Saint ivuga unapiga mzigo saa ngapi

Ivunga tangu alipwe fedha ya GASPROM na mmoja wa hawa watu kwa kazi nzuri aliyofanya, basi hata kazi hataki.

Unachezea hela ya Gasprom wewe?

beautifulprettyrussiangirlsfemalepolicewomanbeauty1_thumb.jpg
beautifulprettyrussiangirlsfemalepolicewomanbeauty7_thumb.jpg
hah aha a kaka kule niliondoka mda sana ..sema ndio nimeoa huko huko .ukienda kule huwezi kurudi mwenyewe
 
ndio huyu huyu yupo..halafu nina kesi na wewe..hii picha umeitoa wapi?kweli JF ni koboko ..siku ukikuta picha ya mke wako imetundikwa huku usizimie ni mambo ya kawaida aisee dah!!

Nilimpiga kwa simu yangu ya HU-HO-HANG akanipa na namba yake.......ila nikaja kugundua ni namba ya chasis ya gari bana......
 
bwaha bwaha, Saint Ivuga unapatikana wapi kwa hapa nataka kesho nikupe Ofa ya Biere, najihisi nitakua mwenye bahati
 
Huenda anatumia cell phone ndo mana ni kama yupo muda wote! Au ni mtoto wa EL so, pesa ipo kibao akafanya kazi ya nini! Au kazi yake inafanana na ile ya N.ape, zipo sababu kibao.
 
Huenda anatumia cell phone ndo mana ni kama yupo muda wote! Au ni mtoto wa EL so, pesa ipo kibao akafanya kazi ya nini! Au kazi yake inafanana na ile ya N.ape, zipo sababu kibao.
natumiaga simu mara chache sana.
 
Back
Top Bottom