FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,539
- 43,119
Akina Mangungo hawastahiki heshima hata kidogo, wadhihakiwe kwa kadri inavyowezekanaWewe kosoa hata masaa 24 ila kuwa na heshima kwa viongozi acha kebehi na dharau kwa viongozi wa nchi. Hakuna shida kukosoa lakini ukileta dharau na kebehi unatuma message gani kwa watu kwamba wadharau mamlaka? amani ya nchi muhimu kuliko maslahi ya chama au mtu binafsi ila kuambiana tuambiane hakuna shida, chungeni lugha za maudhi na dharau.