Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,901
- Thread starter
- #161
Huna hoja. Hayo yote ulioandika hapo ni mambo yasiyo na ushahidi. ni hearsay tu na fabrication for your benefit. Mnatengeneza story halafu you unleash it to the public huku mkijidai kwamba kuna msiri wenu serikalini. Hakuna kitu kama hicho; never. hakuna mtu ambaye anaweza kuwa privy to all informations/operations in government ; hakuna ; duniani kote. Ni vizuri mkarudi tena Ujerumani au Urusi mkasome tena namna ya kuendesha propaganda; manake hamna ujuzi.
Mkuu ungetoa mfano kutoka kwenye thread kuu ili uijengee hoja ili niwe na uweza wa kukujibu. Ukisema tu hear say. Nitashindwa kukujibu. Do you mean kwamba hizo hujuma nilizotaja hazipo? Do you mean Tendwa haandai sheria husika? Be specific ili nijibu hoja yako.