Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,293
- 10,712
Inaonekana UVCCM wanajua kilichowaua Malima Na Ditopile plus Wangwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
na huyu kama sio kiherehere ni nini
Pole sana lissu kichwa kimoja kinapambana na watu zaidi ya milioni moja naamin uta comeback again
Nchi inaendeshwa kinafiki hii
Aiseee"Bavicha wamekwepa kutaja kiini cha kifo cha Chacha Zakayo wangwe".
Kama bavicha wamekwepa kwa nini nyie mnaoongoza dola mmeshindwa kutaja na kuwafikisha katika vyombo vya sharia wakajibu tuhumu.
Ben Saanane -serikali ilidai inao uwezo wakuwapata waliompoteza mpaka leo kimya.Ikakataa hata vyombo kutoka nje visije kuchunguza kwamba police wa ndani wana uwezo lakini nyie UVCCM hampigi kelele kwamba police walete majibu.
Roma mpaka leo kimya juu ya waliomteka,
Clouds fm waliovamia kimya na siraha za smg zilionekana,na inawezekana watu mligundua kama cammera zimewanasa ndio mkaamua kuacha mlichokuwa mmefata lakini mwenye akili yeyote anajua mlifaata nini.
Kwa bahati mbaya tu msichojua na mlichofeli gali ya TL ina stick cammera kwa nje na zipo kuzunguka gali zima.Nahicho ndicho kinachowanyima usingizi wauwaji,nandio maana mnataka kumbana na dereva awape.Na TL alijua kwa nini dereva wake nimjoba wake,kwahiyo Uvccm tulieni TL apone aje kuwambia nani alifyatulia risasi na ushahidi upo,maana wanajulikana baada ya kufyatulia risasi walikimbia na gali kurudi dsm,wakapumzika morogoro,kesho yake asubuhi wakafanya mazoezi morogoro,wakaja dsm mpaka viwanja minazi mingi.
Poleni sana uvccm,simameni na watanzania na muache kusimama na chama chenu huo ndio uzalendo.
Watu kama nyinyi ndo mnahitajika kusaidia ktk upelelezi, maana umeongea kwa undani sana"Bavicha wamekwepa kutaja kiini cha kifo cha Chacha Zakayo wangwe".
Kama bavicha wamekwepa kwa nini nyie mnaoongoza dola mmeshindwa kutaja na kuwafikisha katika vyombo vya sharia wakajibu tuhumu.
Ben Saanane -serikali ilidai inao uwezo wakuwapata waliompoteza mpaka leo kimya.Ikakataa hata vyombo kutoka nje visije kuchunguza kwamba police wa ndani wana uwezo lakini nyie UVCCM hampigi kelele kwamba police walete majibu.
Roma mpaka leo kimya juu ya waliomteka,
Clouds fm waliovamia kimya na siraha za smg zilionekana,na inawezekana watu mligundua kama cammera zimewanasa ndio mkaamua kuacha mlichokuwa mmefata lakini mwenye akili yeyote anajua mlifaata nini.
Kwa bahati mbaya tu msichojua na mlichofeli gali ya TL ina stick cammera kwa nje na zipo kuzunguka gali zima.Nahicho ndicho kinachowanyima usingizi wauwaji,nandio maana mnataka kumbana na dereva awape.Na TL alijua kwa nini dereva wake nimjoba wake,kwahiyo Uvccm tulieni TL apone aje kuwambia nani alifyatulia risasi na ushahidi upo,maana wanajulikana baada ya kufyatulia risasi walikimbia na gali kurudi dsm,wakapumzika morogoro,kesho yake asubuhi wakafanya mazoezi morogoro,wakaja dsm mpaka viwanja minazi mingi.
Poleni sana uvccm,simameni na watanzania na muache kusimama na chama chenu huo ndio uzalendo.
An old woman is usually uneasy when dry bones are mentioned in a proverbSHAKA AUNGURUMA
Maneno yaliosemwa na bavicha yanatakiwa kupuuzwa na watanzania werevu wenye kuitakia mema nchi yetu"
Vikra na mitazamo ya BAVICHA inapaswa kulaumiwa kwani wameonyesha utovu wa nidhamu kwa Serikali"
"Tukio la Lissu si la kuleta siasa, si la kuanza kuchochea vurugu"
"Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi unawakanya Bavicha waache kiherehere.
"UVCCM inawakanya BAVICHA kuacha kiherehere wakati huu ambao vyombo vya dola inatimiza wajibu wao"
"UVCCM inaunga mkono kwa mara ya kwanza kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ambae alitaka tusinyoosheane kidole"
"UVCCM inaomba Mwenyezi Mungu amponye Mhe. Tundu Lissu arudi kwenye majukumu yake kama kawaida"- Shaka
"Matamshi ya BAVICHA yana nia na lengo la kupalilia chuki na hasama kwan yamethubutu kuingilia medani za kintelejinsia na upelelezi" - Shaka
"Kuishutumu Serikali na na kudai eti inaendeshwa kwa mfumo kandamizi si tu kama ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu" - Shaka
Tukio la kushambuliwa Mhe. Lissu na watu wasiojulikana si jambo dogo na jepesi kama inavyochukuliwa na BAVICHA na viongozi wake" - Shaka
"Yapo matukio mengi huko nyuma yamewahi kutokea. Mengine yamepoteza maisha ya viongozi wa juu wa Serikali kabla hili la Mhe. Lissu" - Shaka
"BAVICHA wamekwepa kutaja kiini cha kifo cha kushangaza cha Marehemu Chacha Zakayo Wangwe." - Shaka
"Mbowe ametamka matamshi yaliopevuka kifikra na kisiasa tofauti na povu lilivyowatoka vijana wake na kuonyesha uchanga katika siasa" - Shaka
"UVCCM tulitegemea kuona ujasiri wao wanaojigamba na kuwapa kiburi, wangehoji mazingira tata ya vifo vya Malima na Ditopile" - Shaka
"UVCCM tunaendelea kushauri ni vema kwa wakati huu tukaongozwa na busara kuliko pupa na ushabiki" - Shaka
"UVCCM tunamuomba Mwenyezi Mungu amponye Mhe. Lisu aje kushirikiana na Watanzania wenzake kujenga na kuliendeleza taifa letu." - Shaka
toto la zenji hilo Kutoka kushindia na kulalia chai ya rangi na midizi mpaka sasa kuku chips .ingekuwa maajabu domo lileta chakula hicho linyamazeSHAKA AUNGURUMA

wanafiki wakafie lumumba kuleSHAKA AUNGURUMA