Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,972
- 10,465
Ni sawa na kusubiri treni airport. Serikali hii haiwezi kuwaita akina Mwigulu, Membe na Nape mahakamani!Nataka Mwigulu, Membe na wengine waingizwe kwenye hili sakata. Wasipowaingiza hao na wengine, kesi hii ni upuuzi mwingine na dhulma dhidi ya upinzani.