Sakata la Lwakatare na sababu 2 za uthibitisho wa Mtonyaji Serikalini kuihujumu CHADEMA

Huna hoja. Hayo yote ulioandika hapo ni mambo yasiyo na ushahidi. ni hearsay tu na fabrication for your benefit. Mnatengeneza story halafu you unleash it to the public huku mkijidai kwamba kuna msiri wenu serikalini. Hakuna kitu kama hicho; never. hakuna mtu ambaye anaweza kuwa privy to all informations/operations in government ; hakuna ; duniani kote. Ni vizuri mkarudi tena Ujerumani au Urusi mkasome tena namna ya kuendesha propaganda; manake hamna ujuzi.

Mkuu ungetoa mfano kutoka kwenye thread kuu ili uijengee hoja ili niwe na uweza wa kukujibu. Ukisema tu hear say. Nitashindwa kukujibu. Do you mean kwamba hizo hujuma nilizotaja hazipo? Do you mean Tendwa haandai sheria husika? Be specific ili nijibu hoja yako.
 
Huko nyuma ktk moja ya mada zangu JF nilieleza habari nilizoelezwa na mtonyaji wangu Serikalini kwamba kuna mipango mibaya ya kuihujuma chadema ili kuithibiti kabla ya 2015
Nilielezwa kwamba serikali ya JK imepewa kuchagua jambo moja kati ya options 3 kuhusu Chadema ambayo ni;
1) awe tayari kuwapa nchi 2015
2)aisambaratishe Chadema sasa kabla ya 2015 au
3)waibatize ccm kiwe chama kipya kimya kimya ili iendeleze sera za ccm.

Leo naomba kuthibitisha ukweli wa mtonyaji wangu kwa kutumia matukio mapya yaliyotokea baada ya mada yangu hapa JF. Ukweli huu ni wa kuthibitisha kwamba Serikali imeamua kutumia mkakati kuhakikisha kwamba demokrasia haitachukua mkondo wake 2015 na badala yake wameamua (no 2 na 3 kwa pamoja) na kuisambaratisha chadema kwa mbinu zozote nzuri na mbaya na kuibaitiza ccm .

A) Nitatoa mifano michache ya hujuma hiyo na Sakata jipya la Lwakatare halafu nitamalizia ubatizo mpya wa ccm.

1. Sakata la Lwakatare linataka kugeuzwa kisiasa dhidi ya Chadema.
sakata tata la Lwakatare ambalo linaonesha kwamba video yenyewe ina kila dalili kwamba ni ya kuchonga imeanza kutumika kimkakati dhidi ya Chadema kwa lengo la kuichafua. Ikumbukwe kuwa, jambo hili linatokea muda mfupi baada ya Mwigulu Nchemba kudai kwamba ametumiwa meseji ya kutiswa maisha na Mnyika jambo lililothibitika baadaye kwamba siyo kweli. Badala yake tukajuzwa kuwa kuna mtambo ulioingizwa kutoka nje ambao ulifanya kazi hiyo. Mwigulu hakushtakiwa kwa kudanganya ama kumchafua Mnyika? Swali ni je, kama meseji ya Mwigulu ilikuwa ni hujuma ya wazi ya ccm dhidi ya Chadema, ni kitu gani kitufanye tuamini video hii ya Lwakatare iliyoanza kurushwa hewani na Mwigulu Nchemba huyo huyo tangu dec 2012? Na ni kpindi hicho hicho ambacho video hii ya Lwakatare inaonesha ilitengenezwa. kwanini hawakuileta public muda wote? Na je, juhudi na nguvu inayotumika kwa Lwakatare kwanini haitumiki kwa Mwigulu aliyedai kutumiwa meseji hiyo au kutafuta chombo hicho kilichotumiwa na Mwigulu? Kama siyo Chadema kupre empty ina maana Mnyika naye angekulala Lupango kama Lwakatare. Hali hii mpaka lini?

