kwanini mlirudi kumwangukia awsaidie kampeni?
Kumwangukia nani na kampeni gani?
kwanini mlirudi kumwangukia awsaidie kampeni?
Kwanza unajua fika kuwa hatukuwahi kutoa siku tisini kama unavyodai,isipokuwa tulitoa muda wa kutoka kikao mpaka kikao! Nawewe ni shahidi wapo waliotoka na si kama mnavyoeneza eti hakuna aliyetoka kabisa! Na kwakujua kuwa wapo wataogoma kutoka tukasema muda tuliotoa ukiisha tutarudi kuchukua hatua kwenye vikao,muda wa kutoka kwa hiari uliisha na tumeriudi kwenye vikao na wanashughulikiwa baada ya uchaguzi wa ndani ya Chama njooni hapa mniulize
Sijakwepa swali na si style yangu kukwepa maswali. Ni seme hata huyo nape wa mwaka2005 alikuwa anatukanwa sana humu, so humu hakuna shukurani nami najua isipokuwa kwa wateule wachache wa CDM nasema wachache si wote! Kwahiyo kama wana nguvu tuwaachie Chama? Na unajua maana yake?
Umesema kuna watu walipewa miezi mitatu wajiondoe UANACHAMA WA CCM, nimekuuliza WALIPEWA HUO MUDA NA NANI NA NI KINA NANI WATU HAO?
Ni weke rekodi sawa sijauliza swali kama hilo labda wachangiaji wengi.lakini labda nikukumbushe tu hayo maneno ya miezi mitatu,siku tisini yalikuwa ni maneno ya Nape,Chiligati na Mkama.Mliokuwa mnawalenga ni Lowasa,rostam na chenge.
Hata kama utakwepa au kupinga lakini yaliandikwa na yapo vichwani kwa watanzania.

hili sio swali ni taarifa tu kwa Nape:Mwabie JK na serikali yenu ya mbwepande kuwa,japokuwa najua kwamba wanajua ila wambie tena kuwa swala la serikali kumteka na kumtesa dr ulimboka mpaka kizazi hiki kipite serikali haiwezi kulifuta vichwani mwetu hata mfanyeje labda mformat vichwa vyetu upya tufute kila kitu tuanze upya.hata mmkamate osama kuwa ndie aliyehusika hilo hakuna kitu.hukumu ya kesi ya dr.ulimboka2015.ni hiyo tu taarifa

Hahahaaaaa! DAMU NA NYAMA HAZIKUKUFUNULIWA UKWELI HUO. CONGRATS!!!!!Muu Nnauye Jr Katika Kampeni za Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde alitoa Matusi ya Nguoni Jukwaa ( Ushahidi Upo) lakini Polisi hawakumwita hata Kumhoji. Juzi tumeona Jeshi la Polisi limewashtaki akina Kitika eti kwa Kosa la Kutoa lugha ya Matusi. Je Wananchi Tukisema kwamba Jeshi la Polisi linafanya kazi kwa Maelekezo ya CCM UTAKANA? Yaani PoliCCM? I hate CCM with all my HEART na Inapozungumziwa nazidi kuichukia zaidi
Hahahaaaaa! DAMU NA NYAMA HAZIKUKUFUNULIWA UKWELI HUO. CONGRATS!!!!!