Saikolojia: Dalili kwamba mkeo haridhiki na utendaji wako wa kitandani

  1. *DALILI KWAMBA MKEO HARIDHIKI NA UTENDAJI WAKO WA KITANDANI*

    ......
    1f337.png
    1f337.png
    _Tendo bora la ndoa linatakiwa kuandamana na uwezo wa mawasiliano yaliyo wazi na bila soni. Lakini, ukiwa miongoni mwa wale wasiokubali mapungufu na mkeo akawa mwenye soni, atasita kukueleza kuwa haridhiki na utendaji wako wa kitandani. Lakini, unaweza kulielewa hilo kupitia njia maalumu au kwa kuangalia ishara zifuatazo:_
    1f337.png
    1f337.png
    *1. Utaona anazungumza na watoto kwa ukali kiasi kwamba ukiangalia sababu ya huo u...kali huioni.*
    1f337.png
    1f337.png
    _2. Utaona matumizi yanaongezeka, huku akizidisha kujinunulia vitu binafsi, badala ya vitu vya wote._
    1f337.png
    1f337.png
    *3. Uzito wake utaongezeka, kwa sababu anakula kwa msukumo wa mihemko.*
    1f337.png
    1f337.png
    _4. Atakuonesha ishara ambazo ukiwa pamoja na marafiki zako hakuna anayezielewa tofauti na wewe._
    1f337.png
    1f337.png
    *5. Anakurushia maneno yenye mafumbo kila anapopata fursa.*
    1f337.png
    1f337.png
    _6. Anakuwa hana msisimko kitandani, anakuwa baridi kama barafu, atakupa mwili tu, lakini moyo uko sehemu nyingine kabisa._
    1f337.png
    1f337.png
    *7. Utamuona anakosa utulivu mara kwa mara, na wakati mwingine anaweza kuonesha hali ya kuwa na mchecheto.*
    1f337.png
    1f337.png
    _8. Huonekani kuwa una jema lolote, anakukosoa kwa kila unalosema na kulifanya._
Mh.....inawezekana sana Mkuu tena zaidi ya asilimia 70 maana japo sijaoa lakini nina rafiki zangu naonaga!
 
Mkuu nadhani umechanganya na dalili za mwanamke anayechepuka au vyote viwili.
 
Huyo mke NAYE hajielew anakubal Vipi kukaa na nyeee zote hivo Sasa kama anamuogopa mume wake kumueleza ukweli atajiachia kwa Nani?
Huyo Mke anaogopa kumwambia ukweli mume wake huenda kukatokea ugomvi ndicho anacho ogopea hicho.Si unajuwa waume wengine ukimwambia ukweli anakasirika na kukutolea ukali usiotarajia.
 
Unajuwa usipo mfikisha mke wako kileleni anakuwa na tabia ya ukali wa kupita kiasi mkuu jaribu kuchunguza maneno yangu utakuja siku kuniambia maneno yangu yana ukweli ndani yake. Sio tabia zao ni nyege nyingi zilizopo mwilini wewe Mume unatakiwa uzimalize kwa kumfikisha mke wako kileleni.

NAKUSALIMIA SHIKAMOO
 
Huyo Mke anaogopa kumwambia ukweli mume wake huenda kukatokea ugomvi ndicho anacho ogopea hicho.Si unajuwa waume wengine ukimwambia ukweli anakasirika na kukutolea ukali usiotarajia.

SIO UKALI USITARAJIA TU !utajuta maisha yako yooooote!hilo gubu lake !bora uchill
 
Mkuu nadhani umechanganya na dalili za mwanamke anayechepuka au vyote viwili.
Sijachanga wewe hauja nielewa makusudio yangu mimi niliyo ya kusudia ni hivi ikiwa wewe hamfikishi kileleni mke wako atakuwa na hasira aka Saikolojia mbaya kwani hauja mmaliza nyege zake kitandani ukisha fika wewe kileleni hauna haja tena ya kumfikisha mwenzako kileleni sasa zile nyege anazo bakiwa nazo Mke wako zinamfanya akili yake isiweze kufanya kazi vizuri. Ndio anakuwa Mwanamke au mke mwenye hasira mpaka hasira zake wakati mwengine huwa anawatolea watoto na hata wewe kukujibu maneno ya mkato ukimuuliza swali au wakati mwengine ukikosea kitu atakifanya hicho kitu ulicho kosea kuwa ni kikubwa sana. Kwa kukutolea maneno yasiyofaa ujuwe hapo Mke wako ana nyege hauja mmaliza kitandani wakati mulipo kuwa munacheza mpira wenu wewe unafunga magoli yeye hata goli moja kumpa unashindwa ili afunge? ninafikiri umesha niapta vizuri.
 
Ni kweli mimi nikimaliza muda mrefu bila kuliwa nakuwa km chui mwenye mimba full hasira na kubweka

Hahaahah !aiseee !mie hata colgate sitamanig kushea na mtu yaan huyu mtoa mada huyuuuuuu!ukinigusa nawakaa!nishazoea
 
Sijachanga wewe hauja nielewa makusudio yangu mimi niliyo ya kusudia ni hivi ikiwa wewe hamfikishi kileleni mke wako atakuwa na hasira aka Saikolojia mbaya kwani hauja mmaliza nyege zake kitandani ukisha fika wewe kileleni hauna haja tena ya kumfikisha mwenzako kileleni sasa zile nyege anazo bakiwa nazo Mke wako zinamfanya akili yake isiweze kufanya kazi vizuri. Ndio anakuwa Mwanamke au mke mwenye hasira mpaka hasira zake wakati mwengine huwa anawatolea watoto na hata wewe kukujibu maneno ya mkato ukimuuliza swali au wakati mwengine ukikosea kitu atakifanya hicho kitu ulicho kosea kuwa ni kikubwa sana. Kwa kukutolea maneno yasiyofaa ujuwe hapo Mke wako ana nyege hauja mmaliza kitandani wakati mulipo kuwa munacheza mpira wenu wewe unafunga magoli yeye hata goli moja kumpa unashindwa ili afunge? ninafikiri umesha niapta vizuri.

nikiongeza nitaharibu !maana umemaliza bora uwaeleze wanaume wenzako
 
Unajuwa usipo mfikisha mke wako kileleni anakuwa na tabia ya ukali wa kupita kiasi mkuu jaribu kuchunguza maneno yangu utakuja siku kuniambia maneno yangu yana ukweli ndani yake. Sio tabia zao ni nyege nyingi zilizopo mwilini wewe Mume unatakiwa uzimalize kwa kumfikisha mke wako kileleni.
Kwani nyege huwa zinaisha
 
Back
Top Bottom