Sababu za miaka 50 ya uhuru wa Tz na Mwanamke wa TZ hizi hapa:

WanawakeLive

Member
Nov 14, 2011
6
1
Unadhani sis kama wanawake wa tz tuna sababu yakusherekea miaka 50 ya uhuru? Tumefanikiwa nini mpaka sasa?
kama kuna chochote tumenufaika toka uhuru mpaka sahivi tukiseme...
 
Nafasi ya mwanamke ktk jamii,ktk kipind hiki cha uhuru mwanamke amefanikiwa ktk nyanja tofauti kwanza kabisa m'ke amesaminiwa amepewa wadhifa wa kuwa kiongozi

Ni tofauti na zaman mwanamke alinyanyaswa kwamba hawezi lolote

Kwaivyo kipindi hichi ni kipindi cha sie wanawake tujivunie tunaweza
 
Back
Top Bottom