Sakata la Korosho: Ni kweli Mkuu wa Nchi amedhamiria, Lakini tungependa kujua baadhi ya Mambo...

Serikali siku zote ina pesa za dharula, mfano vita, njaa na majanga. Kilichopo hapa ni mazoea ya matajiri kuwa juu ya watawala kwa miaka 30 iliyopita. La pili ni maono mafupi ya watendaji kutofikiria Viwanda vya kuchakata mazao ghafi, hasa waziri wa Viwanda na wa kilimo
Mkuu hivi karibuni tulipata Majanga si hizo za dharura tu, hata rambirambi zilienda kufanya kazi nyingine, hazipo..
Zitatoka kwingine lakini Mfuko wa dharura umenuna.
 
Kwanza kabisa Salam Wakuu..
Niende moja kwa moja kwenye Mada, Nimeona kipande cha video Mkuu wetu akiongea na Jeshi, Dhamira yake iko wazi kabisa kwamba Wanajeshi wawe tayari kwenda kusomba Korosho, Lakini kuna Maswali hapa...
1.Pesa za Kununua Zinatoka Mfuko gani?
2. Kwanini Jeshi na siyo taasisi Nyingine?
3. Je hakukua na Ulazima wa Bunge Kushirikishwa?
4.Nani atasimamia Manunuzi ili kusiwe na Ufisadi au Kuonewa ?
5. Je Mahusiano na Wafanyabiashara yatakuaje baada ya Maamuzi haya?

Kila la heri Wakulima.
Kwa kuongezea tu hapo kwenye No. 1
  • Kiasi Cha pesa kitakachotumika = 210,000T x 1000Kg/T = 210,000,000 Kg
  • 210,000,000 Kg x 3,000 Tsh/Kg = 630,000,000,000.00 Kwa kifupi ni Bilioni 630 zitatumika kwa manunuzi pekee, hatujaweka mafuta ya kubeba hizo korosho, posho za wanajeshi wetu na gharama nyingine.
 
Hapa wanaweza kuja na Visingizio vya Magari ni Machache.Hatari sana Mkuu..
 
Serikali siku zote ina pesa za dharula, mfano vita, njaa na majanga. Kilichopo hapa ni mazoea ya matajiri kuwa juu ya watawala kwa miaka 30 iliyopita. La pili ni maono mafupi ya watendaji kutofikiria Viwanda vya kuchakata mazao ghafi, hasa waziri wa Viwanda na wa kilimo
(3,000×1,000)×200,000+=?
 
  • Thanks
Reactions: prs
Serikali siku zote ina pesa za dharula, mfano vita, njaa na majanga. Kilichopo hapa ni mazoea ya matajiri kuwa juu ya watawala kwa miaka 30 iliyopita. La pili ni maono mafupi ya watendaji kutofikiria Viwanda vya kuchakata mazao ghafi, hasa waziri wa Viwanda na wa kilimo
Kirosho kwan ni janga mkuu
Mbona nyanya za wakulima ziliozea morogoro shamban mkuu akakaa kimya
Kahaw huku moshi kg ni 1500 au majanga ni kwa wanyonge tu eeee
 
Ukweli ni kwamba huyu bwana anachukia sana wafanyabiashara yeye fikrani mwake anahisi anaweza lazimisha vitu na vikawa katika dunia hii ya sasa, ndo maana haishiwi gubu na wafanyabiashara kinachomuuma ni kukataa ukweli kwamba licha ya yeye kua na nguvu na mamlaka ya viti kuna baadhi ya viti i.e nguvu za kiuchumi hawezi kuziendesha
 
Hashauriki, tena alisisitiza ..na hakubali kushindwa..
 
Kwanza kabisa Salam Wakuu..
Niende moja kwa moja kwenye Mada, Nimeona kipande cha video Mkuu wetu akiongea na Jeshi, Dhamira yake iko wazi kabisa kwamba Wanajeshi wawe tayari kwenda kusomba Korosho, Lakini kuna Maswali hapa...
1.Pesa za Kununua Zinatoka Mfuko gani?
2. Kwanini Jeshi na siyo taasisi Nyingine?
3. Je hakukua na Ulazima wa Bunge Kushirikishwa?
4.Nani atasimamia Manunuzi ili kusiwe na Ufisadi au Kuonewa ?
5. Je Mahusiano na Wafanyabiashara yatakuaje baada ya Maamuzi haya?

Kila la heri Wakulima.
Mkuu ondoa shaka na hofu ikutue. Hakuna punje ya korosho itakayonunuliwa na serikali.
 
Mfumo uli feli ndio huwa unategemea jishi, na akili zake anafikri anawafurahisha ili wawe wake..maskini anatumia nguvu nyingi kuliko akili.
Inasikitisha sana Mkuu.
 
Nasubiri kuona nchi zenye kununua korosho zetu ambazo food safety ni kitu cha lazima wakinunua korosho zilizo nunuliwa na kubanguliwa na Jeshi.
 
Haya yatakua maajabu mengine Mkuu..
 
Back
Top Bottom