Saikoloijia ya mapenzi

WATU WENGI WAMESHINDWA KUELEWA MAANA YA NENO BAD BOY BAD BOY NI MWANAUME ANAYEMTEKA MWANAMKE KIHISIA NDIO MAANA WAZUNGU WANASEMA "MONEY CAN NOT BUY LOVE BUT IT CAN GIVE YOU HAPINESS" NI KWELI KWAIYO WANAUME WENZANGU MSITUMIE PESA KUPATA MWANAMKE TUMIA PESA YAKO KUWA NA FURAHA ZAKO MWENYEWE NA VITU AMBAVYO UNA PRIORITIES NAVYO MWANAMKE SAHIHI ATAKUJA TU LAKINI UKIWA NA MENTALITY KWAMBA PESA NDIO MAPENZI NI UONGO AND THAT'S REALITY MAPENZI NI HISIA SIO PESA UKIWA MJINGA UTAONGA MWANAMKE LAKINI UKIWA MWEREVU NAKUJITAMBUA UTA MHONGA MWANAMKE
Huwajui wanawake Kuna Wanaume wanalazimishwa mapenzi kwa wanawake na wanafanikiwa, wengine wanafail kitu ambacho unatakiwa ujue life is not fair
 
…tuishi na wanawake kwa akili,kwahyo ma bad boy ndo wenye akili…!!? yaani unazalisha unaacha/unakimbia damu yko ndo u bad boy….unakimbia majukumu bad boy???maviiii😂🤣

….Au bad boy ni yule mwamba,anae weza control manzi kuanzia mbili bila kuzipunja kihuduma,yaani nikiona mwanaume mwenzangu kazizalisha manzi tatu na anazihudumia bila vurugu huyo nammpa salute mana anakili timamu..
 
N

NDIO MAANA NIMESEMA WANAWAKE WENGI WANAPENDA BAD BOYS NDIO SAIKOLOJIA YAO IKO HIVYO KIHISIA MZEE YAAN WENYEWE NDIO WAKO IVYO WANAPENDA BAD BOY ILA WANAKUJA KUJUTA TUKIO LIKISHATOKEA NAFIKIRI UMENIELEWA
 
PIA MZEE MWENZANGU KINGSAE UNAWEZA UKAWA NA ELA NA MWANAMKE ASIKUELEWE ILA AKAWA NA WEWE KI MASLAHI HAMNA MTU AMABAYE ANAKUWA INSECURE NA MAHUSIANO KAMA MWANAUME MWENYE ELA ILA MWENYE ELA MJINGA NDIO ANAWEZA ASIWE INSECURE
 
N

NDIO MAANA NIMESEMA WANAWAKE WENGI WANAPENDA BAD BOYS NDIO SAIKOLOJIA YAO IKO HIVYO KIHISIA MZEE YAAN WENYEWE NDIO WAKO IVYO WANAPENDA BAD BOY ILA WANAKUJA KUJUTA TUKIO LIKISHATOKEA NAFIKIRI UMENIELEWA
Hyo inafahamika mkuu watoto wengine wanapenda pipi…kutokana na utamu wake na akili zao….so ni Sawa na wasichana weng wakikutana vijana wenzao weng wenye akili kama zao ndo hutokea hayo mkuu…..
 
UKILAZIM
Huwajui wanawake Kuna Wanaume wanalazimishwa mapenzi kwa wanawake na wanafanikiwa, wengine wanafail kitu ambacho unatakiwa ujue life is not fair
UKILAZIMISHA MAPENZI KWA MWANAMKE. UTAKUWA FALA NI BORA UPOTEZEE SENSA ISHAFANYIKA WAO NI WENGI KULIKO SISI MI NAONA KUM'NGA'NGANIA MWANAMKE NIKUJISHIA THAMANI KAMA MWANAUME AKIKATAA POTEZEA CUT OFF CONTACT ASIKWAMBIE SIJUI TUWE MARAFIKI ATAKUTESA KIHISIA IT'S BEST UMPOTEZEE KILA MTU AENDELEE NA MAMBO YAKE
 
Hyo inafahamika mkuu watoto wengine wanapenda pipi…kutokana na utamu wake na akili zao….so ni Sawa na wasichana weng wakikutana vijana wenzao weng wenye akili kama zao ndo hutokea hayo mkuu…..
ATA WAKUBWA MWANAMKE PEAK YAKE YAKUTAMBA NI 30 ANAPOTEZA MVUTO WA KIMAHUSIANO NA NI KWELI MWANAMKE AKIFIKISHA 30YEARS AJAOLEWA ANACHANGANYIKIWA KIAKILI LABDA ILA KWENYE AGE FULANI ANAWEZA AKATOKEA MTU AKAMWELEZA UKWELI AKAMKAATAA WANASAIKOLOJIA WA MAPENZI WANASEMA USIMWAMBIE MWANAMKE UNAMPE DA KAMWE ATAKUPENDA NICE GUYS WAO WENGI WANAFANYA IVYO ILA BAD BOYS WANA LETS THINGS FLOW WITHOUT SAY ANYTHING IF YOU KNOW WHAT I MEAN IVI VIUMBE VYA KIKE ATTRACTION ZETU NA ZAO NI TOFAUTI KABISA MZEE
 
UKILAZIM

UKILAZIMISHA MAPENZI KWA MWANAMKE. UTAKUWA FALA NI BORA UPOTEZEE SENSA ISHAFANYIKA WAO NI WENGI KULIKO SISI MI NAONA KUM'NGA'NGANIA MWANAMKE NIKUJISHIA THAMANI KAMA MWANAUME AKIKATAA POTEZEA CUT OFF CONTACT ASIKWAMBIE SIJUI TUWE MARAFIKI ATAKUTESA KIHISIA IT'S BEST UMPOTEZEE KILA MTU AENDELEE NA MAMBO YAKE
Wako waliolazimisha na wakafanikiwa mwanamke unamshawishi zaman huu ujinga wa mwanamke kupenda haukuwepo mwanamke unaambiwa mwanaume huyu hapa wa kukuoa na anakubali na ndoa zinadamu

Sasa hivi wote mnapendana lakin ndoa hazidumu, ndo inabebwa na Iman kwa kiasi kikubwa mwanamke unayemuoa baada ya mda ule uzuri wake unapotea wote same kwa mwanaume kwa hiyo upendo unapoa Ila Iman ndo inayoibeba ndoa
 
Back
Top Bottom