Osama Alijifia Muda Mrefu Kwa Maradhi Yake Binafsi, marekani Walipojua Habari Hizo Wakatengeneza Hilo Tukio La kukamatwa Kwake Ili Wapate Kick Duniani Thats Why Hawakuonesha Mwili Wake! Does It Bring A Sense Nchi Kama Marekani Wamkamate Osama Aliewasumbua Kwamuda Mrefu Then Waogope Kumuonesha? Mbona Sadam, Gadaffi nawengineo waliwaonesha hadharani?
Kwa taarifa za undercapet ni kua osama alikufa mda mrefu xana almost 10 years ago but the issue iliyokuepo mezan ile cku ni kua MAAZIMIO YA KUUNDWA KWA MIPANGO YA ''NEW WORLD ORDER'' ndo yalikua yanafanyika pale kwa mshua white house....sema tuu walichokua wanataka ni kuweka tukio la kusadikika kwa ulimwengu mzima ili attention ya ppl iende kwingine.....ila binafsi siamin kua eti osama aliuliwa ile cku never!!!!! Nawasilisha hoja
Nakubaliana na wewe kuhusu Apollo kwenda mwezini ni uongo mtupu nimeona kwenye BBC
Sio kweli angekuwa amekufa miaka zaidi ya10 tungepa taarifa hata kupitia kwa washirika wa Osama mwenyewe iweje hizi taarifa uwenazo wewe tu?
Swala si maandamano au reprisals. Issue ni kwamba ktk haraka zao za kuhakisha OBL anatoweka duniani kabisa ni kwamba mwili wake umeharibiwa vibaya sana. Ukumbuke hii ilikuwa ni execution kisha ikafuatiwa na post mortem. Unajua biashara ya post mortem inavyokuwa. Kifupi ni kwamba mwili ulikuwa ktk hali mbaya kuukabidhi kwa watu wengine hence KUZIKWA baharini haraka haraka...
Matukio mengi ya uongo yanayofanywa na USA hufanyika Area 51 .hata safari ya kwenda mwezini ilitengenezwa Area 51.
Sio kweli angekuwa amekufa miaka zaidi ya10 tungepa taarifa hata kupitia kwa washirika wa Osama mwenyewe iweje hizi taarifa uwenazo wewe tu?
Km hili ni kweli basi mwarabu ni mtu wa hovyo kabsaaaaa
Hii issue huwa naifananisha sana na ya aliyekua gavana wetu muheshimiwa Balali
Matukio mengi ya uongo yanayofanywa na USA hufanyika Area 51 .hata safari ya kwenda mwezini ilitengenezwa Area 51.
Wandugu msiyoyajua ni sawa na usiku wa kiza! By the time wanatangaza kumuua osama alikuwa tayar ameshafariki more than 18 months ago! Na osama hakufa kwa kuuawa ila alikuwa kuugua kwa muda mfupi tu maradhi ya tumbo, tena bora wangesema wamem poison, ingeendana na uhalisia, ukitaka kujua, pii emu
Kama mnavyojua, CIA inaongoza kwa upelelezi na kuwa na siri duniani. US hawakuwapasha Pakistan habari ya uvamizi, hakuna mwandishi wa habari aliyejulishwa ili kujiandaa kuchukua picha ili kutovujisha siri, muda uliotumika ulikuwa mfupi sana kiasi kwamba wasingesubiri wachukua picha waje. Hii ingewaweka hatarini. Picha zilizopo ni zile zilizochukuliwa na jeshi kwa ajili ya shuguli zao na nchi yao. Mambo mengi ya kijeshi hua ni siri sana na hayatoki hivi hivi. Nani sasa awaonyeshe? Hizo ni zao na hatuwezi kuwalazimisha!!