Aise naona unamsakizia mwenzio..!sasa unaogopa nini? hii ni free movement bana ndani ya EAF. Viongozi wa tz bwana
Aise naona unamsakizia mwenzio..!
we ni mgonjwa,iko siku utakuja shangaa na wewe wametuma arest warrant huko uliko ukamatwe upelekwe kwenu rwanda ukashtakiwe ndio utaelewa,maana nyie kwenu kila mtu genocidaire....the only thing you care ni hao ndugu zako wahutu wa siasa kali waliokimbilia kwenye mapori baada ya kuua millions lakini Kagame naona anawanyuka mpaka mtatia adabu,unajifanya uko fair kumbe bias tupu na propaganda zako za ant tutsi
we ni mgonjwa,iko siku utakuja shangaa na wewe wametuma arest warrant huko uliko ukamatwe upelekwe kwenu rwanda ukashtakiwe ndio utaelewa,maana nyie kwenu kila mtu genocidaire.
mkuu mpaka kwa obama wanakomaa nao,mpaka sasa kuna jamaa wanawahitaji toka kwa obama sema marekani imetoa nje kuwarudisha.Jamaa yuko kwa Obama ,hawawezi mtumia hiyo kitu kama wameshindwa kwa Kayumba south africa sasa huko wataweza kweli.teh teh