Sabodo afukuzwe uanachama CCM - Mashishanga

hivi hawa magamba hawataki kuona watu wazalendo wakisaidia harakati za ukombozi wa watanzania walio wengi swala la sabodo si kusaidia chadema shwala la sabodo kachangia harakati za ukombozi wa watanzania nimfano wa kuigwa hata yy mashishanga anaweza akajiunga tu katika halkati hizi.au anajipendekeza ili ateuliwe tena kuwa RC hakumbuki yy walivyomshugulikia mpaka sasa amebaki kuwa mpiga makofi vikaoni sabodo big up sanaaaaaaa wewe ni mfano wa kuigwa.
 
CCM at it again......akitokea mtu anayeonekana kuwa na akili kidogo, wanamtenga.
Wamtenge na Beno malisa basi!!
Na Ole sendeka amewaambia wafanye maamuzi wasiwe vuguvugu...''kama unamakosa unafukuzwa, sio unaambiwa jichunguze uamue mwenyewe''
 
Mzee Sabodo ameisaidia sana CCM kwa mamilioni ya shilingi jee huyu Mashishanga amewahi kuichangia nini CCM? Akafie mabali huko na njaa yake.
 
Huyu mzee anataka kujitafuatia kutangazwa na magazeti ili walau uchaguzi ujao aonekane kuwa anaweza kuwa na ushawishi huko Usukumani na hivyo atakuwa king maker wa huko ........

Mara ya mwisho kuongea ilikuwa lini vile......kabla ya kuitwa Igunga....

Mwanaye wa kumzaa Rachel Mashishanga ni Mbunge viti maalum CDM , mbona yeye anayejiona kada kuliko wengine mtoto wake ni mpinzani wa serikali ya CCM?
 
Hivi kada ndo nini? Mbona huyu Sabodo alishasema mwaka jana kwenye Mlimani Tv 'Ccm ufisadi kwishazidi mimi nataka saidia Chadema ilete changamoto' mie nikajua ameshahama Ccm kumbe bado ni kada au kada ina maana gani?
 
Hivi huyu mzee kumbe bado yupo?me nilishamsahau kitambo sana,hapo anajikomba ili apewe ka ulaji kengine na Mkulu,njaa bana ni mbaya sana ona sasa anavyojidharirisha.
 
Waanze kumfilisi kwanza ndyo wamfukuze,kwan wanachama wa ccm hamruhusiwi kukosoa?
Kama kutaja mali wameshindwa unategemea kufilisiana wataweza..?? Ndani ya CCM kila mtu amegeuka kuwa mlalamikaji...yaani hadi Rais naye ni mlalamikaji kwa watendaji wake..............
 
Adui mwombee njaa!
Mie namwomba Mungu CCM igawanyike vipande Vitatu, tupate CCM ya JK, (A), CCM ya EL (B) na CCM ya 6 (C). Kwa sababu wengi wao ni wachafu hata wakija CDM hawatapokelewa. Wakati huo CCM waungwana wote eg Sabodo watakuwa wameshafukuzwa! Hongera CCM kwa mawazo hayo!
 
Hivi Sabodo anajifanya kutowaheshimu viongozi wake (wa dini) ? nadhani huu ndo usaliti anaousema mashishanga, ambaye mwanaye ni mbunge wa CHADEMA...
 
Hivi huyu mzee kumbe bado yupo?me nilishamsahau kitambo sana,hapo anajikomba ili apewe ka ulaji kengine na Mkulu,njaa bana ni mbaya sana ona sasa anavyojidharirisha.

Hivi wewe unamfahamu mzee Sabodo? Huyu mzee hana shida ya vyeo, ni bilionnaire kati ya mabilionnare. Huyu mzee ana investiment na pesa zke zimetapaaka katika nchi nyingi kama Canada, Singapore, Uingereza n.k. na pia sio fisadi.
 
Hapo kinachoonekana hapo woga umewajaa viongozi wa ccm,mbona bado mapema!Ndo kabla ya 2015 naamini baadhi ya viongozi wa ccm watakua wamichanganyikiwa.
 
yule Dr. Rwaitama mbona haeleweki mara alitambulishe ni kada wa ccm mara mwanachama mfu,anam atatizo gani?
 
Mashishanga angekua baba yangu ningemkana kabisa,kati ya watu wanaochanganyikiwa vibaya ni huyo mzee lofa mkubwa,ujue hakumbuki ccm ya jk ilivyo mpiga ban kali na baadae hali ya Igunga ilivyo kuwa mbaya wakamtumia,sasa kameamua kajikombe zaidi kwa kutoa matamko ya kijinga,njaa mbaya
...Kale kazee kame-lost sana nadhani baada ya kuruka ruka na hatimaye JK kumtosa nadhani jembe limemchanganya kilosa huko anatafuta jinsi ya kurudi kimtindo ili magamba wamuonee huruma wampe maisha.
 
Back
Top Bottom