Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
ndio hapo nitaua ntuLabda wanataka hilo koti??
ndio hapo nitaua ntuLabda wanataka hilo koti??
ha hahaha ha a..nangojea hadi wajukuu sasa hivi kakaalikuwa likizo ndefu baada ya kumaliza mitihani yake ya form 4
hawachelewi hawaumejishtukia ee?
acha ushushushu na weweprivete maladoi sankti ivunga. Ti va vzshee maladesi
hawa watot hawafai mkuu wamesoma miaka minne then wanaenda kuandika lyrics za bongo fleva kwenye mtihani wa taifa..mzazi kalipa ada for four years dudeMkuu hawa watoto wa dot.com wakorofi sana!
dah! Ukisikia kufuatiliana ndo huku!!!!!
niombe radhi kwa kuniweka kundi moja na dada ff yule yuko hapa kikazi analipwa mm nipo hapa kula bata na kubadilishana ma news na watz wenzangu..dunia yako chaguo lako chagua kuwa na furaha.Kusema ukweli hata mimi nimewahi kujiulza, st. Ivuga ni mtu au kundi la watu all the time yupo humu. Hata hvyo co yy tu hata dada FF labda awe na ban
dah! Ukisikia kufuatiliana ndo huku!!!!!
There are currently 5 users browsing this thread. (5 members and 0 guests)
niombe radhi kwa kuniweka kundi moja na dada ff yule yuko hapa kikazi analipwa mm nipo hapa kula bata na kubadilishana ma news na watz wenzangu..dunia yako chaguo lako chagua kuwa na furaha.
huyu huwa hapendagi kutabasamu hadi nimemlazimisha si unaona tabasam lake la kulazimisha . sema ndio hivyo anapiga kaziUlibadili lini? Yule secretary wako bado yupo?........nilimmaindi sana
wewe ndio umenichoka kweli..kisa cha kunifananisha na hao watu ndio nini?Huenda anatumia cell phone ndo mana ni kama yupo muda wote! Au ni mtoto wa EL so, pesa ipo kibao akafanya kazi ya nini! Au kazi yake inafanana na ile ya N.ape, zipo sababu kibao.