Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

Polisi wetu kuna mahali wanakosea....kudhani kila kitu ni kutumia nguvu kuliko akili. Suala hili wangeweza kulishugulikia kwa weledi na kuweka maslahi ya taifa mbele....wao wakatumia manguvu na hivyo wengi 'you know.....'haipandi kabisa,wakaishia kugeuza kibao kama kawaida yao. So horrible indeed.
Wala ata sio polisi ni wabongo wote 'utakavokuja ndivyo utakavyopokelewa.
Mi naona sawa tuu
 
Hamna anayemtetea mtu hapa. Hatubishani. Tunaelimishana. Je umeuona utetezi wa wenye hiyo hotel???
Umetoka hivi punde
Umeshausoma??
Wao wanadai huyo mlinzi na huyo dada walikua ni wapenz na at the end of day huyo dada alitaka compesataion ya 10,000 usd sawa na mil 25 cash ili aondoke tanzania.
Je tumuamini nani ??

Nani ni mkweli?

Kwanini hao watu wa Hotel wasilete facts zao mezani?

Footage n.k.?
 
Huyo Mnaigeria amekaa kimya mwaka mzima hadi Rais SAMIA anazindua ROYAL TOUR ndiyo anaibuka? Hivi ni mimi tu kuna wengine wanaona giza kuhusu hii story? Why now? Halafu binti wa miaka 23 anatoka Nigeria kusheherekea birthday yake peke yake? Au alikuwa ameleta mzigo wakapishana na mwenyeji wake?
Ilikua Ni April alifanyiwa huo unyama.Inawezekana kwa sababu Leo Ni siku ya bday yake tukio likamjia akaamua kuliweka wazi ili kupata unafuu .Ko ndiyo connection
 
Your very young and naive. You dont get the point.. why alalamike mitandaoni? Huko kwako hakuna vyombo vya sheria? Hakuna ubalozi wa Tanzania huko Nigeria..alienda kutoa malalamiko yake? We leo hii ukibakwa utapost instagram au utaenda kwenye vyombo vya sheria???

Hakwenda kwenye vyombo vya sheria hapa nchini?

Mlimsaidia.

Alipiga simu kwenye ubalozi wao walinsaidia?

Acha afanye kile anajisikia and yupo sawa tu.
 
Huyo Mnaigeria amekaa kimya mwaka mzima hadi Rais SAMIA anazindua ROYAL TOUR ndiyo anaibuka? Hivi ni mimi tu kuna wengine wanaona giza kuhusu hii story? Why now? Halafu binti wa miaka 23 anatoka Nigeria kusheherekea birthday yake peke yake? Au alikuwa ameleta mzigo wakapishana na mwenyeji wake?

Yaani badili tu hiyo ID jamaa.

Hiki ulichoandika hapa ni upumbavu wa hali ya juu.
 
Leta hzo tweets tusome na sisi, vinginevyo itakuwa ni majungu tu. Kitu kitokee 2021 na aje kuibuka leo?
Ndugu yangu watu wanafanyiwa mambo mazito sana humu inchini. Ukiachana na hilo wageni wengi wanadhurumia sana. Kuna badhi ya watu wanaochafua image ya hii nchi RAS SIMBA akiwa moja wao. Soon notaleta uzi wa jinsi huyu jamaa anatapeli wageni
 
Hakwenda kwenye vyombo vya sheria hapa nchini?

Mlimsaidia.

Alipiga simu kwenye ubalozi wao walinsaidia?

Acha afanye kile anajisikia and yupo sawa tu.
IMG_20220417_111507.jpg
 
Back
Top Bottom