Safari za Rais Samia zawaletea mchele wa virutubisho kutoka Marekani, taifa langu tunaelekea wapi?

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Waziri aliyepokea msaada wa chakula hicho naona ajiuzuru Tanzania hatuna shida ya chakula hasa mchele na alizeti ambavyo vimetoka Marekani.

NI aibu sana kwa taifa kuomba msaada wa chakula huku tulichonacho kinatosheleza ni bora kama mlivyozoea mungeomba hata pesa tukamaliza miradi ambayo inaenda kwa kusinyaa hasa miundo mbinu ya Barabara n.k.

Mchele wenye virutubisho tumeletewa tumieni nyie wenyewe mimi nitatumia huu niliouzoea tangu enzi za mababu zetu.

Ushauri wangu angalieni na misaada mnayoiomba iwe ya tija kwa taifa.
 
Biblia Inasema Nitapiga Mchunga Kondoo Na Kondoo Watatawanyika


Yaani Wanawapelekea Watoto Ambao Ndiyo Nguvu Kazi Ya Taifa
Hawa Wajiuzuru Haraka Haraka
Waziri Wa BBT
Katibu Wa BBT
Build Better Tommorrow
 
Waziri aliyepokea msaada wa chakula hicho naona ajiuzuru Tanzania hatuna shida ya chakula hasa mchele na alizeti ambavyo vimetoka marekani ! NI aibu Sana kwa taifa kuomba msaada wa chakula huku tulichonacho kinatosheleza NI Bora kama mlivyozoea mungeomba hata pesa tukamaliza miradi ambayo inaenda kwa kusinyaa hasa miundo mbinu ya Barabara n.k.

Mchele wenye virutubisho tumeletewa tumieni nyie wenyewe Mimi nitatumia huu niliouzoea tangu enzi za mabu zetu.

Ushauri wangu angalieni na misaada mnayoiomba iwe ya tija kwa taifa .
Utauzwa madukani hutojua. Hili ni janga la kitaifa.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Watanzania mmejaa ujinga pamoja na kusoma kidogo.

Hakuna chakula kisicho na virutubisho Tz, anza na unga wa ngano, kisha mafuta ya kupikia
 
Hii project ilifanyika pia mkoa wa Mara kwa miaka 6, badae ndio wakahamia Dodoma.
 
Jamii ya watanzania mkiona nguvu kazi imepotea kwa kuzalisha vijana wale wanaoyembea mikono imelegea wasitafute mchawi ni nan atakuwa NI waziri wetu wa BBT na namba moja ! Binafsi Mimi NI Mkulima mzuri Tu hazina yangu ipo ndani nitatumia hiyo na niliyolima baada ya kuingia huo mchele tutakutana kwenye minofu Tu nyama n.k.
 
Jamii ya watanzania mkiona nguvu kazi imepotea kwa kuzalisha vijana wale wanaoyembea mikono imelegea wasitafute mchawi ni nan atakuwa NI waziri wetu wa BBT na namba moja ! Binafsi Mimi NI Mkulima mzuri Tu hazina yangu ipo ndani nitatumia hiyo na niliyolima baada ya kuingia huo mchele tutakutana kwenye minofu Tu nyama n.k.
😚😙😚😙😚😙
 
Back
Top Bottom