Iamwhoiamm
JF-Expert Member
- Oct 18, 2022
- 504
- 881
Kwenye saikolojia ya mapenzi wanaume na wanawake wanapenda tofauti wanaume wengi tunapenda mwanamke kwa muonekano ila wanawake wengi wanapenda wanaume kwa njia tofauti ,cha kwanza uwe unamvutia kihisia yaan bad boy ,
Pili muonekano ingawa ni wachache sana ndio maana unaweza ukawa na muonekano ila ukawa mr nice guy nafikiri mmeelewa ila wanawake wengi wanapenda watu ambao wana wapotezea hawana time nao na wana mambo yao ya msingi so bad boy haimaanishi kwamba ni muhuni ila njia anazopata mwanamke ni njia zakutokumjali sana mwanamke ....
Mr nice guy ni mwanaume anayemjali mwanamke kwa kila kitu lakini yeye mwisho wa siku ndio anakuwa fala ......Ata single mothers wengi wamezalishwa na bad boys ila waliwakataa mr nice guy iyo ndio saikolojia ya mapenzi ya mwanaume na mwanamke