Sakata la KKKT: Msajili aliyesimamishwa kazi na Mwigulu kwa kuandika barua batili Maaskofu, arudishwa kazini

This is one of the reasons iliopelekea Stone Cold kumfukuza kazi kijana Chemba, ingawa John hakutaka kuiweka wazi na hii ndio sababu huku wananchi tunaamini Msaji alifuata maagizo toka Pembeni ya Ferry inayofanya safari zake kati ya kigamboni na pale kwenye soko la samaki.
 
Back
Top Bottom