Sabodo afukuzwe uanachama CCM - Mashishanga

uzalendo ni pamoja na kukosoa na kukemea pale mabaya yanapotendeka hata kama ni makosa yametendwa na chama chako.ccm wanazid kujidhihirisha kuwa ni wezi na wasiopenda kukosolewa.Big up Mr Sabodo.
 
Waliishi maisha ya peponi wakidhani pepo haiwezi kuchafuka kwa dhambi nyingi nao dhambi zinawatesa wana acha hata uwezo wao wa kufikiri wana ropoka. Walizoea kuwatisha wananchi.

Leo Nape anasema Mwanza kwamba Nchi ni yetu sote, juzi Manzese alisema Nchi ni ya CCM, kumbe wakiwa maeneo huru wanatia akili siyo ? Sabodo katoka mzima mzima sasa hangaikeni naye. Si mjinga yule kujitokeza anajua anakipa kodi nk.

Walianza na Mbowe Kodi kodi leo wako kimyaaaaaaaaaaaaaaaa.Wapuuzi sana hawa. Dawa ni kuwapa maendeleo wananchi basi mtapendwa na si zaidi.
 
Wote Sabodo na Mashishanga ni vigeugeu hata yeye anakipigia chapuo CHADEMA labda kama ameacha jana.
 
Hakuna sheria inayomzuia Sabodo ku-support CDM, Mashishanga uzee unamjia vibaya, kila binadamu anasehemu kwenye mwili ambayo huwa inaanza kuezeeka.
 
Uyu mzee ivi yupo kambi ya nani CCM?kumbukeni hichi ni kipindi cha lala salama sasa uyu mzee baada ya kutoswa miaka 5 iliyopita kaamua kujitokeza kipindi iki nae aonekane kama mpambanaji ila navojua mashishanga alivochoka saivi akipewa hata ukuu wa wilaya atakubali kweli nimeamini njaa aina bouncer.
 
Wamewashindwa Chenge na Lowasa wanahamia kwa Sabodo.

Watimueni kwanza kina Chenge na Lowasa. Msijiongezee mzigo ambao hamna uhakika wa kuubeba.
 
wanaanza kufukuza wasafi?
wananikumbusha ule utani wa mento kwamba NDANI KWENU NI KUCHAFU MPAKA MNAVUA VIATU WAKATI WA KUTOKA NJE.
 
Kwa hiyo ccm hakuna mwanachama wa kukikosoa chama hata Kama kinaonekana kinafanya makosa yatokanayo na wanachama wake?Mtu akiwa ktk ccm me nnaona Kama vile kalaaniwa sababu anachokiongea ni tofauti kbs,au sio akili zao!!.
 
Wakimfukuza Sabodo wajue kuna uwezekano wa wahindi wote kuhama naye huyu babu (Sabodo). Na kama tujuavyo hela za ccm zinatoka kwa wahindi. Mashishanga anatakiwa ajue kitanzi cha ccm ni kibaya sana na hakuna jinsi.
 
Sabodo amefuraishwa na utendaji kazi wa CDM, aliwapa 100mil kipindi cha kampeni, akawapa 100mil tena za kuchimba visima vya maji na sasa 500Mil, Mashishanga anaweweseka na Uzee, kila binadamu anasehemu katika mwili ambapo pana anza kuzeeka sasa tujiulize yeye Uzee unaanzia wapi.Sabodo kanyaga twende baba usitishe na kelele za hao wazee.
 
Kwa hiyo ccm hakuna mwanachama wa kukikosoa chama hata Kama kinaonekana kinafanya makosa yatokanayo na wanachama wake?Mtu akiwa ktk ccm me nnaona Kama vile kalaaniwa sababu anachokiongea ni tofauti kbs,au sio akili zao!!.
Kusema mtu akiwa CCM kalaaniwa ni upumbavu na poor thinking.
Kumbuka majority ya watanzania including wewe ni CCM!
 
Laiye mfananisha mashishanga na shibuda ushindweeeee katika jina la yesu,shibuda ni jembe tofauti na unavyofikiria sisi wana cdm ndio tunajua nafasi ya shibuda ktk
 
miafrika ndivyo ilivo, badala ya kutafuta tatizo ni nini inawaza kufukuza!!!!!!!!!!!
 
Kwa hiyo wataka kusema CDM ni wachovu kiasi hicho mpaka wategemee misaada kutoka kwa makada wa CCM ?. Hii ni aibu kwa CDM kupewa misaada na makada wa ccm kwani wanatakiwa wajipange kutafuta pesa zao wenyewe sio za makada wa ccm.
 
Mzee kishajichokea!

Hivi ina maana kuwa hajui kuwa kuna makada wengi wa CCM ambao wameichangi CDM kwa kificho kwa kuogopa kuwa victemized na CCM. Sabodo hataki unafiki unaokiua chama chake na nanataka ulimwengu ujue kuwa mabadiliko ya kifikra yanatakiwa ili kuwa na maendeleo. Mungu amwezeshe Mzee wetu Mashishanga kuuangalia mchango wa Sabodo kwa CDM kwa mtazamo chanya.

Mungu ambariki Sabodo kwa kuona mbali.
 
tatizo la CCM hawataki mawazo ya kupingana na fikra zao!mzee Sabodo daima amekuwa wazi na hisia zake na hana pa kusemea kwa kuwa haingii ktk vikao vya maamuzi
 
Back
Top Bottom