Safari ya JK Monduli, Nape una maoni gani?

hili la uli ukiligusa tu nape huyooooo...kwa heri, anajua kila kitu na roho inamsuta,hili litawatafuna sana...usicheze na damu isiyo na hatia,kwa wale wakristo yuko wapi yuda baada ya kuisaliti damu isiyo na hatia?
 
Nnauye Jr "CCM itwaonyesha Madaktari kwa Vitendo kwamba Serikali yake si dhaifu". Siku Mbili baada ya Kauli yako Dr. Ulimboka alitekwa, Akateswa na Akatelekezwa katika Msitu wa Pande. Mkuu Nnauye Jr

Damu ya Ulimboka Itakufata Popote Ulipo Mkuu
 
Nnauye Jr Nasikia kila siku Mnailipa Symbion Capacity Charge ya shilingi Miliobi 152. Huu si ufisadi kweli. Yaani Mnataka tuwapende pamoja na kutuingiza katika Mikataba ya Kinyonyaji kama ya IPTL, Songas, Richmond, Kiwira, Buzwagi na Mingine mingi? Real?
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kutaka kusafisha Chama kwa kuwalenga watu, unalenga tabia au matendo machafu sasa kama kuna watu wanayatenda hilo si lako ulie asisi usafishaji ni la mtendaji. Kwahiyo sio sawa kutaja watu wachache, NIMEKUWA NIKISISITIZA NI CHAMA KIZIMA,INAWEZEKENA KUKAWA NA WATU WANATAJWA TENA NA NYINYI KAMA MIFANO LAKINI SI TAASISI KULENGA WATU KADHAA BALI KULENGA VIONGOZI WENYE TABIA ZINAZONYOOSHEWA VIDOLE NA WANANCHI.
Nape, naomba uniwie radhi kama utanielewa vibaya lakini niseme tu kwamba sisi tuliokaa pembeni tunakuona dhahiri kuwa unafanya jitihada kubwa kuonyesha kuwa chama kinapambana na ufisadi wakati ukweli ni kwamba chama chako kimeendelea kukumbatia mafisadi. Hilo halina ubishi na watanzania wengi wanaona kinachoendelea ndani ya chama ni dalili ya anguko kubwa.
 
Bw Nape najua ukweli unao moyon, wajumbe hapo juu wamejitahid kukumbusha baadh ya mambo lakin unaonekana kuyakwepa na hivyo kudhihilisha kuwa msimamo wako wa 2005 na huu wa leo ni tofauti kabisa. Wajumbe wengi hapa ni wapiga kura, em niambie kwanin kura za CCM zilipungua sana 2010? JIBU ni tuhuma za rushwa na ufisad ndan ya Chama.

SWALI lingine, wee unadhan kwanin ulipewa hiyo nafas uliyonayo sasa ndan ya Chama? JIBU ni kwamba ulionyesha ungeweza kurudisha iman ya wapiga kura wenu hasa kuhusu hizo tuhuma, na ilitokana na baadh ya misimamo yako kabla ya kupewa cheo. Leo hii unaikana misimamo yako kwa sentens nyepes kabisa, JIULIZE MARA MBILI kwanin ulipewa nafas na waliokupa nafas walikuwa na malengo gan hasa kuhusu rushwa ndan ya Chama? Na wanaUHUSIANO gan na hao wala rusha/Mafisad???? Au walitaka kuyateka mawazo yako tu, (WAKUNYAMAZISHE)?? Amka kijana mana naona wameshafanikiwa.

MWISHO, Kama 2010 kura zilipungua kwa tuhuma ambazo mliahid kwa nguvu sana kuzifanyia kazi, leo mnawasafisha watu kwa maneno mepesi kabisa, Hamuoni mnaendelea kukizika Chama? 2015 Sio mbali. NAJUA UKWELI UNAUMA, LAKIN JIKAZE TU KUUTAFAKAR NA KUUFANYIA KAZI, POLE SANA KIJANA, SIASA NI MCHEZO MCHAFU HASA UKIWA NA KADI YA KIJANI.
 
Nape kwa nini CCM na Serikali inasita kuchukua maamuzi mazito na ambayo yapo dhahiri hata midomoni mwa watu kwa kisingizio kuwa hakuna ushahidi?Matokeo yake chama kinazidi kuchafuka kwa kukosa huo ushahidi? Ina maana CCM na serikali yake hamna vyombo vyenu vya kiintelejensia ambavyo vinaweza kunusa na kusaidia chama kupunguza huu uchafu? Hivi kweli CCM ina taka ushahidi gani kuhusu "Tamko la Vijisenti". Rejea hotuba ya Mwl. Nyerere pale Kilimajaro Hotel na waandishi wa Habari kuhusu habari ya Rusha? maana yule Mgiriki alifukuzwa East Afrika kwa fununu tu, na ushahidi ulipatikana baadaye na hatua kuchukuliwa?
 
Nnauye Jr Nasikia kila siku Mnailipa Symbion Capacity Charge ya shilingi Miliobi 152. Huu si ufisadi kweli. Yaani Mnataka tuwapende pamoja na kutuingiza katika Mikataba ya Kinyonyaji kama ya IPTL, Songas, Richmond, Kiwira, Buzwagi na Mingine mingi? Real?

Nani kakuomba UTUPENDE??!!!!??? Pls usijipendekeze si vizuri
 
Last edited by a moderator:
Ndo shida ya kushindia kipande cha muhogo mbichi!!! unajitungia tu maneno.

Mkuu Nnauye Jr Heri wewe Unayeshindia Baga, Piza na Mapochopocho kwa Kodi Zetu. Mkuu Sikupenda Kushindia Mihogo ila Nafurahia maana Nawakilisha watanzania wengi ambao tunashindia Mihogo na Maji. Lakini Wote tunaoshindia Muhogo na Maji tunaunganishwa na Dhamira moja tu

Kuwang'oa watawala walivimbiwa Ugimbi wa Madaraka na Kuishia Kutoa Kauli za Kejeli kwetu sisi tushindiao Muhogo. Lakini sisi Masiki tutashinda kwa Umoja wetu

Damu ya Ulimboka Itakufuata kokote uendako
 
Last edited by a moderator:
Eti Nape amekimbilia Facebook kwenda kujisifu kuwa anajibu maswali JF. We jamaa kweli hamna kitu. Yaani hivyo vijimajibu vyako unavyotoa hapa ndiyo unaona umejibu kitu cha maana kiasi cha kujisifia Facebook?
 
Hii vita Nape huiwezi umeshaachwa umesimama mwenyewe na wakikutoa kwenye hiko cheo hapo ujue ndio imekula kwako
 
Nnauye Jr Nasikia kila siku Mnailipa Symbion Capacity Charge ya shilingi Miliobi 152. Huu si ufisadi kweli. Yaani Mnataka tuwapende pamoja na kutuingiza katika Mikataba ya Kinyonyaji kama ya IPTL, Songas, Richmond, Kiwira, Buzwagi na Mingine mingi? Real?

badala ya kupima virusi vya ukimwi ni bora upime damu uone kama kuna chembe chembe za uccm uanze tiba mapema coz siku za hivi karibuni imegundulika kwa utafiti uliofanyika unaonesha kuwa ni bora ukimwi kuliko ccm!!!
 
Nani kakuomba UTUPENDE??!!!!??? Pls usijipendekeze si vizuri

Kauli za Waliolewa kwa Kodi za Wananchi

Lakini Mkuu Maneno yako dhidi ya Madaktari na Kichapo cua Ulimboka Vitakutesa. Na Kokote nitakokokutana na wewe nitakukumbusha juu ya kauli yako

"CCM itwaonyesha Madaktari kwa Vitendo kwamba Serikali yake si dhaifu". Siku Mbili baada ya Kauli yako Dr. Ulimboka alitekwa, Akateswa na Akatelekezwa katika Msitu wa Pande.
 
Eti Nape amekimbilia Facebook kwenda kujisifu kuwa anajibu maswali JF. We jamaa kweli hamna kitu. Yaani hivyo vijimajibu vyako unavyotoa hapa ndiyo unaona umejibu kitu cha maana kiasi cha kujisifia Facebook?

Kawaida yao Uzuri wa JF hakuna Kuangalia Mtu usoni. Kule Facebook ukiwananga kama Hapa basi kesho ndugu zako watakufata Mabwepande ha ha haaaaaa
 
Nape vipi tena mbona tembo unalitia maji?jitahidi kutuliza munkari bado hoja ninyingi.Vipi ule mkataba wa jengo la vijana kuna jipya?

Aliyeshiba hamkumbuki Mwenye Njaa. Anafikiri sisi tunapenda kushindia Kipande cha Muhogo Mbichi. Acha Watoto wa Vigogo wale Baga na Piza lakini Mwisho wao ni 2015
 
Nnauye Jr Unazungumziaje Vigogo wa Serikali na Watoto wao Kujipatia Viwanja Gezaulole huku sisi Walimu Tunaosotea Mshahara unaolingana na Posho yako ya siku Tukisshia Kuliwa 30,000 zetu za Maombi ya Viwanja. Jee Hii si Dhuluma kwa sisi Masikini?
 
Aliyeshiba hamkumbuki Mwenye Njaa. Anafikiri sisi tunapenda kushindia Kipande cha Muhogo Mbichi. Acha Watoto wa Vigogo wale Baga na Piza lakini Mwisho wao ni 2015

mkuu ivi kweli 2015 tutafika?naona kama siku zimeganda.
 
Back
Top Bottom