mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady
Pepo Tokaaaa! Pepo la ngono!, Shetani mtoke huyu mwanasheria! Yaani ngono bwana inawatesa sana waafrika na ndiyo maana nasema kuwa kama dhambi ya ngono itawahukumu kweli watu, basi waafrika mbinguni sijui kama tutafika mia moja!
Si mmemwona huyu wakili anavyotaka kumtenda mtu aliyeko kwenye shida? hata nanyi mawakili mbinguni sahauni kabisa, dhambi zenu ni nyingi kama za viongozi wa CCM.
:A S tongue: