Rwandan Generals arrested over failed coup

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,113
16,025
karakemuhire.jpg
Rwandan Generals arrested over failed coup

Kigali, Rwanda

Sources in Kigali, the capital of the tiny country of Rwanda inform AfroAmerica Network that two generals were arrested on Monday April 19, 2010 night after a batched coup-d’etat. The two generals, Major Genaral Karenzi Karake and Lt General Charles Muhire were among the highest ranking officers within the military junta leading the tiny country.

Since early this year rumors of a coup, followed by provoking speeches by the Rwandan dictator General Paul Kagame have created a climate of heightened tension and violence. Multiple grenade attacks rocked the otherwise calm city, killing a score of people. The US Embassy in Kigali issued a travel warning against traveling in and around the capital and across the country. A army mutiny in late March 2010 forced General Paul Kagame to spend a week in Kenya and Burundi on his way back from visiting his son at the US West Point Military Academy.

General Paul Kagame was able to return to Rwanda after the mutiny was crushed by the Republican Guard, his security forces. He then challenged the army generals to dare attempting a coup, calling them “excrements” and “useless” before reshuffling the army.
Lt General Muhire was appointed the Army Reserve Chief of Staff.

Major General Karenzi Karake led the UN Peacekeeping Forces in Darfur, Sudan before being recalled over accusations of war crimes and genocide committed between 1994 and 1998 against Rwandan Hutu refugees and Congolese and the killing of Spanish catholic missionaries. Upon his return from Darfour, General Paul Kagame assigned him to a position of the director of a military training school for army officers.
 
Ret. Muhire and Shift. Gen. Karake suspended

The New Times

By o reporter
KIGALI - The Defence and Military Leadership, yesterday, suspended from duty and Lieutenant General Charles Muhire Arrested and Major General Emmanuel Karenzi Karake.
This Was Revealed by the Defence and Military Spokesman, Major Jill Rutaremara Who Said That The Two senior army Officers Committed serious offenses.
"Lt. Gen. Muhire was suspended due to serious charges of corruption and Misuse of office while Maj. Gen. Karenzi was suspended on serious charges of immoral and contra conduite That Undermine the values and ethos of the Rwanda Defence Force, "Maj. Rutaremara Said In A statement released yesterday.
"This Action Was Taken in order to enforce discipline and accountability conduite morale in the Rwanda Defence Force."
That investigation continues Rutaremara added.
Ends
 
Kagame kwa mwendo huu siku zake zinahesabika.....aliona raha kumuua Habyarimana lakini nayeye ajue njia yake iko wazi.
 
aliingia kijeshi na sasa jeshi hilohilo linamgeuka,there must be something went verry wrong
 
Hapa chuo nnachosomea Nairobi, kuna trip ya post graduate students tunaandaliwa kwenda Kigali- Rwanda mwanzoni mwa May. Kwa mwendo huu, NIMEJITOA manake wengine tuanaelekeana ki sura na wanyaru nsije nkachinjwa bure!
 
Nimekuwa huko hadi mwishoni mwa mwaka jana. Kwa kweli ni hatari sana. naona wakichinjana itakuwa watutsi wenyewe kwa wenyewe.
 
View attachment 9619
Rwandan Generals arrested over failed coup

Major General Karenzi Karake led the UN Peacekeeping Forces in Darfur, Sudan before being recalled over accusations of war crimes and genocide committed between 1994 and 1998 against Rwandan Hutu refugees and Congolese and the killing of Spanish catholic missionaries. Upon his return from Darfour, General Paul Kagame assigned him to a position of the director of a military training school for army officers.

.....naona genocide according to babukujana ilikuwa against Rwandan Hutu,hakuna mpya hapo story nzima ni BS propaganda za FDLR
 
.....naona genocide according to babukujana ilikuwa against Rwandan Hutu,hakuna mpya hapo story nzima ni BS propaganda za FDLR
yaani wewe akili yako mgando kweli,sisi tunaongea issue imetokea jana usiku we unarukia hutu na FDLR ,we vp bana?usiwe kama mlevi wa kangara,hata hivyo mi sio mnyarwanda ila huyo unamshabikia siku zake zinahesabika na wewe kibaraka jiandae pa kukimbilia maana sasa mshageukana wenyewe kwa wenyewe.
 
Hapa chuo nnachosomea Nairobi, kuna trip ya post graduate students tunaandaliwa kwenda Kigali- Rwanda mwanzoni mwa May. Kwa mwendo huu, NIMEJITOA manake wengine tuanaelekeana ki sura na wanyaru nsije nkachinjwa bure!
badili hiyo destinationa mkuu,tutakukosa hapa,hao jamaa tifu kwao sio ishu wanaweza kulianzisha mda wowote nawewe ukajumuishwa,mi mwenyewe natosa kwenda kila leo maana history inaniogopesha.
 
Nimekuwa huko hadi mwishoni mwa mwaka jana. Kwa kweli ni hatari sana. naona wakichinjana itakuwa watutsi wenyewe kwa wenyewe.
wanabaguana sasa watutsi wa uganda na wale wa kongo na wa rwanda na burundi,kaazi kwel kwel
 
badili hiyo destinationa mkuu,tutakukosa hapa,hao jamaa tifu kwao sio ishu wanaweza kulianzisha mda wowote nawewe ukajumuishwa,mi mwenyewe natosa kwenda kila leo maana history inaniogopesha.
Asante best yaani nshajitoa ROMA LOCUTA CAUSA FINITA, Rome has said, no more saying. Nshaamua kutokwenda!
 
Mwalimu Nyerere alisema ..:" dhambi ya ubaguzi ikiingia katika nchi basi itaendelea hivyo hivyo na kuuitafuna na kuimaliza nchi..hadi hapo nyinyi mliokuwa mnajiona mko wamoja mnajikuta mna tofaut" akatania kwa kutolea mfano wa uzanzibar kwamba katika Zanzibar mkawabagua wenzenu kwa Uzanzibari wenu mkawamaliza..mtakapojiangalia wenyewe mtakuta kumbe nanyi hamko wamoja - mtakuta wengine ni wazanzibari na wengine ni wanzibara!!! Mungu amrehemu Mzee wetu!!!
Anayeua kwa upanga atakufa kwa upanga...anayeingia madarakani kwa mtutu wa bunduki atatoka kwa mtutu wa bunduki hata kama sii kwa bunduki aliyoitumia!!!
 
All I can say that these Generals have short memories....its not too long ago that Rwanda suffered from a genocide of grand proportions. Now an attempted coup. Do we as Africans not learn, Coups and tribal cleansing do not take us anywhere. The Arms dealers and the Warlords are still smiling all the way to the bank as we kill and unleash terror on each other. Do we not see that Peace is so fragile, and any setbacks are not welcome
Power hungry men with big egos fighting to see who has bigger balls than the other.
Eti EA federation. Forget about it. How can we form a federation with all this under currents? It's always disgusting and sad to read about this kinds of happenings.
 
Rwanda is better with kagame acha awafunge sasa kama anapaln coup aafanyawe nini. adhabu yake ni kunyongwa.
 
mambo sio shwari hapo jirani,tusingoje mpaka wakaanza kumwagana damu ndio tushtuke,niko interested na hawa jirani zetu na najua chochote kitakachotokea kule sie tutahusika kwa namna moja au nyingine kusaidia kwa hali na mali,nashangaa sana kwa mimi kuleta hizi habari mtu akaniona niko against na regime iliyopo sio hivyo kabisa genocide ya 1994 nimei study na imenitouch sana my prayer isije tokea tena huko,ndio maana najitahidi kufikisha kile ninachoona kinafaa kujadiliwa hapa toka vyanzo mbalimbali,na kama mtu amesoma mada zote kuhusu rwanda nilizozileta ataona ni kitu gani kinaendelea hapo,na mkumbuke ni E.A.C member.
 
Babukijana
kama sio shwari akiwepo kagame basi akiondoka bila kupenda yataharibika zaidi. Kama kumwagika damu acha amwage za hao majenerali wenzake wasiotaka kuelewa bosi anataka nini sio za raia tena.

Lakini vile vile tatizo lako wewe Babu kijana hujawai kuleta habari za upande mwingine wa shilingi kuhusu Regime ya kagame. U look so biased. always -ve.

Binafsi sijui siasa za mambo ya Rwanda but ebu tell us nini kitatokea kizuri kagame akipinduliwa .

Binafsi naona Rwanda is still in transition it still need some dictatorship like rule/leader ya kiongozi mwenye vision like kagame. Vile vile nadhani France inataka kurudisha influnce yake wakati kagame kishachagua mabosi wake ni Washington na London. Na hao wanaofungwa inawezekana nao ni sawa kama kagame tu sema wao wanaendeshwa na Sarkozy wa Paris au mfalme wa belgium
 
mambo sio shwari hapo jirani,tusingoje mpaka wakaanza kumwagana damu ndio tushtuke,niko interested na hawa jirani zetu na najua chochote kitakachotokea kule sie tutahusika kwa namna moja au nyingine kusaidia kwa hali na mali,nashangaa sana kwa mimi kuleta hizi habari mtu akaniona niko against na regime iliyopo sio hivyo kabisa genocide ya 1994 nimei study na imenitouch sana my prayer isije tokea tena huko,ndio maana najitahidi kufikisha kile ninachoona kinafaa kujadiliwa hapa toka vyanzo mbalimbali,na kama mtu amesoma mada zote kuhusu rwanda nilizozileta ataona ni kitu gani kinaendelea hapo,na mkumbuke ni E.A.C member.

...the only thing you care ni hao ndugu zako wahutu wa siasa kali waliokimbilia kwenye mapori baada ya kuua millions lakini Kagame naona anawanyuka mpaka mtatia adabu,unajifanya uko fair kumbe bias tupu na propaganda zako za ant tutsi
 
Hapa chuo nnachosomea Nairobi, kuna trip ya post graduate students tunaandaliwa kwenda Kigali- Rwanda mwanzoni mwa May. Kwa mwendo huu, NIMEJITOA manake wengine tuanaelekeana ki sura na wanyaru nsije nkachinjwa bure!

sasa unaogopa nini? hii ni free movement bana ndani ya EAF. Viongozi wa tz bwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom