Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

Ili jambo humu mnachukulia mzaha lkn uko Twitter wanaigeria wamechafukwa hotel imeenguliwa nyota kutoka 4.5 mpk 1.5 ishu ishakuw kubwa
Nikweli na wanaigeria Wana penda kuja kutalii Zanzibar Wana vijipesa tofauti nasiye wanyonge tusiyojua kutumia pesa wanigeria na waKenya wanapenda kuja kutalii Zanzibar
 
Sio kweli huyo dada anataka Ku blackmail hiyo hotel ili ajipatie kipato. Anagenge lake ndo michezo Yao according to Mr Mlawa.
Screenshot_2022-04-17-11-25-07-038_com.twitter.android.jpg
 
Mie si mtu wa kuabudu sana wageni so hzo clip mpaka nizione ndo naweza sema kama si mtengeneza jambo. Kinyume cha hapo tuache chuki kwa jeshi letu la polisi.
Polisi ccm ndo inakulinda nawe
Nenda twitter kaweka ushahid had maelezo alioandika police plus video akiwa kituo cha polis na report ya daktar
 
Huyo mpopo tapeli tu
eti mbakaji alienda kuchukua condom!
kwanza huyu alikuwa kalewa eti "aliponishika matiti nikahisi naota"

ni nini kama sio pombe hizo?
Sasa pombe anywe chumbani kwake peke yake ina uhusiano gani na kubakwa.
 
Ila wazanzibar wanavyoisifiaga Zanzibar mbona leo siwasikii Kwenye space
Waliyo fanya tukioa watakuwa vijana kutoka Tanganyika watakuwa wamasai ina maana hotel haina walinzi
 
View attachment 2190348
View attachment 2190349
View attachment 2190350
View attachment 2190351 Hii ishu ichunguzwe tujue upande wa pili hawa watu wasije tuharibia, naona wengi wanachangia sijui waliporwa hela sijui vip na wakenya,wasouth wamekomalia nao hatari,,kwa matukio wanayofanya duniani hadi dunia inawaogopa hmm sijawahi waamini WaNigeria kwakweli
Wapo sahii mkuu Raia kutoka South Africa Kenya na Nigeria wanakuja sana kutalii Zanzibar na kweli wanafanyiwa vitendo vibaya , waharifu wanashirikiana na polisi kuwaibia wageni vitu na pesa na kugawana niliwaikushuudia polisi waliwakuta wazungu wamekaa beach usiku polisi wakaanza kuwasumbua na kuwatishia kuwabambikia kesi ya madawa ya kulevya ili wapewe pesa na wazungu
 
Sijawahi kuwaamini wanaigeria, ni watu hatari sana linapokuja suala la pesa au kutafuta huruma kupata umaarufu.
Katika nchi za Africa waNigeria wananchi wake wanapenda kuja tembelea Zanzibar wakifatiwa na South Africa, Kenya wananchi wa hizo nchi wanapenda kutembea tofauti na Sisi watanzania bado tupo nyuma kwenye mambo ya kutalii
 
Huyo Mnaigeria amekaa kimya mwaka mzima hadi Rais SAMIA anazindua ROYAL TOUR ndiyo anaibuka? Hivi ni mimi tu kuna wengine wanaona giza kuhusu hii story? Why now? Halafu binti wa miaka 23 anatoka Nigeria kusheherekea birthday yake peke yake? Au alikuwa ameleta mzigo wakapishana na mwenyeji wake?
Exposure muhimu sana aisee. Nchi za wenzetu madogo hata wa miaka 18 tu wanaenda vacation nchi za mbali kabisa kama solo travellers, unashangaa dada wa miaka 23 kusafiri peke ake kutoka Nigeria tu hapo. Tatizo la mitoko ya wabongo wengi ni kupelekana bar zenye lodge hapo hapo, kunywa bia huku ushalipia chumba, kumalizia kwa mgegedo basi shughuli imeisha. Serengeti tu hapo kuna watu kibao mpaka leo hawajawahi kwenda kutalii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom