the_forum
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 774
- 1,001
Soko likibuma nadhani wajeda watazikaanga watafune
Soko likibuma nadhani wajeda watazikaanga watafune
Mkuu hivi karibuni tulipata Majanga si hizo za dharura tu, hata rambirambi zilienda kufanya kazi nyingine, hazipo..Serikali siku zote ina pesa za dharula, mfano vita, njaa na majanga. Kilichopo hapa ni mazoea ya matajiri kuwa juu ya watawala kwa miaka 30 iliyopita. La pili ni maono mafupi ya watendaji kutofikiria Viwanda vya kuchakata mazao ghafi, hasa waziri wa Viwanda na wa kilimo
Kwa kuongezea tu hapo kwenye No. 1Kwanza kabisa Salam Wakuu..
Niende moja kwa moja kwenye Mada, Nimeona kipande cha video Mkuu wetu akiongea na Jeshi, Dhamira yake iko wazi kabisa kwamba Wanajeshi wawe tayari kwenda kusomba Korosho, Lakini kuna Maswali hapa...
1.Pesa za Kununua Zinatoka Mfuko gani?
2. Kwanini Jeshi na siyo taasisi Nyingine?
3. Je hakukua na Ulazima wa Bunge Kushirikishwa?
4.Nani atasimamia Manunuzi ili kusiwe na Ufisadi au Kuonewa ?
5. Je Mahusiano na Wafanyabiashara yatakuaje baada ya Maamuzi haya?
Kila la heri Wakulima.
Hapa wanaweza kuja na Visingizio vya Magari ni Machache.Hatari sana Mkuu..Kwa kuongezea tu hapo kwenye No. 1
- Kiasi Cha pesa kitakachotumika = 210,000T x 1000Kg/T = 210,000,000 Kg
- 210,000,000 Kg x 3,000 Tsh/Kg = 630,000,000,000.00 Kwa kifupi ni Bilioni 630 zitatumika kwa manunuzi pekee, hatujaweka mafuta ya kubeba hizo korosho, posho za wanajeshi wetu na gharama nyingine.
(3,000×1,000)×200,000+=?Serikali siku zote ina pesa za dharula, mfano vita, njaa na majanga. Kilichopo hapa ni mazoea ya matajiri kuwa juu ya watawala kwa miaka 30 iliyopita. La pili ni maono mafupi ya watendaji kutofikiria Viwanda vya kuchakata mazao ghafi, hasa waziri wa Viwanda na wa kilimo
Kirosho kwan ni janga mkuuSerikali siku zote ina pesa za dharula, mfano vita, njaa na majanga. Kilichopo hapa ni mazoea ya matajiri kuwa juu ya watawala kwa miaka 30 iliyopita. La pili ni maono mafupi ya watendaji kutofikiria Viwanda vya kuchakata mazao ghafi, hasa waziri wa Viwanda na wa kilimo
Njaa mbaya sanaSubiri Jumatatu mwana
Kua uyaone....unaikumbuka iyo kauli...?Inawezekana Mkuu, nani anaweza kupanga Bei na kundi la Wanajeshi, Wengine watagawa bure kwa uoga.
Hashauriki, tena alisisitiza ..na hakubali kushindwa..Ukweli ni kwamba huyu bwana anachukia sana wafanyabiashara yeye fikrani mwake anahisi anaweza lazimisha vitu na vikawa katika dunia hii ya sasa, ndo maana haishiwi gubu na wafanyabiashara kinachomuuma ni kukataa ukweli kwamba licha ya yeye kua na nguvu na mamlaka ya viti kuna baadhi ya viti i.e nguvu za kiuchumi hawezi kuziendesha
Mkuu ondoa shaka na hofu ikutue. Hakuna punje ya korosho itakayonunuliwa na serikali.Kwanza kabisa Salam Wakuu..
Niende moja kwa moja kwenye Mada, Nimeona kipande cha video Mkuu wetu akiongea na Jeshi, Dhamira yake iko wazi kabisa kwamba Wanajeshi wawe tayari kwenda kusomba Korosho, Lakini kuna Maswali hapa...
1.Pesa za Kununua Zinatoka Mfuko gani?
2. Kwanini Jeshi na siyo taasisi Nyingine?
3. Je hakukua na Ulazima wa Bunge Kushirikishwa?
4.Nani atasimamia Manunuzi ili kusiwe na Ufisadi au Kuonewa ?
5. Je Mahusiano na Wafanyabiashara yatakuaje baada ya Maamuzi haya?
Kila la heri Wakulima.