao watu wakawachagua. Ni haki yao ku deliver walichoahidi. Wakishindwa uchaguzi ujao wapigeni chini simple.
Kama hutaki kebehi na dharau si muachie hizo nafasiWewe kosoa hata masaa 24 ila kuwa na heshima kwa viongozi acha kebehi na dharau kwa viongozi wa nchi. Hakuna shida kukosoa lakini ukileta dharau na kebehi unatuma message gani kwa watu kwamba wadharau mamlaka? amani ya nchi muhimu kuliko maslahi ya chama au mtu binafsi ila kuambiana tuambiane hakuna shida, chungeni lugha za maudhi na dharau.
Kwa maneno haya inaonesha kuwa Wasomi wetu bado hawakuelimika.Amani ya nchi bila uhuru ni kazi bure. Hatuwezi kuuzwa kirahisi kwa bei ya bazoka.
# Asiyetaka kukosolewa atoke kwenye ofisi aende akalee wajukuu#
Uzumbukuku wa mtu mmoja hauwezi kugharimu hadi vizazi ambavyo bado vipo kwenye viuno vyetu.
Wewe kosoa hata masaa 24 ila kuwa na heshima kwa viongozi acha kebehi na dharau kwa viongozi wa nchi. Hakuna shida kukosoa lakini ukileta dharau na kebehi unatuma message gani kwa watu kwamba wadharau mamlaka? amani ya nchi muhimu kuliko maslahi ya chama au mtu binafsi ila kuambiana tuambiane hakuna shida, chungeni lugha za maudhi na dharau.
Alikosoa nini kipindi cha Magufuli?Wewe kosoa hata masaa 24 ila kuwa na heshima kwa viongozi acha kebehi na dharau kwa viongozi wa nchi. Hakuna shida kukosoa lakini ukileta dharau na kebehi unatuma message gani kwa watu kwamba wadharau mamlaka? amani ya nchi muhimu kuliko maslahi ya chama au mtu binafsi ila kuambiana tuambiane hakuna shida, chungeni lugha za maudhi na dharau.