Rwanda yaandika barua UN kupinga kupelekwa Jeshi la SADC DRC. Yasema sio jeshi la kulinda amani bali kuivamia Rwanda na kuwafuta Watutsi wa Congo

Utanzania ni Utaifa na Ututsi ni Kabila mimi sio Mtutsi sema sipendi kuona Ubaguzi dhidi ya Mwafrika mwenzangu.
Sasa mbona mnatumia slogan ya putin kule donbas?. Kwani watwa hawapo kile nani anawatetea. Hii kitu ilitakiwa ifanyike for 50 years silently
 
Licha ya upumbavu wa ccm, Tanzania kuna wazalendo hasa linapokuja suala la ulinzi na usalama so hapa tulicheza karata ya PUT YOUR FRIENDS CLOSE, BUT YOUR ENEMY CLOSER. Huyu aliingizwa kwenye jumuiya ili awe monitored vizuri.
Hapo umeongea kaka
 
Kwa kifupi sana....
Rwanda(Kagame) ana HAKI na ni HALALI kukabidhiwa rasmi......kipande cha eneo la Congo...manake ndio makubaliano yaliyopo kwenye mkataba uliasainiwa mwezi March tarehe 23...baada ya kumsaidia L.kabila( senior)...kuingia madarakani.FULL STOP.
Hapa na mimi nimekuelewa. Kumbe kuna Makubaliano ya Ardhi kati ya M23 na Kabila. Kama hivyo wafungue kesi kwenye mahakama za kimataifa kuliko vita hii itasababisha mauaji na uadui kwa nchi zinahusika na vita (SADC).
 
Watutsi hawajui Uchawi, au hata kama wanaujua hawauendekezi, lakini Wanyamwezi na Wasambaa utanyweshwa hadi Maji ya Maiti ili umpende. mimi nimechovyva mote humo si unajua tena Deleva wa Loli 😂 Wakobwa wengi niliotembea nao ni Wanafunzi wa Vyuo maisha yao hawajawahi kushika Jembe la mkono unamkuta yuko Softy anateleza.

Ila niseme ukweli kuna Mrangi mmoja alinizuzua sana kwa Mapigo ya Kitandani kidogo niuze mzigo niliokuwa naupeleka Nairobi hiyo ilikuwa ni Arachuga.😆
Ndugu ndugu chonde chonde na mzigo wa watu hahahaaa laaaaaaa
 
Hapa na mimi nimekuelewa. Kumbe kuna Makubaliano ya Ardhi kati ya M23 na Kabila. Kama hivyo wafungue kesi kwenye mahakama za kimataifa kuliko vita hii itasababisha mauaji na uadui kwa nchi zinahusika na vita (SADC).
Mwongo tu huyo Rwanda ni mwizi ndani ya congo
 
Back
Top Bottom