Sakata la Richmond na Maoni yangu

Mkasa wa Richmond

Mkasa huu ulianza wakati Tanzania ilipokua imekumbwa na janga la umeme.

Rais alitoa agizo kwa wizara kufanya juu chini hili suala la umeme litatuliwe.

Waziri mkuu ndiye aliyetoa wazo kua tnder wasipewe Tanesco ( Tanesco ipo chini ya Kampuni kutoka South Africa na imegundulika kampuni hii ni wezi an ilikuwa kunamipango ya kuwatoa. Kwa hivyo wangepewa tendar hii ndikama kuwaengezea muda. Hoja ilkuballika na kutafutwa watu wengine)

Tendar ikatolewa kwa makampuni ya kitaifa na mataifa ; waweze kuleta jibu la kuweza kuleta turbines kwa haraka sana.

Ununuzi wa turbine hizo nitafauti na ununuzi wa baiskeli au gari.
Lazima utoe maelezo specification halafu company zianze kutengeneza michoro ndio wakupe bei. Kutokana na muda ulikua mdogo kampuni tatu tuu zika jitokeza ikiwemo Richmond.

Kampuni ya Richmond ndio iliyotoa uhakika kimaandishi kuwa wataweza kuleta hayo mageneretor kwa wakati unaotakiwa.

Mkutano wa mawaziri ukafanywa na kuelezwa kilichotokea na kukubalika Richmond wapewe hiyo tenda. Baada muda ulowekwa kufikia na hakuna kilocho fanyika.
Aliyekua waziri mkuu akaandika barua kutaka mkataba uvunjwe.

Waziri wa wizara husika na katibu wake na mwanasharia wakenda kummbembeleza aliyekua Waziri mkuu kua asivunje mkataba kwani wawo wamesha zungumza na Richmond na wameomba muda kidiogo ili wapate kutimiza jukumu lao.

Kikao cha mawaziri kiliitwa nakupashwa habari kua Richmond wamehakikisha kua wataweza kutimiza jukumu.

Waziri a kapewa go ahead na kikao na mkataba usivunjwe.

Kima cha Maji ya bwawa yalipo anza kupanda suala lile likaisha nguvu.

Na hatimaye yakatokea yaliyojiri hivisasa.

Lowassa alikua najua kinachotendeka na kaona ajitete mapema.
Baada ya yeye kuiona report yote ndipo aliposhangaa kuona kua yeye ahajaitwa na pili ile barua yake alo muandikia waziri kuhusu kuvunja mktaba haikutiwa wala hakuna maelezo yoyote yale yanohusu kuvunja mktaba.

Ina semekana kua alimpa Speaker nakala ya barua hiyo
Kilichotokea bungeni baada ya ripoti kusomwa ni kua speaker hakuongeza kitu ndipo alipoona hakuna haja ya kujitetea Nadahani katika fikra zake ali hisi kua yeye ndie kafara wa sakata hilo kwa hivyo bora jiuzulu.

Na hayo ndivyo tuonavyo sisi.

Alokuamo hatoki na asokuamo haingii

Amanijuuyako,
Ulikuwa wapi siku zote? JF ilikuwa mbele siku zote kupinga kupewa tenda RDC kwa sababu wan JF waliwafuatilia mpaka huko Marekani wakatuambia ni kampuni hewa.
Kujihusisha kwa EL kulisemwa mapema hadi kukwa na neno RICHMONDULI.
Ungepekua kwanza kwenye posting za zamani kuhusu hili nafikiri usingepayuka kama ulivyofanya sasa.
Karibu JF hata hivyo.
 
Mkasa wa Richmond

Mkasa huu ulianza wakati Tanzania ilipokua imekumbwa na janga la umeme.
HAPAKUA NA DHARURA, Kwa taarifa yako na wana JF wote ni kwamba, tokea mwaka 2002 hadi 2005, Wataalamu wa Hali ya hewa walisema wazi kwamba kutakua na UKAME utakaoathiri kilimo, maji na umeme, na mwaka 2003, Serikali ya Fisadi Mkapa, ilisikiliza wataalamu nna kutenga fedha za dharura zilizoidhinishwa na Bunge februari 2004 kwa ajili ya kuisaidia Tanesco na Food Security na pia wafanyabiashara walipewa msamaha wa kodi waiingize chakula. Na mwaka 2004 ukame ulipozidi hatukusikia MGAWO wa umeme hata Mtera ilipozimwa kwa muda, hakukua na mgawo na hakukua na NJAA. Lakini kuanzia mwanzoni mwa 2005 wanasiasa wetu wote walikua busy na UCHAGUZI na hawakutujali sisi walalahoi, ndio maana mnasema Ukame ulikua ni DHARURA si kweli ni UZEMBE NA BAADAE WIZI.

Rais alitoa agizo kwa wizara kufanya juu chini hili suala la umeme litatuliwe.
HAPA NAONA AGENDA 21 inaanza kazi, kumuingiza Kikwete... Haya hayo ni yenu MTAJUANA WENYEWE HUKO SISIEMU.

Waziri mkuu ndiye aliyetoa wazo kuwa tender wasipewe Tanesco ( Tanesco ipo chini ya Kampuni kutoka South Africa na imegundulika kampuni hii ni wezi an ilikuwa kunamipango ya kuwatoa. Kwa hivyo wangepewa tendar hii ndikama kuwaengezea muda. Hoja ilkuballika na kutafutwa watu wengine)
Acheni UPUUZI, Net Group pamoja na udhaifu wao ndio waliokua wamepinga kwa nguvu zao zote kuingizwa kwa Richmond na walitucheka kwa kutokujali maslahi ya nchi. Hapo unachemsha.

Tendar ikatolewa kwa makampuni ya kitaifa na mataifa ; waweze kuleta jibu la kuweza kuleta turbines kwa haraka sana.

Ununuzi wa turbine hizo nitafauti na ununuzi wa baiskeli au gari.
Lazima utoe maelezo specification halafu company zianze kutengeneza michoro ndio wakupe bei. Kutokana na muda ulikua mdogo kampuni tatu tuu zika jitokeza ikiwemo Richmond.
Na hapo unahitaji kusoma ripoti ya Mwakyembe kabla ya kuandika haya mambo.

Kampuni ya Richmond ndio iliyotoa uhakika kimaandishi kuwa wataweza kuleta hayo mageneretor kwa wakati unaotakiwa.

Mkutano wa mawaziri ukafanywa na kuelezwa kilichotokea na kukubalika Richmond wapewe hiyo tenda. Baada muda ulowekwa kufikia na hakuna kilocho fanyika.
Aliyekua waziri mkuu akaandika barua kutaka mkataba uvunjwe.
Hapa kama si wewe ni Lowassa basi unamsemea, lakini BAADA YA KUKAMILISHA MKATABA NA BAADA YA THISDAY KUANDIKA NDIO anajifanya kushituka??!! ANgefanya hivyo kabla ya mkataba kusainiwa.

Waziri wa wizara husika na katibu wake na mwanasharia wakenda kummbembeleza aliyekua Waziri mkuu kua asivunje mkataba kwani wawo wamesha zungumza na Richmond na wameomba muda kidiogo ili wapate kutimiza jukumu lao.

Kikao cha mawaziri kiliitwa nakupashwa habari kua Richmond wamehakikisha kua wataweza kutimiza jukumu.

Waziri a kapewa go ahead na kikao na mkataba usivunjwe.

Kima cha Maji ya bwawa yalipo anza kupanda suala lile likaisha nguvu.

Na hatimaye yakatokea yaliyojiri hivisasa.

Lowassa alikua najua kinachotendeka na kaona ajitete mapema.
Baada ya yeye kuiona report yote ndipo aliposhangaa kuona kua yeye ahajaitwa na pili ile barua yake alo muandikia waziri kuhusu kuvunja mktaba haikutiwa wala hakuna maelezo yoyote yale yanohusu kuvunja mktaba.

Ina semekana kua alimpa Speaker nakala ya barua hiyo
Kilichotokea bungeni baada ya ripoti kusomwa ni kua speaker hakuongeza kitu ndipo alipoona hakuna haja ya kujitetea Nadahani katika fikra zake ali hisi kua yeye ndie kafara wa sakata hilo kwa hivyo bora jiuzulu.

Na hayo ndivyo tuonavyo sisi.

