Wadau mwishoni mwa wiki(ijumaa hadi jumapili)nilikua safarini,nilikwenda Ifakara ambako ni makao makuu ya wilaya ya KILOMBERO,safari hii ilikua ni ya kibinafsi!
NILIYOYA0NA HUKO
-Jimbo la kilombero ambalo linawakilishwa na Abdul Mteketa bado lina matatizo meng sana.
1.BARABARA.tangu nimeijua ifakara ni zaid ya miaka 15,ila barabara ni tatzo,mfano kutoka Mkamba hadi Ifakara mjini ni umbali wa km 65,ila gari hutumia zaid ya saa 2 hadi 3 kutembea,hapo ndo kwa kipindi cha Kiangazi,umefika wakati wabunge wa jimbo lile wakajipinda kuhakikisha lami inawekwa,Ubovu wa barabara umesababisha kuna sehemu inaitwa Mang'ula malori zaid ya 20 yalikwama.
2.MAJI!
Wilaya ya kilombero imejaaliwa kuwa na utajiri wa maji,kun mito ming sana,kila baada ya km 5-10 kuna mto au kajimto,maji yanatiririka,ajabu maji ya Bomba ni anasa,watu wanatumia maji ya visima na mtoni,maeneo ya mjini kuna Mto Lumemo ambao haukauk maji mwaka mzima,pia nje kidogo ya mji kuna mto KIL0MBERO, tatizo ni nin hadi maji yakosekane?
3.UMEME
jaman hata kama ni mgao ila Ifakara ni too much,wilaya ya Kilombero inazalisha umeme,ila iwe kuna mgao au hakuna UMEME ni tatzo,juz ulikatka saa 10 alasiri,had jana saa 5 haujarud,
wito kwa mh.REGIA MTEMA NA PAPAA MTEKETA,WAPGA KURA WENU WANAWATEGEMEA MUWASEMEE KERO ZAO