2
Taarifa za kuwindwa kwa Dr Slaa, John Mnyika na Lema;
Habari za kuwindwa kwa viongozi hao ni hujuma za wazi dhidi ya Chadema. Jana nimesoma magazetini kwamba Mbowe naye kaunganishwa ktk wanaowindwa. Pamoja hilo la viongozi wa Chadema kuwindwa, tishio la maisha ya waandishi wa habari nchini ambalo limesharipotiwa mpaka ktk magazeti ya ulaya ni wazi lengo lake ni kudhibiti habari. Na wazi pia kwamba kati ya habari inayothibitiwa ni habari za chadema ambacho ni adui wao namba moja wa serikali ya ccm.

3
Wakati ule nilipotonywa sikujua kwamba, kutakuwa na mkakati wa kutoonesha Bunge live ulioibuliwa mwezi uliopita – bahati nzuri mkakati ukakwama. Japokuwa hoja dhaifu iliyotumika ni vurugu Bungeni lakini ni wazi kwamba walikuwa wanahujumu Chadema.

4
Hujuma za wazi dhidi ya Wabunge wa Chadema Bungeni kama vile kukwamishwa kwa hoja zao binafsi ,kuunganisha baadhi ya kamati za kuduma na kupindisha kanuni za Bunge wazi wazi, vinathibitisha kwamba kuna mkakati mkubwa wa kuihujumu Chadema.

5
Ununuzi wa viongozi wa Chadema kwa kutumia fedha na ahadi ya vyeo bila kusahau sakata la viongozi wa Bavicha ni juhudi nyingine za kuithibiti Chadema.

Hayo mambo 5 yanathibitisha kwamba kuna jitihada za kuisambaratisha Chadema.
Je, kauli za Nape Nnauye, Mwigulu na Steven Wasira kwamba Chadema itakufa walikuwa wanategemea mkakati huu?

B) Mbinu ya tatu ilikuwa ni kuibatiza ccm au kuibadilisha ccm kwa kuanzisha chama kipya.
Wakati ule nilipoleta habari ya mtonyaji kwamba kuna mkakati wa ndani kabisa wa kuibadilisha ccm au kuibatiza ccm watu hawakunielewa hata kidogo. Wiki iliyopita kulikuwa na taarifa ktk mitandao ya kijamii iliyomnukuu msajiliwa vyama akisema kwamba, ofisi yake inaandaa mswada wa sheria wa kuruhusu vyama kuungana. Baada ya tamko hilo nadhani sasa ninaeleweka zaidi kuliko wakati ule nilipokuwa naleta taarifa za mtonyaji.
Ikumbukwe, huko nyuma serikali ya ccm ndo iliyokwamisha sheria ya vyama kuungana. Sasa, iweje sheria hiyo ikaletwa na serikali ile ile ya ccm? Huu ni uthibitisho wa taarifa za mtonyaji wangu ya kuibatiza ccm kwa jina jingine au kuanzisha muungano na chama kingine ili jina ccm lililochokwa libadilishwe.
Huu ni mkakati unafanywa na viongozi wa ccm na idara kwa siri sana kwa muda mrefu.

Swali ni Je, watafanikiwa kuizuia Chadema kuingia Ikulu 2015. Jibu langu ni Hapana – hawataweza. LET US WAIT AND SEE.

Tusiogope chenye mwanzo kina mwisho, kama mkoloni alibadilisha kila aina ya utawala na majina yake bado siku ilipofika aliondolewa kwa aibu kubwa.

wao wana dola na silaha sisi tuna Mungu, tukumbuke hakuna dola iliyowahi kushinda nguvu ya umma. Kuna wakati mwingine Mungu akiwachoka watu anacreate frustration among themselves matokeo yake wanapigana wao kwa wao na kumalizana

pamoja ushindi ni lazima
 
Baada ya sheria ya kuruhusu muungano wa vyama vya siasa kupitishwa nitakuwa macho kujua CCM wameungana na nani au wamejibatiza jina gani ili mradi tu nisije nikaingia maboya na ku-support hilo kundi. Popote palipo na harufu ya ccm hata waichanganye na vyama vingi kiasi gani nitapakimbia.
 
angalia wasijekukamata kwa kuweka NYARA za serikali hapa JAMII FORUMS, au kuingia kwenye kundi la wang'olewa kucha na meno......opss na macho nayo wameanza kwa sasa

Vikwazo,
Walishanitishia kwa njia ya simu mara kadhaa lakini sitaacha kusema ukweli kwa gharama yo yote, vinginevyo nchi hii haitapona.
 
viongozi wa ccm jueni kwamba watu wanakichukia chama chenu si kwa kulinganisha na vyama vingine, bali wanakichukia chenyewe kama kilivyo. Amini msiamini, hata kama mtafaulu kuua vyama vyote kwa mbinu zozote zile, hamtafaulu kuwalazimisha watu wakipende chama chenu kwa kilivyo. Na ukija uchaguzi people will vote for other parties not because they are sure of the future, but because they hate you and they want you out by any means. Shortly your time is out and it is our for sure. fInaeleweka kwamba ni watu wachache sana wanafaulu kufa kwa utulivu, lakini idadi kubwa, hasa ya wale waliowatendea wengine ubaya, wanapapatika vibaya sana roho inapoacha mwili. Endeleeni kupapatika tu, but there is no way back.

I wish wangekuelewa. Ni hivi, leo ukiimaliza kabisa chadema na vyama vyote vya upinzani watanzania hawatapigia kura ccm sana sana idadi ya watakaosusa kupiga kura itazidi mara mbili. Kama ccm wasipojirekebisha wakatatua matatizo ya nchi hawawezi kulazimishwa kupendwa kwa kuwabambikia Chadema aina yo yote ya uchafu.
 
CUF ilisambaratishwa hivi hivi: ETI CUF NI MAGAIDI; POLISI WAKAMATA CONTAINER LA VISU LILOAGIZWA NA CUF; JAMAA KAONYESHA NA VISU VYENYEWE KWENYE TV; MWISHOWE CUF IKAJIFIA. HII PICHA SASA IMEWAGEUKIA CHADEMA.

Worry not, kuna mambo kadha wa kadha yamebadilika kuanzia wakati ule mpaka sasa.
Mosi, Imani ya wananchi kwa serikali ya ccm imepungua sasa kuliko wakati ule. Waliposema CUF ni chama cha kidini na kigaidi ccm walikuwa wanaaminika na hivyo wananchi wakaamini kwamba CUF ni mbaya. Not now any more.

Pili, Chadema kimkakati iko vizuri zaidi na tumejifunza kutokana na makosa ya CUF tuko vizuri kujibu tuhuma za ccm.

Tatu, watumishi wa Umma kwenye kila ngazi sasa hawako tayari kuburutwa na serikali. Mfano, si polisi wote utawatuma na wakakubali kufanya uhalifu wo wote dhidi ya Chadema kama wakati ule. Siku hizi wana hoji na wanajua watakuja kuwajibishwa mbele ya safari.
 
Endeleea tu kulia kilio cha PUNDA midomo juu! Kuua kutesa ufanye weye usingizie wenzio!!
Maembe yuko CDM?
Ighondu yuko CDM?
Zoka yuko CDM
Yule polisi aliyemlipua Mwangosi yuko CDM.
Masaburi yamewawasha na kuchemka baada mashtaka yenu kufika HAGUE! hata kubumba uongo ni kupaparika hamna pa kushika HIKI NI KIFO CHA NYANI Miti yote imepakwa Samli ya ng'ombe!

Good reminder to him.
 
kama CCM ilivyoshindwa kuwazuia wanamtandao kumuingiza Kikwete madarakani mwaka 2005 ndivyo hivyo watakavyoshindwa kuizuia CHADEMA kuchukua nchi mwaka 2015,ninachoona jitihada za serikali na hawa viongozi wa CCM-Kikwete,Mangula,Kinana ,Nape, Mwigulu na Wasira zinachafua taswira ya Tanzania kwenye medani ya siasa za ulimwengu(siasa chafu za uzushi,matumizi mabaya ya vyombo vya dola),lakini katika hili tushukuru tu kwamba vitendo vya utekaji,utesaji na siasa chafu zinazoendelea tanzania zinaileta mahaka ya the hague na mwendesha mashtaka bi.fatma binsouda aweze kukusanya ushaihidi wake na pindi mashtaka yakifikishwa mbele yake aweze kuwatia hatiani wahusika wote hawa,hila nikionacho ni kifo cha CCM na kuimarika kwa CHADEMA,mafanikio makubwa CHADEMA iliyopata kwa kipindi cha miaka 10 sasa ni kufanikiwa kuindoa CCM kwenye mioyo ya vijana wa tanzania na kuingiza CHADEMA kwenye akili na roho na mioyo ya watanzania waliowengi hasa vijana wasomi na hii ndiyo siri ya kifo na kushindwa kwa CCM,ikumbukwe kuwa hata ANC na nelson Mandela walipita vikwazo vingi na mateso mengi ya ubaguzi kabla ya kutwaa nchi,CHADEMA msilale na wala msikate tamaa ukombozi wa kweli unakaribia!
Huko nyuma ktk moja ya mada zangu JF nilieleza habari nilizoelezwa na mtonyaji wangu Serikalini kwamba kuna mipango mibaya ya kuihujuma chadema ili kuithibiti kabla ya 2015
Nilielezwa kwamba serikali ya JK imepewa kuchagua jambo moja kati ya options 3 kuhusu Chadema ambayo ni;
1) awe tayari kuwapa nchi 2015
2)aisambaratishe Chadema sasa kabla ya 2015 au
3)waibatize ccm kiwe chama kipya kimya kimya ili iendeleze sera za ccm.

Leo naomba kuthibitisha ukweli wa mtonyaji wangu kwa kutumia matukio mapya yaliyotokea baada ya mada yangu hapa JF. Ukweli huu ni wa kuthibitisha kwamba Serikali imeamua kutumia mkakati kuhakikisha kwamba demokrasia haitachukua mkondo wake 2015 na badala yake wameamua (no 2 na 3 kwa pamoja) na kuisambaratisha chadema kwa mbinu zozote nzuri na mbaya na kuibaitiza ccm .

A) Nitatoa mifano michache ya hujuma hiyo na Sakata jipya la Lwakatare halafu nitamalizia ubatizo mpya wa ccm.

1. Sakata la Lwakatare linataka kugeuzwa kisiasa dhidi ya Chadema.
sakata tata la Lwakatare ambalo linaonesha kwamba video yenyewe ina kila dalili kwamba ni ya kuchonga imeanza kutumika kimkakati dhidi ya Chadema kwa lengo la kuichafua. Ikumbukwe kuwa, jambo hili linatokea muda mfupi baada ya Mwigulu Nchemba kudai kwamba ametumiwa meseji ya kutiswa maisha na Mnyika jambo lililothibitika baadaye kwamba siyo kweli. Badala yake tukajuzwa kuwa kuna mtambo ulioingizwa kutoka nje ambao ulifanya kazi hiyo. Mwigulu hakushtakiwa kwa kudanganya ama kumchafua Mnyika? Swali ni je, kama meseji ya Mwigulu ilikuwa ni hujuma ya wazi ya ccm dhidi ya Chadema, ni kitu gani kitufanye tuamini video hii ya Lwakatare iliyoanza kurushwa hewani na Mwigulu Nchemba huyo huyo tangu dec 2012? Na ni kpindi hicho hicho ambacho video hii ya Lwakatare inaonesha ilitengenezwa. kwanini hawakuileta public muda wote? Na je, juhudi na nguvu inayotumika kwa Lwakatare kwanini haitumiki kwa Mwigulu aliyedai kutumiwa meseji hiyo au kutafuta chombo hicho kilichotumiwa na Mwigulu? Kama siyo Chadema kupre empty ina maana Mnyika naye angekulala Lupango kama Lwakatare. Hali hii mpaka lini?

2
Taarifa za kuwindwa kwa Dr Slaa, John Mnyika na Lema;
Habari za kuwindwa kwa viongozi hao ni hujuma za wazi dhidi ya Chadema. Jana nimesoma magazetini kwamba Mbowe naye kaunganishwa ktk wanaowindwa. Pamoja hilo la viongozi wa Chadema kuwindwa, tishio la maisha ya waandishi wa habari nchini ambalo limesharipotiwa mpaka ktk magazeti ya ulaya ni wazi lengo lake ni kudhibiti habari. Na wazi pia kwamba kati ya habari inayothibitiwa ni habari za chadema ambacho ni adui wao namba moja wa serikali ya ccm.

3
Wakati ule nilipotonywa sikujua kwamba, kutakuwa na mkakati wa kutoonesha Bunge live ulioibuliwa mwezi uliopita – bahati nzuri mkakati ukakwama. Japokuwa hoja dhaifu iliyotumika ni vurugu Bungeni lakini ni wazi kwamba walikuwa wanahujumu Chadema.

4
Hujuma za wazi dhidi ya Wabunge wa Chadema Bungeni kama vile kukwamishwa kwa hoja zao binafsi ,kuunganisha baadhi ya kamati za kuduma na kupindisha kanuni za Bunge wazi wazi, vinathibitisha kwamba kuna mkakati mkubwa wa kuihujumu Chadema.

5
Ununuzi wa viongozi wa Chadema kwa kutumia fedha na ahadi ya vyeo bila kusahau sakata la viongozi wa Bavicha ni juhudi nyingine za kuithibiti Chadema.

Hayo mambo 5 yanathibitisha kwamba kuna jitihada za kuisambaratisha Chadema.
Je, kauli za Nape Nnauye, Mwigulu na Steven Wasira kwamba Chadema itakufa walikuwa wanategemea mkakati huu?

B) Mbinu ya tatu ilikuwa ni kuibatiza ccm au kuibadilisha ccm kwa kuanzisha chama kipya.
Wakati ule nilipoleta habari ya mtonyaji kwamba kuna mkakati wa ndani kabisa wa kuibadilisha ccm au kuibatiza ccm watu hawakunielewa hata kidogo. Wiki iliyopita kulikuwa na taarifa ktk mitandao ya kijamii iliyomnukuu msajiliwa vyama akisema kwamba, ofisi yake inaandaa mswada wa sheria wa kuruhusu vyama kuungana. Baada ya tamko hilo nadhani sasa ninaeleweka zaidi kuliko wakati ule nilipokuwa naleta taarifa za mtonyaji.
Ikumbukwe, huko nyuma serikali ya ccm ndo iliyokwamisha sheria ya vyama kuungana. Sasa, iweje sheria hiyo ikaletwa na serikali ile ile ya ccm? Huu ni uthibitisho wa taarifa za mtonyaji wangu ya kuibatiza ccm kwa jina jingine au kuanzisha muungano na chama kingine ili jina ccm lililochokwa libadilishwe.
Huu ni mkakati unafanywa na viongozi wa ccm na idara kwa siri sana kwa muda mrefu.

Swali ni Je, watafanikiwa kuizuia Chadema kuingia Ikulu 2015. Jibu langu ni Hapana – hawataweza. LET US WAIT AND SEE.
 
CDM has to prove that its hundred times smarter than CCM! Otherwise it may end being a permanent opposition. To fight with someone in power you need to be more brilliant than him.

It is not necessary to be brilliant or powerful read the story of King David and Goliath from the Book Of GOD you will see how arrogance always prove failure!
 
ccm wafanye wawezalo na waghushi video na kila aina ya upuuzi uliopo ndani ya akili zao lakini siwezi kuja kuwaamini tena. Chama kinachotengeneza ugaidi ili kiwape kesi watu si chama cha kuwaongoza watu kufikia maendeleo-Wtanzania kikataeni.
 
Mh! Nafikiri hii siyo Movie ya kawaida...

Aweda,naikumbuka sana ile post yako.ni jambo la kusikitisha kwa viongozi kulazimisha madaraka ilhali hawakubaliki tena.hii inawasababisha kutumia umafia kunyamazisha wale wote wanaotaka kuleta mabadiliko kwa kulinda maslahi ya taifa.lakini upepo wa mabadiliko ukianza kuvuma hauachi hadi mambo yaliyokusudiwa yabadilike.Umafia wa serikali utachelewesha tu muda lakini hautazuia mabadiliko.wanapokuwa wanachelewesha mabadiliko wanajichagulia wenyewe njia ya kuondoka.kuondoka madarakani kwa kushindwa ktk uchaguzi ni njia ya heshima ambayo hulinda heshima na usalama wa viongozi kuliko kuondolewa kwa nguvu ya jeshi au umma.nawaambia watawala wajue kuwa wanavyohujumu upinzani wanajihujumu na wao wenyewe kwa kuondoa demokrasia.siku uhuru na demokrasia vikiisha wananchi hawatakubali,watatafuta kuvirudisha kwa gharama yoyote.haitakuwa kesi ya Chadema wala CUF tena!ndio maana narudia kusema kwamba CCM wasifikirie kuua upinzani,ni shock absorber yao!wakiumaliza basi wajiandae kukabiliana na tetemeko kuu ndani ya injini,usukani na kila kitu.anguko la upinzani litakuwa anguko la siasa yote ya Tz pamoja na CCM yenyewe!shibe isiwatie upofu jamani tazameni mbele huku mkifanya tafakuri ya kina.msikurupuke!
 
I agree with you 100%
 
mi nafikir diplomasia na siasa safi imewashinda ccm kuna haja ya kutafuta mbinu nyingine ya kupambana nao...ukiwa kwene tundu la kifutu na wewe kuwa kifutu.
 
Mkuu tulia mmeshikwa pabaya; Endapo Dr. Slaa anaongea uongo na kuwachafua kwa nini msimkamate ilkhali nyie ndo wenye dola? Mnajua mziki wake ndo maana mnaishia kutoa mapovu kupitia keyboard zenu. Ishu imeshafika mahakamani, kwa nini mnapanic, kuweni wapole mshuhudie jinsi magogoni na UHASAMA wa taifa mnavyo umbuka.

It is not your fault!
 
Mkuu acha porojo, CHADEMA ndiyo haswa chaguo la watanzania; Kama huamini subiri mziki wake wa 2014-2015.
Hakuna cha mziki wala nini. Nyie endeleeni kupiga kelele JF na kuandamana mitaani; ikifika 2015 kama kawaida Rais mpya atatoka CCM na itakuwa hivyo kwa miaka 100 ijayo. Wapiga kura wenye akili timamu hawawezi kuikabidhi nchi kwa watu mnaoendekeza violence na kupanga kuumiza wanahabari. Hamna credentials za kuaminiwa kupewa IKULU. Amini, usiamini, hamtachukua nchi kwakua hamkubaliki kwa wapiga kura walio wengi. Ila mtapata kura za wachaga, waendesha bodaboda, na wamachinga ambao mnawahamisha kuandamana. Kura za watu wenye "address" ambao ndio wengi hamtazipata.
 
CCM haikubaliki kwa wananchi walio wengi, bali ina shabikiwa na MISUKULE wachache ambao hawajitambui akiwemo wewe mwenyewe.

CHADEMA inakubalika na MISUKULE kama wewe ambao hamjui lolote isipokua fujo,kuandamana,kukaidi na kuvunja sheria, kupanga kuumiza wanahabari na ugaidi. Makesha sana humu JF na mtaandamana sana lakini IKULU mtaisikia redioni na kwenye TV. Katika safu yenu ya uongozi CHADEMA hakuna mtu credible zaidi ya ZITTO. Huyo ndio pekee ambaye anaweza akawashawishi watanzania wakampa Urais; ni huyo tu. Anaaminiwa na kupendwa na wananchi wote hata wa CCM ndio maana hata bungeni anaongoza Kamati Nyeti ya Hesabu za Serikali. Kutokana na hilo, mnamchukia na kumfanyia mizengwe badala ya kumjenga na kumtumia kwa maslahi yenu kisiasa. Viva CCM, viva JK, viva Tanzania.
 
Back
Top Bottom