Sababu za mwili wa Osama kutoonekana baada ya kuuawa

Kwa taarifa za undercapet ni kua osama alikufa mda mrefu xana almost 10 years ago but the issue iliyokuepo mezan ile cku ni kua MAAZIMIO YA KUUNDWA KWA MIPANGO YA ''NEW WORLD ORDER'' ndo yalikua yanafanyika pale kwa mshua white house....sema tuu walichokua wanataka ni kuweka tukio la kusadikika kwa ulimwengu mzima ili attention ya ppl iende kwingine.....ila binafsi siamin kua eti osama aliuliwa ile cku never!!!!! Nawasilisha hoja
 
Osama Alijifia Muda Mrefu Kwa Maradhi Yake Binafsi, marekani Walipojua Habari Hizo Wakatengeneza Hilo Tukio La kukamatwa Kwake Ili Wapate Kick Duniani Thats Why Hawakuonesha Mwili Wake! Does It Bring A Sense Nchi Kama Marekani Wamkamate Osama Aliewasumbua Kwamuda Mrefu Then Waogope Kumuonesha? Mbona Sadam, Gadaffi nawengineo waliwaonesha hadharani?

Jinsi walivyowaanuka akina saddam na gaddafi kwenye tv kwa wiki kibao miili yao ikiwa ktk condition mbaya mno, ni kichekesho kwa kesi osama. Huyu wangemuua kweli nadhani wangeiongelea habari yake na picha zake mwaka mzima, ila changa la macho la onyango kule white house kutaka madaraka awamu ya pili.
 
Wandugu msiyoyajua ni sawa na usiku wa kiza! By the time wanatangaza kumuua osama alikuwa tayar ameshafariki more than 18 months ago! Na osama hakufa kwa kuuawa ila alikuwa kuugua kwa muda mfupi tu maradhi ya tumbo, tena bora wangesema wamem poison, ingeendana na uhalisia, ukitaka kujua, pii emu
 
Kwa taarifa za undercapet ni kua osama alikufa mda mrefu xana almost 10 years ago but the issue iliyokuepo mezan ile cku ni kua MAAZIMIO YA KUUNDWA KWA MIPANGO YA ''NEW WORLD ORDER'' ndo yalikua yanafanyika pale kwa mshua white house....sema tuu walichokua wanataka ni kuweka tukio la kusadikika kwa ulimwengu mzima ili attention ya ppl iende kwingine.....ila binafsi siamin kua eti osama aliuliwa ile cku never!!!!! Nawasilisha hoja

Sio kweli angekuwa amekufa miaka zaidi ya10 tungepa taarifa hata kupitia kwa washirika wa Osama mwenyewe iweje hizi taarifa uwenazo wewe tu?
 
Swala si maandamano au reprisals. Issue ni kwamba ktk haraka zao za kuhakisha OBL anatoweka duniani kabisa ni kwamba mwili wake umeharibiwa vibaya sana. Ukumbuke hii ilikuwa ni execution kisha ikafuatiwa na post mortem. Unajua biashara ya post mortem inavyokuwa. Kifupi ni kwamba mwili ulikuwa ktk hali mbaya kuukabidhi kwa watu wengine hence KUZIKWA baharini haraka haraka...

Hapana mm sijui naomba nifahamishwe mkuu
 
Sio kweli angekuwa amekufa miaka zaidi ya10 tungepa taarifa hata kupitia kwa washirika wa Osama mwenyewe iweje hizi taarifa uwenazo wewe tu?

Aisee mkuu apa niko barubaru ila kwa ufupi tuu marekan ni moja ya taifa nyoko xana dunian....huweza kuandaa trick na ika work out kama watakavyo wao....maelezo mengin nitatoa badae
 
Wandugu msiyoyajua ni sawa na usiku wa kiza! By the time wanatangaza kumuua osama alikuwa tayar ameshafariki more than 18 months ago! Na osama hakufa kwa kuuawa ila alikuwa kuugua kwa muda mfupi tu maradhi ya tumbo, tena bora wangesema wamem poison, ingeendana na uhalisia, ukitaka kujua, pii emu

Tukupm ili iweje kama kweli si ushushe nondo
 
ni ujinga ujinga tu mi nshajua.......movie hii ilivyoanza ilikuwa nzuri sema walipo malizia ndio wamekosea adui kuu kufa bila kuonekana.... naifananisha na picha hile ya mh balali kufa kuzikwa bila kueleweka kaburi lake wala alipozikwa.......!?
 
Kama mnavyojua, CIA inaongoza kwa upelelezi na kuwa na siri duniani. US hawakuwapasha Pakistan habari ya uvamizi, hakuna mwandishi wa habari aliyejulishwa ili kujiandaa kuchukua picha ili kutovujisha siri, muda uliotumika ulikuwa mfupi sana kiasi kwamba wasingesubiri wachukua picha waje. Hii ingewaweka hatarini. Picha zilizopo ni zile zilizochukuliwa na jeshi kwa ajili ya shuguli zao na nchi yao. Mambo mengi ya kijeshi hua ni siri sana na hayatoki hivi hivi. Nani sasa awaonyeshe? Hizo ni zao na hatuwezi kuwalazimisha!!

Inasikitisha kuona kwamba ile snema ya propaganda aliyoicheza obama kuna baadhi ya watu wameiamini.......jiulize maswali madogo tu sadam aliwasumbua sana marekan na washirika wake aliuwawa hadharani tena kifahari wasiofikir watakwambia aliuwawa na wairaq wenzake swal ni je kwan hao wairaq ndo walikua wanamtafuta?? gadafi hali kadhalikaaliuwawa kikatili na akaonyeshwa kwa kila mtu...hci unafikir serikali ya marekan ilishindwa kupiga picha ya osama na kuwaonyesha watu lwamva huyu jamani mtuamini??...huwa naskitika sana hasa pale mataifa makubwa yanapotoa propaganda na kwa bahat mbaya watu wa ulimwengu hasa wa tatu kuziamini propaganda hizo kupitia vyombo vyao vya kueneza propaganda kama CNN BBC na vinginevyo......siku chache
baada ya obama kudaikumuua osama walikeza familia ya bin laden na kuishangaa serikali ya marekan ya kwamba mbona ndugu yao alifariki mwaka mmoja na nusu uliopita kwa homa ya maini?....kwa hiyo mtoa mada uctupotoshe marekan hawakua na sababu nyingine ya kutokumuonyesha osama bali hawakumuua na wala hawakua na osama hivo ilikua kaz ngumu kuprove....movie hii aliyoicheza obama na CIA ilimsaidia kushinda uchaguz na hyo ndo ilikua dhamira kubwa kwan bwna obama alishaanza kufulia kisiasa
 
Back
Top Bottom