Ryan Giggs- is he really the best player of this season?

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
Mimi sikubalianai na hii PFA award ya mwaka huu, Ryan Giggs? A player who has only started 12 games and scored one goal this season! Cha kushangaza ni kwamba hii award inatolewa kwa kura zilizopigwa na pro players, what were they thinking? this is a joke!
 
I do agree with you. WIZI MTUPU! What has he done during the season to deserve that award!? NOTHING!!!!!
 
Leave this to the pros and let them handle their bizz!
Kaka, misimu yote tunajua anayechukua hii tuzo ni yule ambaye ameng'ara kuliko wengine kwenye msimu huo, sasa iweje apewe Giggs ambaye muda wote yuko bench? Msimu huu pros wamechemsha kinoma, mara mia wangempa Rooney au Ronaldo.
 
Kama tunaweza ku critise decisions zinazofanywa na wafalme na maraisi wa manchi makubwa hapa, kwanini tusifanye the same kwa hawa footballers, au mshkaji anaogopa watu wenye hela ndefu?

Hapa wamebofoa hata kama kura ingekuwa inapigwa na MANU players only sidhani kama wangemchagua Giggs.
 
Mimi sikubalianai na hii PFA award ya mwaka huu, Ryan Giggs? A player who has only started 12 games and scored one goal this season! Cha kushangaza ni kwamba hii award inatolewa kwa kura zilizopigwa na pro players, what were they thinking? this is a joke!

I do agree with you. WIZI MTUPU! What has he done during the season to deserve that award!? NOTHING!!!!!

Mnajua au mlishawahi kulisukuma gozi lakini? Haya kila mtu achague 'wake' tuone kama mtakubaliana! Kama hamtaanza kubishana tena. (lol)

Criteria nyingi mtakuwa hamzijui, displine etc!
 
Mnajua au mlishawahi kulisukuma gozi lakini? Haya kila mtu achague 'wake' tuone kama mtakubaliana! Kama hamtaanza kubishana tena. (lol)

Criteria nyingi mtakuwa hamzijui, displine etc!

Nimeshasema hapo juu we're pro! gozi la ng'ombe tumesukuma sana miaka ile ya 47
 
Leave this to the pros and let them handle their bizz!

Mkuu PFA wamechemsha.... wametumia his long term service na kuwa player mwenye more trophies than any other kumuenzi!! Its a wrong way to honour a legend IMHO!!!

They could have just present him with a special ring or medal that signifies his legendary status rather than ignoring best players of "this season". He has started a few matches, never being a player of the match, never delvered any magic except one winning goal---

Anyway, that shows how politics in sports spoil the mood everwhere---especially in the UK

WAMEFUKA AISEE
 
Kaka, misimu yote tunajua anayechukua hii tuzo ni yule ambaye ameng'ara kuliko wengine kwenye msimu huo, sasa iweje apewe Giggs ambaye muda wote yuko bench? Msimu huu pros wamechemsha kinoma, mara mia wangempa Rooney au Ronaldo.

Hawa jamaa wawili wazuri kucheza lakini hawana displine. Rooney ana kadi 7 yellow na red 1; Ronaldo ana kadi 5 yellow, red 1!
 
Hawa jamaa wawili wazuri kucheza lakini hawana displine. Rooney ana kadi 7 yellow na red 1; Ronaldo ana kadi 5 yellow, red 1!

Sidhani kama cards ni kigezo kimojawapo katika kura hizo.
 
Wamempa Giggs kwa sababu ya guilty conscience fulani. Hawajawahi kumpa before na huu unaweza ukawa mwaka wake wa mwisho. Awards hizi kwa ujumla zimekaa kushoto eti Lampard hayupo kwenye ile team of the year waliyopanga, inawezekana vipi?
 
Mind you, PFA player of the year kura huwa zinapigwa na fellow professionals players, na on top of that zilipigwa February, therefore sidhani kuna some kind of favor hapo. Of coz it looks like it is the retirement package kwa Mzee Giggs lakini at least lets give him credit form what he has done vis a vis his age.

Congrats Giggs!
 
Nakubaliana na KKN kuwa GIGGS hakustahili kushinda hii tuzo kwa maoni yangu VIDIC alistahili kuchukua tuzo record yake ya clean sheet inathibitisha then jamaa pamoja ni beki but kafunga magoli 6 while GIGGS kafunga goli 1 but ana assist nyingi
Tatizo ni ngumu sana mabeki kupata tuzo kwani hata PAULO MALDINI pamoja na mafanikio yote katika soka hajawahi kupata tuzo kubwa
Watu wa kulaumiwa ni wachezaji wenyewe sababu wao ndio waliopiga kura
 
Tatizo lingine ni kwa hao PFA kupiga kura February nafikiri hizi kura zingepigwa mwishoni mwa April wakati ambao mashindano mengi yanakuwa yamefikia ukingoni
Ni vigumu kupata mchezaji ambaye ni Consistency msimu mzima hii inafanya kazi ngumu sana ya kuchagua mchezaji bora
Ukiangalia PFA team of the season kuna wachezaji kama,Cahill, Alonso,Lampard,Rooney,Jaglieka walistahili kuwepo kwenye hiyo team
 
Kaka, misimu yote tunajua anayechukua hii tuzo ni yule ambaye ameng'ara kuliko wengine kwenye msimu huo, sasa iweje apewe Giggs ambaye muda wote yuko bench? Msimu huu pros wamechemsha kinoma, mara mia wangempa Rooney au Ronaldo.
Bado mngeendelea kulalamika
 
Nilifikiri ni Waafrika tu wanachemka kumbe hata hawa jamaa wanaboronga kishenzi,yale yaliyojitokeza kwa mchezaji bora wa Afrika ndiyo yaliyotokea huko Uk,mimi nilianza kuwa na wasi wasi tu nilipoona kwenye mchakato hayupo Lampard.
 
Inawezekana pro wamekosea kumchagua Giggs kumpa mchezaji bora, ila tuwe waangalifu kidogo, kufunga sio kigezo cha kuwa mchezaji bora!
 
Back
Top Bottom