Junius
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 3,181
- 139
waliompigia kura ni wadau wa PFA ambao kwao vigezo vya kupata hiyo tuzo ni zaidi ya kung'ara uwanjani, mchezaji kama Giggs ambaye hata washindani wanzake katk tuzo hiyo kwa maoni yao walipendekeza kuwa anastahili, kupata, amefanya mwakubwa msimu ulioisha na huu unamalizika, ambayo wachezaji wengi professionals wa umri kama wake hawakufanya, na wenyewe wamekiri hivyo kuwa wana mengi ya kujifunza kutoka kwa mkongwe huyo ambae kadiri anavyozeeka ndo makali yake yanazidi, GIGGS si mfungaji kwa nafasi anayocheza na kama anafunga hiyo ni ziada ya ubora wake. Kwa msimu huu tokea uanze na mechi alizocheza nafasi yake sana imekuwa ni kiungo wa kati na si winga na jukumu lake kama mkongwe ni kuwaongoza wenzake hasa uwanjani na ndo akawa nahodha msaidizi na Man Utd huwa hawahesabu matokeo mpaka firimbi ya mwisho. Haya ndo yamemfanya mkongwe huyu kutwaa tuzo hii