sababu 3 za kuichukia chadema

Mbona chadema wenyewe hawawapendi watanzania kwa kuwaongezea mzigo wa wabunge wa kuteuliwa ambao ni ndugu/marafiki na mademu zao! Nalog off
crap.gif
 
Kipindi hiki chuki zitasambazwa kwa gharama yeyote hata ikibidi kutoa uhai wa mtu.

Ni aibu sana Watanzania
 
najua watakasirika wengi watanuna wengi watanitukana wengi lakini ukweli utabaki kuwa ukweli 1:UDINI hii ya udini iko kwa kila m2 hata mbuzi analijua .naye mh zito alishawahi kusema kusema kwamba udini ulitumika sana ktk kutafuta uongozi ndani ya cdm.PIA ni chuki yao ya wazi dhidi ya uislamu na waislam[wanawachukia kikwete na mwinyi ,wanawapenda mkapa na julius] 2:UMAARUFU WA KIJINGA.hili la umaarufu limejionyesha dhahili kwa lêma kwa kitendo kujiweka gerezani kisha kutaka kulazimisha mahakama imtoe kwa nguvu[ujinga].PIA kama mtakumbuka cdm wålishawahi kuandamana kulazimisha bei ya sukari ipungue{wakati ule ilikuwa sh 2000}haikupungua .sasa bèi ya sukari 2500/=hawaandamani{wamepewa 10%} 3:HAKUNA DEMOKRASIA.hii ni pale m/kiti alipomtisha zito kwamba aondoe fomu ili mbowe acpate mpinzani. TO BE CONTINUED. Naomba kutoa HOJA.

wewe huna tofauti na PASCAL MAYALA jana kwenye mdahalo aliposema anaomba ku-declare interest kuwa yuko neutral kwenye mchango wake ila akaonekana waziwazi anampinga LISU na hata kudiriki kumuingilia wakati anajibu hoja zake.
mkuu kwa hili kajipange upya uje tena....ila hata ukija upya utakutana na strong resistance bado.
 
Ulionena ni ukweli mtupu na utwaona humu sasa hivi wataanza kupinga bila ufahamu. Hilo l udini linajulikana sana kwani tumesahau Sumbawanga?

Umewashika pazuri, la Zitto na Mwenyekiti halina ujanja mpaka humu wanalijuwa sana, tena turufu kubwa ya Magwanda ni Zitto na wanafanya kila hila kumchokonowa, hivi wanafikiri bila Zitto wangeupata umaarufu waliokuwa nao?
Huyu zitto ni nyoka mdogo sana ndani ya CDM uwepo wake ni saw na uwepo wa makada wengi tu ndani ya CDM, mwambieni ahamie CCM basi ili kurudisha umaarufu wa chama chenu!
Kuliko mnakalia kumsifia kila uchwao hapa bila tija!
 
Ulionena ni ukweli mtupu na utwaona humu sasa hivi wataanza kupinga bila ufahamu. Hilo l udini linajulikana sana kwani tumesahau Sumbawanga?

Umewashika pazuri, la Zitto na Mwenyekiti halina ujanja mpaka humu wanalijuwa sana, tena turufu kubwa ya Magwanda ni Zitto na wanafanya kila hila kumchokonowa, hivi wanafikiri bila Zitto wangeupata umaarufu waliokuwa nao?
"Jambo usilolijua ni kama usiku wa KIza"
Mshauri Zitto aondoke CDM halfu uone nani atakufa kati ya CDM na Zitto.Yeye mwenyewe analijua ndio maana ilipokuja issue ya NCCR na Kafulila kajitetea kwa nguvu zote.Wadini ni wale wanaotaka watu wao waonekane ijapokua wana mapungufu makubwa.Walimuweka JK aonekane ni kinara ameshindwa kumpiku hata aliyemchafua kua ni fisadi na mwisho wake amebaki kuumbuka mwenyewe.Uongozi sio maneno.Kwa taarifa yako Zitto ni Opportunist na Kigeugeu ndio maana atahaha sana mpaka atakaporudi kwenye mstari na kuonyesha uelekeo sahihi.
 
najua watakasirika wengi watanuna wengi watanitukana wengi lakini ukweli utabaki kuwa ukweli 1:UDINI hii ya udini iko kwa kila m2 hata mbuzi analijua .naye mh zito alishawahi kusema kusema kwamba udini ulitumika sana ktk kutafuta uongozi ndani ya cdm.PIA ni chuki yao ya wazi dhidi ya uislamu na waislam[wanawachukia kikwete na mwinyi ,wanawapenda mkapa na julius] 2:UMAARUFU WA KIJINGA.hili la umaarufu limejionyesha dhahili kwa lêma kwa kitendo kujiweka gerezani kisha kutaka kulazimisha mahakama imtoe kwa nguvu[ujinga].PIA kama mtakumbuka cdm wålishawahi kuandamana kulazimisha bei ya sukari ipungue{wakati ule ilikuwa sh 2000}haikupungua .sasa bèi ya sukari 2500/=hawaandamani{wamepewa 10%} 3:HAKUNA DEMOKRASIA.hii ni pale m/kiti alipomtisha zito kwamba aondoe fomu ili mbowe acpate mpinzani. TO BE CONTINUED. Naomba kutoa HOJA.
Mie nawapenda. Sababu ni kupata mawazo mbadala katika kila jambo linalohusu mustakabali wa taifa, ingawa kuipenda kwangu haimaanishi kuwa nakubaliana nao katika kila hoja zao... Kupokea mawazo kinzani ni afya ya akili na ya taifa linalopigania kusonga mbele na ndio maana nashabikia watu waache watoe maoni yao watakavyo lakini mwisho wa siku kila mtu aheshimike na abaki kuwa na msimamo wake!.
 
najua watakasirika wengi watanuna wengi watanitukana wengi lakini ukweli utabaki kuwa ukweli 1:UDINI hii ya udini iko kwa kila m2 hata mbuzi analijua .naye mh zito alishawahi kusema kusema kwamba udini ulitumika sana ktk kutafuta uongozi ndani ya cdm.PIA ni chuki yao ya wazi dhidi ya uislamu na waislam[wanawachukia kikwete na mwinyi ,wanawapenda mkapa na julius] 2:UMAARUFU WA KIJINGA.hili la umaarufu limejionyesha dhahili kwa lêma kwa kitendo kujiweka gerezani kisha kutaka kulazimisha mahakama imtoe kwa nguvu[ujinga].PIA kama mtakumbuka cdm wålishawahi kuandamana kulazimisha bei ya sukari ipungue{wakati ule ilikuwa sh 2000}haikupungua .sasa bèi ya sukari 2500/=hawaandamani{wamepewa 10%} 3:HAKUNA DEMOKRASIA.hii ni pale m/kiti alipomtisha zito kwamba aondoe fomu ili mbowe acpate mpinzani. TO BE CONTINUED. Naomba kutoa HOJA.

Join Date : 18th November 2011

Huyu ni yule sheikh asiyejua kuweka herufi kubwa, baada ya vituo, maandishi kuanzia kulia kwenda kushoto, Mhariri wa An nuur
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom