Kibingu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 1,078
- 1,440
Watu mtafika mbinguni lakini mtafika mkiwa mmechoka sanaMarekebisho
1. Mamajusi wa mashariki ni wasoma nyota na walikuwa wachawi. Walipeleka manemane na ubani kwa ajili ya kuichukua ile nyota na kumpelekea mfalme wa kipindi kile. Mwisho wa siku walishindwa kuichukua ile nyota
2. Manemane na yenyewe ipo upande wa shetani, sababu pesa ni Kaizari (Ceasur)