Sababu 11 za kwanini Lowassa anaweza kuwa Rais bora Tanzania

1.Ni mvumilivu
2.Mzalendo wa kweli
3.Ni mzoefu katika siasa za taifa hili
4.Ni mbunifu
5.Ni kiongozi imara
6.Ana ushawishi
7.Ana huruma
8.Ni mkweli
9.Ana hekima na busara
10.Ana maamuzi yenye faida kwa taifa
11.Ni mchaMungu.
Toa ushuhuda kwa kila point, in real life, otherwise ni njaa inakusumbua umeanza kulamba miguu yake akupe chochote!
 
Si mzalendo hata kidogo
Kwanini alikiama chama chake(CCM) baada ya kukatwa
1.Ni mvumilivu
2.Mzalendo wa kweli
3.Ni mzoefu katika siasa za taifa hili
4.Ni mbunifu
5.Ni kiongozi imara
6.Ana ushawishi
7.Ana huruma
8.Ni mkweli
9.Ana hekima na busara
10.Ana maamuzi yenye faida kwa taifa
11.Ni mchaMungu.
 
Haya Mkuu ahsante kwa marekebisho hayo. Lakin unaamin kuwa lowasa ana sifa hizo. Akili yako inaamin kuwa lowasa anaweza kuwa kiongozi bora. Kweli. Kama anaweza unajua kwa nn CCM walimkataa.
We unaamin uongoz huwa unanunuliwa.
Kwamba uongoz ni factor ya utajiri.
Watanzania huwa wanawazeje.
CCM hawakumkataa Bali jk,ndyo maana UKUMBI ulilipuka TUNA IMANI NA LOWASA sasa alomkataa nani,jk alikuwa na hofu ya kushughulikiwa kama edo angeingia ikulu
 
Toa ushuhuda kwa kila point, in real life, otherwise ni njaa inakusumbua umeanza kulamba miguu yake akupe chochote!
Mkuu mimi ninasema ukweli uliopo(Existing facts).Siwezi kufanya dhambi ya kula cha mtu ili nimsifie, hiyo haitokaa itokee never na namuomba Mungu aniepushie mbali kabisa. Wapo waliobeba watu migongoni na wakavalisha wakubwa soksi na na kiwafungia kamba za viatu na wewe unawajua mwisho wakapewa walichokitaka, Walalamikie hao sio mimi. Kitega uchumi Changu cha kuuza mitumba kinanitosha sana.
 
kwa tz sifa kuu ya kuwa rais ni 1,ukatolik 2,ubakwata, bakwata ni taasisi ya katolik, hutaki muulize malecela.
 
CCM hawakumkataa Bali jk,ndyo maana UKUMBI ulilipuka TUNA IMANI NA LOWASA sasa alomkataa nani,jk alikuwa na hofu ya kushughulikiwa kama edo angeingia ikulu

KIKUNDI fulani hivi baada ya kuhongwa
 
hizi sababu tulikuwa tunazitambua na mlishatuimbia sana kipindi cha uchaguzi na haikuweza kufua dafu,uchaguzi umeisha hii misifa haisaiidiii chochote na haitabadili chochote,tujadili mambo ya msingi ya taifa...............
 
hizi sababu tulikuwa tunazitambua na mlishatuimbia sana kipindi cha uchaguzi na haikuweza kufua dafu,uchaguzi umeisha hii misifa haisaiidiii chochote na haitabadili chochote,tujadili mambo ya msingi ya taifa...............
 
Mkuu mimi ninasema ukweli uliopo(Existing facts).Siwezi kufanya dhambi ya kula cha mtu ili nimsifie, hiyo haitokaa itokee never na namuomba Mungu aniepushie mbali kabisa. Wapo waliobeba watu migongoni na wakavalisha wakubwa soksi na na kiwafungia kamba za viatu na wewe unawajua mwisho wakapewa walichokitaka, Walalamikie hao sio mimi. Kitega uchumi Changu cha kuuza mitumba kinanitosha sana.
Okei, good for you, ila lowassa hana hizo sifa ndo maana wananchi walimkata tena ktk uchaguzi uliopita.
 
Back
Top Bottom