Alokuamo hatoki na asokuamo haingii
SOMA ALAMA ZA NYAKATI, LA KUVUNDA HALINA UBANI hata UFUKIZE vipi ubani, udi, na mafusho mazuri mazuri hakuna kitu, Watu walishangalia nchi nzima ikiwa ni pamoja na Arusha, Monduli, Moshi, Mererani kabla ya kujitokeza majambazi kina Nyari kumwaga mipesa kumuwekea Lowassa zulia jekundu, AJISIKIE BADO NI WAZIRI MKUU. Huo ulikua mchezo wa kuigiza kazi ambayo ni FANI YAKE, EL
 
Teh teh teh teh teh Lowassa mwenyewe ameamua kuingia JF, karibu sana Mbunge wa Monduli...nasikia ulighalamikia yake mapokezi hahaha siasa bwana mchezo mchafu, JF itahakikisha unafutika kabisa katika siasa za Tanzania...karibu uchangie

Aaaaaaaaaaaaah,Mwanamtama, kwanini ukijiunga na usalama wa Ikulu,maana siku hizi hatuna usalama wa taifa tena. Huyu ni Lowassa mwenyewe kaamua kuja JF,kujaribu kupunguza makali na hasira. hapa tumeapa lazima EL apotee katika siasa za bongo. Karibu, amanijuuyako,karibu EL jamvini.
 
Wameanza kuja kwa kasi.....Ila tu tusijisahau kuhusu tahadhari tulizokwishapewa baada ya mafisadi kushindwa kuiua JF.Watakuja wenyewe hapa au wapambe wao,wataanzisha mada kujisafisha au kutupoteza mwelekeo tuache kujadili mambo mengine ya msingi,wataleta "breaking news" ambazo pia zinaweza ku-diverge attention yetu kinamna flani,lakini cha kuogopa zaidi ni pale watakapoendeleza jitihada zao za kujua true IDs za members sambamba na mwendelezo wa mkakati wa kuidhibiti JF.Kinachohitajika kwetu si uoga bali kuwa makini.
 
Aka EL, aka Mzee wa Mvua za Miujiza, Sasa Mvua yetu ameondoka nayo jamani.
 
Aaaaaaaaaaaaah,Mwanamtama, kwanini ukijiunga na usalama wa Ikulu,maana siku hizi hatuna usalama wa taifa tena. Huyu ni Lowassa mwenyewe kaamua kuja JF,kujaribu kupunguza makali na hasira. hapa tumeapa lazima EL apotee katika siasa za bongo. Karibu, amanijuuyako,karibu EL jamvini.

Huo ni usalama wa viongozi majambazi.
Mtu yeyote anayekuja hapa na kutetea upuuzi ambao uko wazi, mie simtofautishi na "FAGIO" na inanibidi nifikirie uwezo wa akili yake pia.
 
Hii ya mzee amani nilkuwa sijaiona, thanx wana-JF mliomjibu kwa spirit ya kumkoma nyani, maana ujinga mwingine haujadiliki isipokuwa ni kurusha mawe tu, let the chips fall where they may!
 
nauliza hivi katika mchango aliyotoa dr slaa bungeni wakati wa sakata la richmond alimtaja mwanasheria mmoja mwanamke kuwa alihusika na ufisadi.lakini mbona watu wamekaa kimya na bunge lilikaa kimya? na katika riport ya mwakyembe alitajwa mkurugenzi wa takukuru sasa hawa watu mbona hatusii wakiwajibishwa?
jamani nisaidieni majibu hatutaki aachwe mtu katika ufisadi wote wawajibishwe

Sakata la richmond halijafikia tamati huko bungeni, bado litajitokeza tena kwenye kikao kipya kijacho. Na kuna tume ya MP aliyoiunda kushughulikia wote waliotajwa, nayo imepewa muda maalum. Kwa hiyo ni vizuri kukumbusha at the same time tungoje tuone hayo mawili yataishia wapi, na nani na nani watachukuliwa hatua gani.
 
Tell will tell yes lakini kwa mimi naona tu haya ni mchezo wa kuigiza kama mingine iliyotokea huko nyumba.kila kitu kiko wazi sasa sijui wanasubiri nini kuwawajibisha wahusika.Kama sio kuoneana haya ni nini ?OVYOO
 
Back
Top Bottom