Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

Huyo mpopo tapeli tu
eti mbakaji alienda kuchukua condom!
kwanza huyu alikuwa kalewa eti "aliponishika matiti nikahisi naota"

ni nini kama sio pombe hizo?
Sikujua mwanamke akinywa pombe ni ruhusa kumbaka. Mama yako yupo wapi nimleweshe leo sikukuu? usisahau dada zako nataka nipige mtungo leo... Shangazi zako wapo free wale walevi?
 
Wanaijeria, Wakenya na Wasauz walivyoikomalia hii issue kana kwamba huko kwao ni salama.
Wanapajua vizur ndiyo watalii wetu wanao penda kuja kutalii Zanzibar wapo sahii Serikali yetu kupitia jeshi la polisi linaichafua nchi na wananchi tunaonekana watu makatili, huwezi kuona wa Cameroon, Ghana, Burundi, Congo, Mali wananchi wao wakikoment kwasababu hawaji kutembelea Zanzibar
 
Pia siamini asilimia 70 kwani wenzetu huwa wanakuwa na long term plan. Anaweza kuwa alimuita jamaa room then akamtoa kwa style ya kuchukua condom ili lengo litimie baadae. Kwakuwa ni long term plan mtu huwa na mipango ya muda mrefu ila anajua kwa baadae ataika lengo lake. Mfano anajua kuna malipo na hata sasa anapiga pesa insta kwa viewers na followers, pia Twitter. Kila sekunde anapata viewers zaidi ya 1k. Kumbuka kuwa hii issue mpka sasa ndyo trending si Tanzania tuu naamini sehemu kubwa zaidi ya hapa.
 
Inasemekana hawa wadada wanafanya hivi nchi nyingi,na wapo wengi kisha wanataka pesa
6c71867a-dd8c-40fd-bcc3-be21e0837552.jpg

0c6d631a-bf7a-455d-b1ea-a650adff0c90.jpg

Someni hapo
 
Hichi kipindi cha uzinduzi wa Royal tour ndio kipindi sahihi zaidi kwa huyo mnaigeria kulisemea, maana dunia itasikia na kulivalia njuga na huenda serikali ya Tz ikaamua kutoka usingizini ili kuchukua hatua dhidi ya wahusika.

Watanzania wote kwa pamoja tumuunge mkono huyo mnaigeria kulipigia kelele hili suala, uzalendo sio kufunika uovu. Wacha ukweli utuume lakini mwisho wa siku sote tupone.
20220417_120706.jpg
 
Tulipaswa kuwashughulikia wenye hotel, wangemtoa mtuhumiwa wao, Kwa polisi, na kumtaka radhi huyo dada, hayo yote yasingetokea. Majuto ni mjukuu siku zote!

Warere beach ni pazuri Sana. Shame this happened!
Yaani unavyotoa hukumu utafikiri una uhakika kuwa huyo binti alibakwa...
 
Alileta mashtaka polisi mlifanya nini?
Statement ya wenye hotelini imetoa good details and how she demanded $10k

Kwa tulioishi na hawa watu, haishangazi

Walishapoteza human values na wao wamejiweka kama any inverory

They’d do anything to dock a few points kutoka kwako
 
Huyo mpopo tapeli tu
eti mbakaji alienda kuchukua condom!
kwanza huyu alikuwa kalewa eti "aliponishika matiti nikahisi naota"

ni nini kama sio pombe hizo?
Kwakweli labda mtu anayelala kama pono. Mimi nilale mtu anishike tu nashtuka sembuse matiti nifikiri ndoto
Sio siri uchunguzi ufanyike kwa kina na kama amedanganya she has to pay. Maana amechafua jina la hotel na jina la nchi.
 
Kama huwaamini wanaigeria basi njoo umuamini mmiliki wa Weru weru Lodge wa kule Machame ambaye alilalamika na kutoa video clip zikimhusu mkuu wa wilaya ya Hai (Ole Sabaya) aliyetinga hotelini kwake akilazimisha akalale na Nandy.
Sijaelewa unamaanisha nini, lakini inabidi ufikirie uwezo wako kwenye kupambanua facts na drama.
 
Fungua akili yako. Tukio limetokea 21 april 2021 lakini muhusika amekuja kuripotia mitandaoni jana 16 apr 2022. Amekaa nazo hizo clips na picha mwaka mzima bila kuziexpoze popote pale kwa muda wote huo kwanini?? Hawa watu huwa sio watalii kama mnavyodhan, Ashaingiza pesa tayar huyo. Ametoka ningeria kalipia hotel six days na go and return air ticket akijua kabisa hii hela yake inaweza rudi ata ×100 times. Tayar kuna agencies zilishanunua huu mzigo na jana ndo ilikua siku maalum ya kuupost. weng wao wanakuja kwa kazi maalum na akipata

 
Back
Top Bottom