Sababu za mwili wa Osama kutoonekana baada ya kuuawa

Stevemike

Senior Member
Mar 12, 2011
117
15
Kama mnavyojua, CIA inaongoza kwa upelelezi na kuwa na siri duniani. US hawakuwapasha Pakistan habari ya uvamizi, hakuna mwandishi wa habari aliyejulishwa ili kujiandaa kuchukua picha ili kutovujisha siri, muda uliotumika ulikuwa mfupi sana kiasi kwamba wasingesubiri wachukua picha waje. Hii ingewaweka hatarini. Picha zilizopo ni zile zilizochukuliwa na jeshi kwa ajili ya shuguli zao na nchi yao. Mambo mengi ya kijeshi hua ni siri sana na hayatoki hivi hivi. Nani sasa awaonyeshe? Hizo ni zao na hatuwezi kuwalazimisha!!
 
Inashangaza watu wanakuwa na speculations za ajabu ajabu na wanataka mambo yaende wanavyotaka wao!
Wakionyeshwa picha wataanza maandamano!
 
yaani walivomfanya osama ni sawa sawa....fumua ubongo kama mbuzi vile...si alikuwa anajifanya mwamba kiko wapi sasa..yaani kakamatwa na kuuwawa kama mgambo ya manispaa wanaokamata masufuria ya ubwabwa wa mama ntilie ....kumbe hakuwa lolote na si chochote mkwara tu
 
Inashangaza watu wanakuwa na speculations za ajabu ajabu na wanataka mambo yaende wanavyotaka wao!
Wakionyeshwa picha wataanza maandamano!

Swala si maandamano au reprisals. Issue ni kwamba ktk haraka zao za kuhakisha OBL anatoweka duniani kabisa ni kwamba mwili wake umeharibiwa vibaya sana. Ukumbuke hii ilikuwa ni execution kisha ikafuatiwa na post mortem. Unajua biashara ya post mortem inavyokuwa. Kifupi ni kwamba mwili ulikuwa ktk hali mbaya kuukabidhi kwa watu wengine hence KUZIKWA baharini haraka haraka...
 
Marekani wasingependa mwili wake uhifadhiwe mahali ambapo wafuasi na mashabiki zake wangefika na kuhiji. Hii ingemfanya kuwa maarufu zaidi kuzidi kabla ya kifo chake. Ni suala la politics zaidi na kuzidiana ujanja (kukomoana).
 
yaani walivomfanya osama ni sawa sawa....fumua ubongo kama mbuzi vile...si alikuwa anajifanya mwamba kiko wapi sasa..yaani kakamatwa na kuuwawa kama mgambo ya manispaa wanaokamata masufuria ya ubwabwa wa mama ntilie ....kumbe hakuwa lolote na si chochote mkwara tu

Kama ingekuwa ni soka tunasema USA wamecheza rafu nje ya uwanja. Unamvamia mtu kwenye Mansion? Haikuwa fair play kwa kuwa My Bin Laden hakuwa ofisini wakati huo, nachelea kuzifananisha na ngumi za kukimbilia meno... Braza wa watu amejipumzikia, wao wanampiga afu wanataka credit... Ah, nishasahau kumbe ni filamu ya CIAhood!
 
Mkuu umenena
 
Yeah,bin laden aka Tim osman.the just killed him to shut his mouth.he knew too much.
Badluck to him he wasnt as smart as julian assange of weakleak.he should have left insurance somewhere to be made public in the event of his death
 
Back
Top Bottom