Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
kuna waliopona? waliponaje jamani? lol so sad ,,hii ajali hapa lazima kuna uzembe wa hali ya juu sana
Jamani punguzeni kufanya biashara na uchawi munawamaliza WaTz
Tajiri analoga gari lake lipate abiria, madereva na makonda nao ni wachawi wanataka waendelee kufanya kazi duh tutapona kweli?
mmmnnnh wasema so sad afu umetumia lolkuna waliopona? waliponaje jamani? lol so sad ,,hii ajali hapa lazima kuna uzembe wa hali ya juu sana
Sio uchawi wala nini ni uzembe tu wamadereva wanaendesha mwendo mkali mno bila kuchukua tahadhali wala kufuata sheria za barabarani!mara nyingi ajali za uso kwa uso ni uzembe tu!RIP marehemu