Sababu iliyomfanya mkuu wa mkoa Arusha kupigwa mawe

Tatizo unavuta bangi sana mkuu, jaribu kusoma ukiwa timamu utanielewa tu mkuu, nashukuru kwa kunifuatilia

wewe ni mbulula,we ni kama huyu RC mtu anauawa badala ya kumsaka muuaji eti analeta dhihaka na kumtafuta Lema.
 
kama binadamu wote tunaguswa mwenzetu anapotutangulia, lakini matusi yako wala vurugu za wengin, hazitatatuz tatizo lililopo zaidi ya kuongeza mengine, kama ilivyotokea leo, siasa si suluhiso la kila tatizo, Chadema hamuelewi hilo, jaribuni kuelewa labda tutakua pamoja huko mbeleni, Poleni IAA kwa msiba wa mwanafunzi mwenzenu

kwani ktk Suala la Chuo cha IAA njiro Chadema Imeingiaje?
 
Ufahamu wa wakazi wa Arusha. Mkuu wa mkoa wa Arusha yupo ki-CCM sana. Na kama alipigwa anastahili. Mimi sio mkazi wa ARUSHA ila nimefatilia sana vikauli vyake vingi. U-CCM mwingi sana. Nadhani wanafunzi wamemshikisha adabu.

ukitaka kujua mchaga utajua kauli zake acha wapambane na vitu venye ncha kali
 
Stroke naona unajua haya mambo, kwahiyo geshi polisi halimtafuti muuaji tena badala yake linamtafuta Lema?
 
Nawapongeza sana hao wanachuo kwa kutoa fundisho kwa viongozi dhaif wasiojali usalama wa wengine. Nadhani safari nyingine hataleta mzaha kwenye mambo ya msingi

EEh mkubwa kachezea kichapo!!!... Kudadadeki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.................................
 
Magessa Mulongo amejisahau?hakumbuki historia alipokuwa Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo?enzi hizo alikuwa kimya hawezi kusema hata neno hana dharau kwa kuwa alijua jioni nyumba yake ingebanduliwa na mawe chezea wanafunzi wa magambani......sasa naona hajielewi asidhani wanachuo hawezi kumpiga ajirekebishe.
 
Me nikisema hiki chama cha magamba hakuna viongozi mnasema me mwanachadema.nahc hawa baadh ya viongozi wa magamba huwa wanaongelea nyuma na sio mdomoni.napita tuu.
 
ganja mbaya, tatizo badala ya kusoma wanashabikia siasa, na matumizi mabaya ya boom kwa kwenda viwanja , pombe na uzinzi

Acha unafiki wewe Pimbi kwani wewe uko bikra,jibu hoja kwa nini Mkuu wa mkoa alipigwa mawe leta hoja naona umetoka nje ya hoja tatizo lenu Maccm mnakimbilia kuandika hamsomi alama za nyakati kaa tulia soma hoja jadili ujibu vipi si kutoa mapovu na majibu mepesi.
 
Ningekuwa mimi ndo mwanchuo ningekaa pembeni na huo ugomvi, ili nitimize nilicho kifuata, mwanafunzi mwenyewe kauawa nje ya chuo sasa kulikuwa na haja gani ya jazba zote hizo. We are wasting time for nothing!
 
Habari ya jioni wakuu. Wana Arusha wenzangu najua mkoa huu umeonyesha mfano kwa kuwakataa mafisadi kamwe hawakubaliki katika jamii yetu tena maana wametufikisha hapa tulipo. Tuandamane kumkataa mkuu wa mkoa yuko hapa kwa maslahi ya ccm na polccm hatumtaki. Tusimkubali! Tuchukue hatua. Na huyo kamanda wetu Lema wakimkamata au akienda police asiende mwenyewe wananchi wote tuamke tumsindikize ni mbunge wetu tuliyemchagua wenyewe sio wale wakuteuliwa na kutumia kodi zetu kuomba ubunge.
 
Kuandama sio suluhisho.
wakuu wa mikoa ni watumishi wa CCM hiyo iko wazi.
kilichobaki ni kuikataa CCM na magamba yake yote katika sanduku la kura 2015.
 
Alikuja chuoni baada ya kuitwa lakini alipofika akasema wanafunzi hawana adabu, pili hawezi kuongea bila kipaza sauti,tatu wanafunzi wasogee mbali wanaleta jasho,ndipo wanafunzi wakakasirika nakuanza kumrushia mawe na chupa,amepata jeraha kichwani ameshonwa hospitali ya seliani.

Wewe ni Lema
 
Swali la msingi ni kwanini Lema asipigwe mawe na yeye apigwe mawe?? There must be something wrong. Aidha kauli, au dhihaka imefanyika na kuwachefua wanachuo ambao walikuwa na temper kubwa sana.

Mwisho Lema na Molungo hawatakaa wanaelewane kila mmoja anamchukulia mwenzake anamharibia kazi.

Na ndiyo alipofika Lema aakaambiwa ashuke na wanachuo walikuwa wanamhitaji, hapo sasa.
 
Yaan huyu mkuu wa mkoa hata tazama yake ya kidharau dharau, huyu jamaa anadharau sana aisee.
 
ganja mbaya, tatizo badala ya kusoma wanashabikia siasa, na matumizi mabaya ya boom kwa kwenda viwanja , pombe na uzinzi

unataka kutuambia kijana aliyeuawa anahaki ya kuchomwa kisu kwa kuwa alikuwa mlevi, mzinifu, anadai boom na mvuta bangi? Au mimi ndo sijakuelewa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom