Sakata La Lissu. "Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) unawakanya BAVICHA waache kiherehere"

"Bavicha wamekwepa kutaja kiini cha kifo cha Chacha Zakayo wangwe".

Kama bavicha wamekwepa kwa nini nyie mnaoongoza dola mmeshindwa kutaja na kuwafikisha katika vyombo vya sharia wakajibu tuhumu.

Ben Saanane -serikali ilidai inao uwezo wakuwapata waliompoteza mpaka leo kimya.Ikakataa hata vyombo kutoka nje visije kuchunguza kwamba police wa ndani wana uwezo lakini nyie UVCCM hampigi kelele kwamba police walete majibu.

Roma mpaka leo kimya juu ya waliomteka,

Clouds fm waliovamia kimya na siraha za smg zilionekana,na inawezekana watu mligundua kama cammera zimewanasa ndio mkaamua kuacha mlichokuwa mmefata lakini mwenye akili yeyote anajua mlifaata nini.

Kwa bahati mbaya tu msichojua na mlichofeli gali ya TL ina stick cammera kwa nje na zipo kuzunguka gali zima.Nahicho ndicho kinachowanyima usingizi wauwaji,nandio maana mnataka kumbana na dereva awape.Na TL alijua kwa nini dereva wake nimjoba wake,kwahiyo Uvccm tulieni TL apone aje kuwambia nani alifyatulia risasi na ushahidi upo,maana wanajulikana baada ya kufyatulia risasi walikimbia na gali kurudi dsm,wakapumzika morogoro,kesho yake asubuhi wakafanya mazoezi morogoro,wakaja dsm mpaka viwanja minazi mingi.

Poleni sana uvccm,simameni na watanzania na muache kusimama na chama chenu huo ndio uzalendo.
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana hapo mwisho eti wanasema Lissu apone haraka aje kusaidia kujenga taifa, wakati kila siku mnamwita msaliti. Hii imenikumbusha fumanizi ambapo hata dume liwe na misuli likifumaniwa na mke wa kajamaa kadogo linakuwa pole hadi linaweza kuliwa kiboga. Hii kauli imejaa kujishuku kwa kila aina, huyu Shaka aisaidie polisi
 
Hizi ngonjera za siasa ni mbaya sana japo kwa Tanzania ni ngumu kutojihusisha nazo ila nashukuru mungu nimefanikiwa kuto kujihusisha na siasa za kinafiki za CHADEMA pamoja na CCM
 
"Bavicha wamekwepa kutaja kiini cha kifo cha Chacha Zakayo wangwe".

Kama bavicha wamekwepa kwa nini nyie mnaoongoza dola mmeshindwa kutaja na kuwafikisha katika vyombo vya sharia wakajibu tuhumu.

Ben Saanane -serikali ilidai inao uwezo wakuwapata waliompoteza mpaka leo kimya.Ikakataa hata vyombo kutoka nje visije kuchunguza kwamba police wa ndani wana uwezo lakini nyie UVCCM hampigi kelele kwamba police walete majibu.

Roma mpaka leo kimya juu ya waliomteka,

Clouds fm waliovamia kimya na siraha za smg zilionekana,na inawezekana watu mligundua kama cammera zimewanasa ndio mkaamua kuacha mlichokuwa mmefata lakini mwenye akili yeyote anajua mlifaata nini.

Kwa bahati mbaya tu msichojua na mlichofeli gali ya TL ina stick cammera kwa nje na zipo kuzunguka gali zima.Nahicho ndicho kinachowanyima usingizi wauwaji,nandio maana mnataka kumbana na dereva awape.Na TL alijua kwa nini dereva wake nimjoba wake,kwahiyo Uvccm tulieni TL apone aje kuwambia nani alifyatulia risasi na ushahidi upo,maana wanajulikana baada ya kufyatulia risasi walikimbia na gali kurudi dsm,wakapumzika morogoro,kesho yake asubuhi wakafanya mazoezi morogoro,wakaja dsm mpaka viwanja minazi mingi.

Poleni sana uvccm,simameni na watanzania na muache kusimama na chama chenu huo ndio uzalendo.
Watu kama nyinyi ndo mnahitajika kusaidia ktk upelelezi, maana umeongea kwa undani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHAKA AUNGURUMA

Maneno yaliosemwa na bavicha yanatakiwa kupuuzwa na watanzania werevu wenye kuitakia mema nchi yetu"

Vikra na mitazamo ya BAVICHA inapaswa kulaumiwa kwani wameonyesha utovu wa nidhamu kwa Serikali"

"Tukio la Lissu si la kuleta siasa, si la kuanza kuchochea vurugu"

"Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi unawakanya Bavicha waache kiherehere.

"UVCCM inawakanya BAVICHA kuacha kiherehere wakati huu ambao vyombo vya dola inatimiza wajibu wao"

"UVCCM inaunga mkono kwa mara ya kwanza kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ambae alitaka tusinyoosheane kidole"

"UVCCM inaomba Mwenyezi Mungu amponye Mhe. Tundu Lissu arudi kwenye majukumu yake kama kawaida"- Shaka

"Matamshi ya BAVICHA yana nia na lengo la kupalilia chuki na hasama kwan yamethubutu kuingilia medani za kintelejinsia na upelelezi" - Shaka

"Kuishutumu Serikali na na kudai eti inaendeshwa kwa mfumo kandamizi si tu kama ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu" - Shaka

Tukio la kushambuliwa Mhe. Lissu na watu wasiojulikana si jambo dogo na jepesi kama inavyochukuliwa na BAVICHA na viongozi wake" - Shaka

"Yapo matukio mengi huko nyuma yamewahi kutokea. Mengine yamepoteza maisha ya viongozi wa juu wa Serikali kabla hili la Mhe. Lissu" - Shaka

"BAVICHA wamekwepa kutaja kiini cha kifo cha kushangaza cha Marehemu Chacha Zakayo Wangwe." - Shaka

"Mbowe ametamka matamshi yaliopevuka kifikra na kisiasa tofauti na povu lilivyowatoka vijana wake na kuonyesha uchanga katika siasa" - Shaka

"UVCCM tulitegemea kuona ujasiri wao wanaojigamba na kuwapa kiburi, wangehoji mazingira tata ya vifo vya Malima na Ditopile" - Shaka

"UVCCM tunaendelea kushauri ni vema kwa wakati huu tukaongozwa na busara kuliko pupa na ushabiki" - Shaka

"UVCCM tunamuomba Mwenyezi Mungu amponye Mhe. Lisu aje kushirikiana na Watanzania wenzake kujenga na kuliendeleza taifa letu." - Shaka
An old woman is usually uneasy when dry bones are mentioned in a proverb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hajakemea kauli za kichochezi za mwenyekiti wake wa chama?
 
Bavicha wameshindwa kueleza chanzo cha vifo vya kushangaza vya Malima na Ditopile!! Uvccm chonde chonde tuambieni kinagaubaga kilichowaua viongozi hao wawili, maana tunajua Malima alikufa ghafla na Ditopile naye alikufa ghafla hotelini baada ya kumuua dereva kwa pistol. Sasa kama wenzetu mnajua chanzo cha vifo hivi na vingine vya Chacha Wangwe tuliyeambiwa amekufa kwa ajali, tuelezeni jamani.

ACHA nikae KIMYA...!
 
SHAKA AUNGURUMA

Maneno yaliosemwa na bavicha yanatakiwa kupuuzwa na watanzania werevu wenye kuitakia mema nchi yetu"

Vikra na mitazamo ya BAVICHA inapaswa kulaumiwa kwani wameonyesha utovu wa nidhamu kwa Serikali"

"Tukio la Lissu si la kuleta siasa, si la kuanza kuchochea vurugu"

"Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi unawakanya Bavicha waache kiherehere.

"UVCCM inawakanya BAVICHA kuacha kiherehere wakati huu ambao vyombo vya dola inatimiza wajibu wao"

"UVCCM inaunga mkono kwa mara ya kwanza kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ambae alitaka tusinyoosheane kidole"

"UVCCM inaomba Mwenyezi Mungu amponye Mhe. Tundu Lissu arudi kwenye majukumu yake kama kawaida"- Shaka

"Matamshi ya BAVICHA yana nia na lengo la kupalilia chuki na hasama kwan yamethubutu kuingilia medani za kintelejinsia na upelelezi" - Shaka

"Kuishutumu Serikali na na kudai eti inaendeshwa kwa mfumo kandamizi si tu kama ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu" - Shaka

Tukio la kushambuliwa Mhe. Lissu na watu wasiojulikana si jambo dogo na jepesi kama inavyochukuliwa na BAVICHA na viongozi wake" - Shaka

"Yapo matukio mengi huko nyuma yamewahi kutokea. Mengine yamepoteza maisha ya viongozi wa juu wa Serikali kabla hili la Mhe. Lissu" - Shaka

"BAVICHA wamekwepa kutaja kiini cha kifo cha kushangaza cha Marehemu Chacha Zakayo Wangwe." - Shaka

"Mbowe ametamka matamshi yaliopevuka kifikra na kisiasa tofauti na povu lilivyowatoka vijana wake na kuonyesha uchanga katika siasa" - Shaka

"UVCCM tulitegemea kuona ujasiri wao wanaojigamba na kuwapa kiburi, wangehoji mazingira tata ya vifo vya Malima na Ditopile" - Shaka

"UVCCM tunaendelea kushauri ni vema kwa wakati huu tukaongozwa na busara kuliko pupa na ushabiki" - Shaka

"UVCCM tunamuomba Mwenyezi Mungu amponye Mhe. Lisu aje kushirikiana na Watanzania wenzake kujenga na kuliendeleza taifa letu." - Shaka
toto la zenji hilo Kutoka kushindia na kulalia chai ya rangi na midizi mpaka sasa kuku chips .ingekuwa maajabu domo lileta chakula hicho linyamaze
 
Ngoja atumalize sisi kwanza. Zamu yenu itagika na ndipo mtaelewa maana sahihi ya kiherehere

‍♂️naenda zimbobo.
 
SHAKA AUNGURUMA

Maneno yaliosemwa na bavicha yanatakiwa kupuuzwa na watanzania werevu wenye kuitakia mema nchi yetu"

Vikra na mitazamo ya BAVICHA inapaswa kulaumiwa kwani wameonyesha utovu wa nidhamu kwa Serikali"

"Tukio la Lissu si la kuleta siasa, si la kuanza kuchochea vurugu"

"Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi unawakanya Bavicha waache kiherehere.

"UVCCM inawakanya BAVICHA kuacha kiherehere wakati huu ambao vyombo vya dola inatimiza wajibu wao"

"UVCCM inaunga mkono kwa mara ya kwanza kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ambae alitaka tusinyoosheane kidole"

"UVCCM inaomba Mwenyezi Mungu amponye Mhe. Tundu Lissu arudi kwenye majukumu yake kama kawaida"- Shaka

"Matamshi ya BAVICHA yana nia na lengo la kupalilia chuki na hasama kwan yamethubutu kuingilia medani za kintelejinsia na upelelezi" - Shaka

"Kuishutumu Serikali na na kudai eti inaendeshwa kwa mfumo kandamizi si tu kama ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu" - Shaka

Tukio la kushambuliwa Mhe. Lissu na watu wasiojulikana si jambo dogo na jepesi kama inavyochukuliwa na BAVICHA na viongozi wake" - Shaka

"Yapo matukio mengi huko nyuma yamewahi kutokea. Mengine yamepoteza maisha ya viongozi wa juu wa Serikali kabla hili la Mhe. Lissu" - Shaka

"BAVICHA wamekwepa kutaja kiini cha kifo cha kushangaza cha Marehemu Chacha Zakayo Wangwe." - Shaka

"Mbowe ametamka matamshi yaliopevuka kifikra na kisiasa tofauti na povu lilivyowatoka vijana wake na kuonyesha uchanga katika siasa" - Shaka

"UVCCM tulitegemea kuona ujasiri wao wanaojigamba na kuwapa kiburi, wangehoji mazingira tata ya vifo vya Malima na Ditopile" - Shaka

"UVCCM tunaendelea kushauri ni vema kwa wakati huu tukaongozwa na busara kuliko pupa na ushabiki" - Shaka

"UVCCM tunamuomba Mwenyezi Mungu amponye Mhe. Lisu aje kushirikiana na Watanzania wenzake kujenga na kuliendeleza taifa letu." - Shaka
wanafiki wakafie lumumba kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wanaojiita Vijana wa CCM kwa uhakika ni kama Wazee wenye mikongojo kimawazo. Badala ya kuiambia serikali wanayoiongoza iwakamate wahalifu, leo siku ya nne, wauaji hawajulikani walipo, kweli? Hawa ni mapunguani tu wanaofikiri wana uwezo wa kuwatawala watu kwa mtutu wa bunduki. Watashindwa. Wote waliojaribu walishindwa, itakuwa CCM na vikinda vyake!
Nawaomba vijana wote wapinda haki katika nchi yetu wasimame kidete kuipigania haki ya uhai ambayo kwa hawa wanaojiita uvccm wanaiona kama ni takataka. Wao wana dola, ilishindikana vipi kuwabaini watu waliotenda matukio yote hayo?
Bavicha ni wakati muafaka na nakubaliana na ninyi kuwa "wasiojulikana washughulikiwe kwa njia zisizojulikana".
hapo ndipo heshima itarudi.
 
Shaka, naomba nikuulize swali: Nani hasa Polisi waligundua kuwa alimuua Chacha Wangwe, na alichukuliwa hatua gani?
 
Back
Top Bottom