Jifunze kufikiri, so kumsingizia mzee wetu.kwa tz sifa kuu ya kuwa rais ni 1,ukatolik 2,ubakwata, bakwata ni taasisi ya katolik, hutaki muulize malecela.
Sina Shaka anaweza Kuwa KIongozi bora zaidi na kuivusha Tanzania. Tatizo kubwa ni Afya yake ni mgogoro. na hili ndio lilipunguza sana kura zake. Naamini angekua hakuyumba kiafya uchaguzi ulopita leo tungeongea mengine
Sina Shaka anaweza Kuwa KIongozi bora zaidi na kuivusha Tanzania. Tatizo kubwa ni Afya yake ni mgogoro. na hili ndio lilipunguza sana kura zake. Naamini angekua hakuyumba kiafya uchaguzi ulopita leo tungeongea mengine
Wale walinunuliwa. Kama wangempenda si wangemfuataCCM hawakumkataa Bali jk,ndyo maana UKUMBI ulilipuka TUNA IMANI NA LOWASA sasa alomkataa nani,jk alikuwa na hofu ya kushughulikiwa kama edo angeingia ikulu
1.Ni mvumilivu
2.Mzalendo wa kweli
3.Ni mzoefu katika siasa za taifa hili
4.Ni mbunifu
5.Ni kiongozi imara
6.Ana ushawishi
7.Ana huruma
8.Ni mkweli
9.Ana hekima na busara
10.Ana maamuzi yenye faida kwa taifa
11.Ni mchaMungu.
Ulimkataa wewe na mumeo,maana 6.2m walimkubali tena wanaume sii kama lichama lenu LA mdundiko akiba mama ndo wapiga kuraWale walinunuliwa. Kama wangempenda si wangemfuata
Ile ilikuwa hela. Umenunuliwa lazima utimize wajibu. Ukishindwa urudishe hela. Wale waliimba vile ili wasidaiwe hela walizopewa.
Ndugu yenu hana uwezo wa kuwa rais. Alikataliwa chin dunian na juu mbinguni
ninashukuru kwa kukufikirisha ila hujanisoma vizuri, sikumsingizia mtu hapo na ukweli utabaki kuwa hivyo, kashfa zote ni kwasababu ya uluteli wake asiwe rais ndiyo ilivyokuwa kwa malechela hakufanikiwa, mizengwe mingi iliwekwa kwasababu ya uangalikana wake, nasisitiza ukatolik na ubakwata ndio sifa.Jifunze kufikiri, so kumsingizia mzee wetu.
tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe.Jifunze kiswahili, sema mkabila sio mkabira. Huna ulimi?
Umesahau sifa ya1.Ni mvumilivu
2.Mzalendo wa kweli
3.Ni mzoefu katika siasa za taifa hili
4.Ni mbunifu
5.Ni kiongozi imara
6.Ana ushawishi
7.Ana huruma
8.Ni mkweli
9.Ana hekima na busara
10.Ana maamuzi yenye faida kwa taifa
11.Ni mchaMungu.
Kwanini hutuliagi nshakuambiaga tena tulia13 Ni mkabira wa kupitiliza
Wewe siyo mtanzania na humjui lowasa bora ata mda wako ulioupoteza kuandika huu utumbo ungeenda kufanya usafi kanisani au msikitini!!! MTU anayestaili kuishi SEGEREA unasema angetakiwa kuwa RAIS1.Ni mvumilivu
2.Mzalendo wa kweli
3.Ni mzoefu katika siasa za taifa hili
4.Ni mbunifu
5.Ni kiongozi imara
6.Ana ushawishi
7.Ana huruma
8.Ni mkweli
9.Ana hekima na busara
10.Ana maamuzi yenye faida kwa taifa
11.Ni mchaMungu.
Rais kwenye Nchi gani hiyo? Kaza moyo tu ndugu yangu kwamba hilo jambo haliwezi kutokea JMT. Jishughulishe na kutafuta riziki yako tu ndugu yangu. Haya mambo unayoleta hapa ni upotezaji wa muda tu!1.Ni mvumilivu
2.Mzalendo wa kweli
3.Ni mzoefu katika siasa za taifa hili
4.Ni mbunifu
5.Ni kiongozi imara
6.Ana ushawishi
7.Ana huruma
8.Ni mkweli
9.Ana hekima na busara
10.Ana maamuzi yenye faida kwa taifa
11.Ni mchaMungu.
dah...bado wanaweweseka hao...waliisha nunua suti za siku ya kuapishwa..tungekuwa na mawaziri 300..maRC 1500...maDC 6000 sasa hiviKumbe bado kuna watu wana imani kua siku moja Lowasa atakua Rais inchi hii.......