Sababu iliyomfanya mkuu wa mkoa Arusha kupigwa mawe

dahh atasema Lema ndio kamrushia ndio kaamuru kamanda asakwe.
Arusha sio mji wa kudharau watu
awaombe wanachuo radhi mapema sana la sivo Arusha atapaona pachungu sana
 
Alikuja chuoni baada ya kuitwa lakini alipofika akasema wanafunzi hawana adabu, pili hawezi kuongea bila kipaza sauti,tatu wanafunzi wasogee mbali wanaleta jasho,ndipo wanafunzi wakakasirika nakuanza kumrushia mawe na chupa,amepata jeraha kichwani ameshonwa hospitali ya seliani.
NGUVU YA UMMA KAZINI...Safi sana yaani yeye kuwa mkuu wa mkoa tu anajiona kama Mungu mtu..Lazima ajifunze namna ya kuongea na watu hasa wasomi..
 
ganja mbaya, tatizo badala ya kusoma wanashabikia siasa, na matumizi mabaya ya boom kwa kwenda viwanja , pombe na uzinzi

Miongoni mwa watu wano Tema Pumba basi wewe ni Moja wapo, hua nafuatilia sana Michango yako na yote naona ni pumba tu
 
we ni m****e ngoja afariki nduguyo kwa mazingira yale ndio ujue uchungu,
 
Nimemuona kwenye taarifa ya habari star akiwa amesimama na lema yeye akiwa ndani ya gari anamcheka lema,eti why umekuja chuo bila kuonana na walimu,lema akamjibu mtu kauwawa na watu wanahasira kwa nini nisiongee nao kwanza na mie nikiongozi,mkuu wa mkoa akaanza kumcheka,na lema nae akamjibu hapo hapo kuwa siko tayri kuona watu wanaonewa........jamaa ana nyodo sana na ndo hiki kinachomwangusha Rais wetu kuwapa washkj zake uraji
 
Tatizo unavuta bangi sana mkuu, jaribu kusoma ukiwa timamu utanielewa tu mkuu, nashukuru kwa kunifuatilia
 
we ni m****e ngoja afariki nduguyo kwa mazingira yale ndio ujue uchungu,

kama binadamu wote tunaguswa mwenzetu anapotutangulia, lakini matusi yako wala vurugu za wengin, hazitatatuz tatizo lililopo zaidi ya kuongeza mengine, kama ilivyotokea leo, siasa si suluhiso la kila tatizo, Chadema hamuelewi hilo, jaribuni kuelewa labda tutakua pamoja huko mbeleni, Poleni IAA kwa msiba wa mwanafunzi mwenzenu
 
Nimemuona kwenye taarifa ya habari star akiwa amesimama na lema yeye akiwa ndani ya gari anamcheka lema,eti why umekuja chuo bila kuonana na walimu,lema akamjibu mtu kauwawa na watu wanahasira kwa nini nisiongee nao kwanza na mie nikiongozi,mkuu wa mkoa akaanza kumcheka,na lema nae akamjibu hapo hapo kuwa siko tayri kuona watu wanaonewa........jamaa ana nyodo sana na ndo hiki kinachomwangusha Rais wetu kuwapa washkj zake uraji
Lema ni kiherehere
 
Huyo mkuu wa mkoa amepata haki yake. Analeta dharau wakati watu wapo kwenye majonzi? Pumbavu mkubwa kabisa. Na ninyi wanachuo mmeniudhi sana kwa nini hamkumtanguliza mbele ya haki? Mngemtanguliza ahera bhannaaaa!
 
ganja mbaya, tatizo badala ya kusoma wanashabikia siasa, na matumizi mabaya ya boom kwa kwenda viwanja , pombe na uzinzi

Hapa unakosea je unajua kuwa huyo mwanafunzi aliyefariki alikuwa ametoka kujisomea maeneo ya chuo wakati anarudi kwake ndo akakutana na hayo masahibu?? Hapa ganja na siasa iko wap mkuu?? What if angekuwa ndugu yako?? Sometime weka utu kidogo.
 
Alikuja chuoni baada ya kuitwa lakini alipofika akasema wanafunzi hawana adabu, pili hawezi kuongea bila kipaza sauti,tatu wanafunzi wasogee mbali wanaleta jasho,ndipo wanafunzi wakakasirika nakuanza kumrushia mawe na chupa,amepata jeraha kichwani ameshonwa hospitali ya seliani.
Huyu si ndio yule mkuu wa mkoa aliyefungua caravat kule monduli eti ni daraja la milioni 60. Ndio maana wanampopoa mawe....Namsifu mwanri upuuzi kama huo anawatolea nje mafisadi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom